CHADEMA yaiteua siku ya Jumamosi kuwa siku ya wananchi kuvaa sare za chama hicho nchi nzima

Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro , lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi

Kama ni Gwanda , M4C , Mwamba Tuvushe , Chadema Digital , kofia au Skafu uchaguzi utakuwa ni wako
KWANZA MTUPE MAPATO NA MATUMIZI YA ZILE CHANGIZO KIPINDI KILE CHA KAMPENI. MSIDHANI TUMESAHAU.
 
Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro , lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi

Kama ni Gwanda , M4C , Mwamba Tuvushe , Chadema Digital , kofia au Skafu uchaguzi utakuwa ni wako
A good way of advertisements
 
Maskini dah!

Leo sio zamu yako kulinda kaburi la dhalimu? Naona uko off hivyo una muda wa kuchat hapa jukwaani. Huu
matapeli nyie mnataka muanze biashara ya Sare tena Nawaambieni watu hawatapeliwi tena Chadema is gone limebaki jina tu shida ni kuwa na kiongoji katili jizi jambazi na tapeli Mr Zero brain i can't breathe Nkyyaaa Mbooye
Ukitaka kujua huna jipya, huu utoto unacopy na kupaste kila uzi. Subiri nyuzi za watoto wenzako ndio ukaweke huu utoto.
 
Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro , lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi

Kama ni Gwanda , M4C , Mwamba Tuvushe , Chadema Digital , kofia au Skafu uchaguzi utakuwa ni wako
Wewe jamaa ni kiboko, yaani nchi nzima kuvaa sare za Chadema?😂😂😂
 
Mimi Naona ni vizuri, lazima ubaki relevant and fresh kwenye minds za watu, sio kusubiri mpaka uchaguzi ndio muhamasishane. Chadema itafute more ways Kama hii ya ku engage wananchi kama mkakati kuelekea uchaguzi wa 2025.
 
Ujinga mtupu.

Badala ya kuhubiri Tanzania ya viwanda wanahubiri kuvaa sare.!!! Shame
Mwendazake alihubiri Tanzania ya viwanda mpaka ameondoka hatujaviona
Acha tutadai katiba Kwanza na tume huru ya uchaguzi
 
Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro , lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi

Kama ni Gwanda , M4C , Mwamba Tuvushe , Chadema Digital , kofia au Skafu uchaguzi utakuwa ni wako
Mungu ibariki CHADEMA
 
Back
Top Bottom