CHADEMA yaigaragaza CCM

CHADEMA yaigaragaza CCM

hongeleni sana hasa wapiga kura ambao wametambua nuru na kuachana na giza.
Kwa wale mnaoendelea
kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa CHADEMA kinachukiwa na watu,
basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi
kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa
mtaa wa Maisaka Kati Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara ni kama
ifuatavyo

CHADEMA - kura 247
CCM - kura 170
CUF - kura 2

Sasa nyie wafuasi wa Mwigulu mkisaidiwa na Job Ndungai kutaka
kuwaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA haifai, kwa hilo mmeula wa chuya,
jipangeni upya kwani matendo yenu na maamuzi yenu mabaya ya kulinda
udharimu wenu Watanzania wa chini kabisa huku mitaani na vitongojini
wanaona na wataendelea kuona kama hamtajitambua kwa mbinu zenu chafu na
kwa mbinu zenu hizo kila uchaguzi, mtakimbia vituo kabla ya matokeo
kutangazwa
 
Nawashauri CDM,kanda ya ziwa kukoleza M4C kwani huku bado kuna wapiga kura wengi bado wako Royal kwa CCM, na haya majamaa yanahitaji muda wa kutosha kuyaelimisha.Inabidi iwe None Stop till 2015.wapiga kura wengi nchi hii wako kanda ya ziwa.Ukiondoa wajuaji wa Dar.
 
Kwa wale mnaoendelea kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa CHADEMA kinachukiwa na watu, basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka Kati Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara ni kama ifuatavyo

CHADEMA - kura 247
CCM - kura 170
CUF - kura 2

Sasa nyie wafuasi wa Mwigulu mkisaidiwa na Job Ndungai kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA haifai, kwa hilo mmeula wa chuya, jipangeni upya kwani matendo yenu na maamuzi yenu mabaya ya kulinda udharimu wenu Watanzania wa chini kabisa huku mitaani na vitongojini wanaona na wataendelea kuona kama hamtajitambua kwa mbinu zenu chafu na kwa mbinu zenu hizo kila uchaguzi, mtakimbia vituo kabla ya matokeo kutangazwa
Hiki chama ndiyo maana kinasuasua mno. Sasa aliyesema kuwa kwa ushindi huo ndiyo CCM imegaragazwa ni nani? Chama kinahitaji kujitazama upya ili kiweze endana na wakati badala ya ghasia, fujo, kelele na misuko suko isiyo mpangilio. Kuna wakati unafika unaweza sema Bungeni kuna wabunge watatu tu wa Chadema; Mbowe, Mnyika na Mdee. Wengine wote nadhani hawajui wanafanya nini na kipi wafanye ili wawakilishe.
 
Ccm imebakia maporini ambako hakuna umeme, barabara nzuri, hospitali n.k. Ccm haitakiwi kokote Tanzania!
 
hongereni sana makamanda, ni furaha tunapochukua kitongoki au kijiji.
 
Hiki chama ndiyo maana kinasuasua mno. Sasa aliyesema kuwa kwa ushindi huo ndiyo CCM imegaragazwa ni nani? Chama kinahitaji kujitazama upya ili kiweze endana na wakati badala ya ghasia, fujo, kelele na misuko suko isiyo mpangilio. Kuna wakati unafika unaweza sema Bungeni kuna wabunge watatu tu wa Chadema; Mbowe, Mnyika na Mdee. Wengine wote nadhani hawajui wanafanya nini na kipi wafanye ili wawakilishe.
pumbaaaaaaaaaaaaaa
 
Mungu wetu ni mwema na msikivu kupita serikali ya JK,hongereni makamanda nyote.
 
Kwa wale mnaoendelea kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa CHADEMA kinachukiwa na watu, basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka Kati Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara ni kama ifuatavyo

CHADEMA - kura 247
CCM - kura 170
CUF - kura 2

Sasa nyie wafuasi wa Mwigulu mkisaidiwa na Job Ndungai kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA haifai, kwa hilo mmeula wa chuya, jipangeni upya kwani matendo yenu na maamuzi yenu mabaya ya kulinda udharimu wenu Watanzania wa chini kabisa huku mitaani na vitongojini wanaona na wataendelea kuona kama hamtajitambua kwa mbinu zenu chafu na kwa mbinu zenu hizo kila uchaguzi, mtakimbia vituo kabla ya matokeo kutangazwa
nilishasema siku nyigi kwamba hakuna uchaguzi amboa ccm wanaweza kushida chadema ikiwemo,kwa sasa ccm ina viongozi tu,haina wanachama,hata hizo kura walizopata lazima watakuwa wameiba
 
Kwa wale mnaoendelea kuaminishwa na propaganda za watawala kuwa CHADEMA kinachukiwa na watu, basi fikirieni upya na jipangeni vizuri kwani moto wa chama unazidi kuwaka na kumulika kila kona. Uchaguzi mdogo wa kiti cha mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka Kati Jimbo la Babati Mjini mkoa wa Manyara ni kama ifuatavyo

CHADEMA - kura 247
CCM - kura 170
CUF - kura 2

Sasa nyie wafuasi wa Mwigulu mkisaidiwa na Job Ndungai kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa CHADEMA haifai, kwa hilo mmeula wa chuya, jipangeni upya kwani matendo yenu na maamuzi yenu mabaya ya kulinda udharimu wenu Watanzania wa chini kabisa huku mitaani na vitongojini wanaona na wataendelea kuona kama hamtajitambua kwa mbinu zenu chafu na kwa mbinu zenu hizo kila uchaguzi, mtakimbia vituo kabla ya matokeo kutangazwa

maelezo ya kwanza yanaonyesha namna unavyoogopa kivuli chako mwenyewe.

takwimu ya katikati ya jumla ya watu 419 waliopiga kura haifanani na neno kugalagazwa.

my take: jipange.
 
kwa mwendo huu 2015 majimbo ya babati mjini na vijijini wanaccm tuanze kuhesabu maumivu.

Kuna kila dalili ccm tutazidi kuendelea kulizwa kanda ya kaskazini na kanda ya ziwa kila siku.

ndg hujalazimishwa kuwa huko so kwakuwa dalili umeziona ni mda mwafaka wa kuwaambia wana-magamba ''r.i.p'' uje huku tulipo wajanja wakusoma nyakati.saidia taifa sasa ili likakusaidie baadaye kwa kutumia kura yako kuchagua kiongozi atakayetufaa na sio hao magamba hawana jipya.karibu.
 
Back
Top Bottom