CHADEMA yaiteua siku ya Jumamosi kuwa siku ya wananchi kuvaa sare za chama hicho nchi nzima

Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro, lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi

Kama ni Gwanda, M4C, Mwamba Tuvushe , Chadema Digital , kofia au Skafu uchaguzi utakuwa ni wako
Mbowe hawezi kuwaambia wananchi maana si kiongozi hata wa mtaa bali anawaambia misukule yake ya Chadema
 
Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro, lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi

Kama ni Gwanda, M4C, Mwamba Tuvushe , Chadema Digital , kofia au Skafu uchaguzi utakuwa ni wako
Hatutakamatwa na polisi?
 
Hata wimbo wa uchumi wa kati haupo tena
FB_IMG_1597733863117.jpg
 
Baada ya ruzuku kukosekana, Kamanda Mbowe kabuni mradi wa kuuza t-shirt nchi nzima.

Kwa wazo hili sasa hivi atampiku Fred Vunja Bei.
 
Back
Top Bottom