CHADEMA yaigaragaza CCM

CHADEMA yaigaragaza CCM

Ni sawa sawa CUF washinde Wete halafu washangilie ushindi.
 
Nyota njema huonekana asubuhi. Acha Wakina Nchemba wapige mayowe ya kijinga mpaka wafe na CCM yao. Wajanja wako kimya, yamebaki mavuvuzela yanapiga kelele, mwisho wa siku watakimbiana wao kwa wao na wataficha nyuso zao. Hawataki kujifunza hata kilichowapata Arusha kwenye Uchaguzi wa Madiwani pamoja na hujuma zote walizofanya, lakini hatimaye wakashindwa! Hongereni saana watu wa Babati.
 
kwa wale mnaoendelea kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa chadema kinachukiwa na watu, basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa mtaa wa maisaka kati jimbo la babati mjini mkoa wa manyara ni kama ifuatavyo

chadema - kura 247
ccm - kura 170
cuf - kura 2

sasa nyie wafuasi wa mwigulu mkisaidiwa na job ndungai kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa chadema haifai, kwa hilo mmeula wa chuya, jipangeni upya kwani matendo yenu na maamuzi yenu mabaya ya kulinda udharimu wenu watanzania wa chini kabisa huku mitaani na vitongojini wanaona na wataendelea kuona kama hamtajitambua kwa mbinu zenu chafu na kwa mbinu zenu hizo kila uchaguzi, mtakimbia vituo kabla ya matokeo kutangazwa

huu ndo mpango mzima serkali za mitaa mwakani ni kuchuklua vijiji vyote tz
 
we unadhani huwa nini kinaanza kati yachadema kuchukiwa na watu au chadema kuchukiza watu.
kwa dhati mambo yaliopo katika hiki chama ni aibu tupu. asie chukia ni yule ambae hana taarifa za kutosha juu chadema.lakini ngoma ikilia sana juwa imekaribia kupasuka.na hilo wala haliitaji propergander kama mdau anavyo dai.
takwimu kama hizi zitaendelea kuwa danganya na kuwazidishia upotofu.
my gass hizo kura za ccm mlizo ziona 75% ni za wanawake na wazee.endelezo la uwoga ambalo ni bomu kwa chadema siku zijazo.

My gass ndio nini?
 
Huu uchaguzi wa nini tena? Ina maana nchi hii chaguzi haziishi?
 
Kwa wale mnaoendelea kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa CHADEMA kinachukiwa na watu, basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka Kati Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara ni kama ifuatavyo

CHADEMA - kura 247
CCM - kura 170
CUF - kura 2

Sasa nyie wafuasi wa Mwigulu mkisaidiwa na Job Ndungai kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA haifai, kwa hilo mmeula wa chuya, jipangeni upya kwani matendo yenu na maamuzi yenu mabaya ya kulinda udharimu wenu Watanzania wa chini kabisa huku mitaani na vitongojini wanaona na wataendelea kuona kama hamtajitambua kwa mbinu zenu chafu na kwa mbinu zenu hizo kila uchaguzi, mtakimbia vituo kabla ya matokeo kutangazwa

Lazima Mwigullu na Ndughai watajwe, safi sana kwa kuitambua miba yenu.
 
CDM Kilianza Kwa Nguvu Kilimanjaro polepole kikatoboa Arusha kwa kupitia Karatu....Muda si muda kikatoboa Mbulu....Kidogo kidogo kinatoboa Babati na Hanang....kwa mtu anayejua ramani ya Tanzania Hiyo ni Njia ya kuelekea Singida...Kwa hiyo wana Singida mkae mkao wa kukipokea....Uzuri wake chadema ishatanguliza Ngome moja Singida mashariki kwa Tundu Lisu.....Kwa upande Wa kanda ya Ziwa Chadema Ilianza Tarime....hiyooo ghafla ikatoboa Musoma Mjini ikatokezea Mwanza ( Ilemela,na nyamagana na Ukerewe), Ikaruka kwa wakati huo huo kwenda Shinyanga Kishapu, Maswa Na pande za Ngara huko. kanda ya Magharibu ilianza Kigoma....Pole pole ikarukia Mpanda na hivyo inaelekea tabora..... Kanda ya Nyanda za Juu kusini Ilianzia Mbeya..ikashamiri weee.... ikatoboa Iringa....Sasa inazidi kusambaa mpaka ifike Songea.....Kanda ya pwani Hasa dar imeingia ila bado kidogo nguvu kidogo zinahitajika ili iweze kusonga mbele mpaka pwani ya kusini...VIVA CDM.
 
Kwa wale mnaoendelea kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa CHADEMA kinachukiwa na watu, basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka Kati Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara ni kama ifuatavyo

CHADEMA - kura 247
CCM - kura 170
CUF - kura 2

Sasa nyie wafuasi wa Mwigulu mkisaidiwa na Job Ndungai kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA haifai, kwa hilo mmeula wa chuya, jipangeni upya kwani matendo yenu na maamuzi yenu mabaya ya kulinda udharimu wenu Watanzania wa chini kabisa huku mitaani na vitongojini wanaona na wataendelea kuona kama hamtajitambua kwa mbinu zenu chafu na kwa mbinu zenu hizo kila uchaguzi, mtakimbia vituo kabla ya matokeo kutangazwa

Hizo kura za CCM watakuwa wameiba tu. Hawawezi kupata hizo kura. CCM jangaaaa.
 
M4C inatwanga kote kote....wao wako bize kutetea mafisadi kama mayor wa Bukoba,wauza unga na majangili,CHADEMA tuko bize na elimu ya uraia ...hongereni sana makamanda
 
Kwa wale mnaoendelea kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa CHADEMA kinachukiwa na watu, basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka Kati Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara ni kama ifuatavyo

CHADEMA - kura 247
CCM - kura 170
CUF - kura 2

Sasa nyie wafuasi wa Mwigulu mkisaidiwa na Job Ndungai kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA haifai, kwa hilo mmeula wa chuya, jipangeni upya kwani matendo yenu na maamuzi yenu mabaya ya kulinda udharimu wenu Watanzania wa chini kabisa huku mitaani na vitongojini wanaona na wataendelea kuona kama hamtajitambua kwa mbinu zenu chafu na kwa mbinu zenu hizo kila uchaguzi, mtakimbia vituo kabla ya matokeo kutangazwa

hongera sana chadema, mwenyekiti aliyekuwa zamani anatoka chama gani
 
Back
Top Bottom