CHADEMA yagota sasa yavamia hoja ya Dodoma City

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,150
Baada ya kuchemka kwenye maandamano ya mkimbizi Mange, CHADEMA sasa wamedandia hoja ya Dodoma kuwa jiji. Makamanda wa CHADEMA baada ya kuufyata maandamanoni sasa wanahoji uhalali wa Dodoma kuwa Jiji.

Kiukweli makamanda wa Ufipa wamedebweda na hawajui ni nini wakisimamie katika zama hizi baada ya kubadili gia hewani 2015.
 
Mmejaribu kwa kila mbinu kuyahusisha Maandamano ya Mange kuwa ya CHADEMA, mmeshindwa! Poleni Sana kwa Gwaride mlililopigishwa na Mange, sikuwa kudhani Kuna WANAUME wanaotishwa na kimwanamke ambacho upepo unaopiga Mita 100/PH kinamrusha hewani na kumtupa mbali! Kuna mwanaume kasifiwa juzi na gumegume Moja kule Bungeni, kumbe muoga Kama Nini, Hadi anaingia kwenye sherehe kwa kujificha! Poleni kwa sekeseke la Mange!
 
Mmeshindwa kuucheza muziki wa mwanadada?!!........hakika chadema ihele!
 
Kama mange yupo usa anawapelekesha kiasi hiki. Je hawa viongozi wa chadema waliopo hapa nchi wangepanga haya mambo si mngechanganyikiwa zaidi.
 
wapange Mara ngapi???

Wao walipanga Ukuta ukageuka kuwa ukuta Wa buibui

Wameenda Kuazima Majeshi USA nayo Yamekuwa mbwa koko

Kwa sasa hoja ni Dodoma jiji

Sijui baada Ya wiki tutatoka vipi
 
Mmejaribu kwa kila mbinu kuyahusisha Maandamano ya Mange kuwa ya CHADEMA, mmeshindwa! Poleni Sana kwa Gwaride mlililopigishwa na Mange, sikuwa kudhani Kuna WANAUME wanaotishwa na kimwanamke ambacho upepo unaopiga Mita 100/PH kinamrusha hewani na kumtupa mbali! Kuna mwanaume kasifiwa juzi na gumegume Moja kule Bungeni, kumbe muoga Kama Nini, Hadi anaingia kwenye sherehe kwa kujificha! Poleni kwa sekeseke la Mange!

Mmeshamkana hata kabla ya saa 24 kupita? kweli nyie kiboko!
 
Baada ya kuchemka kwenye maandamano ya mkimbizi Mange, Chadema sasa wamedandia hoja ya Dodoma kuwa jiji. Makamanda wa Chadema baada ya kuufyata maandamanoni sasa wanahoji uhalali wa Dodoma kuwa Jiji. Kiukweli makamanda wa Ufipa wamedebweda na hawajui ni nini wakisimamie katika zama hizi baada ya kubadili gia hewani 2015!
Ndugu,
Jaribu kutumia akili uliyojaaliwa angalau kwa 1% tu, utaisaidia hii nchi kusonga mbele, kuliko kufungua thread za kipuuzi kila muda na kutujazia server
 
wapange Mara ngapi???

Wao walipanga Ukuta ukageuka kuwa ukuta Wa buibui

Wameenda Kuazima Majeshi USA nayo Yamekuwa mbwa koko

Kwa sasa hoja ni Dodoma jiji

Sijui baada Ya wiki tutatoka vipi
Jeshi lipi wameazima usa ?
 
Baada ya kuchemka kwenye maandamano ya mkimbizi Mange, Chadema sasa wamedandia hoja ya Dodoma kuwa jiji. Makamanda wa Chadema baada ya kuufyata maandamanoni sasa wanahoji uhalali wa Dodoma kuwa Jiji. Kiukweli makamanda wa Ufipa wamedebweda na hawajui ni nini wakisimamie katika zama hizi baada ya kubadili gia hewani 2015!

Kwani Chadema walitangaza maandamano?
 
Mmejaribu kwa kila mbinu kuyahusisha Maandamano ya Mange kuwa ya CHADEMA, mmeshindwa! Poleni Sana kwa Gwaride mlililopigishwa na Mange, sikuwa kudhani Kuna WANAUME wanaotishwa na kimwanamke ambacho upepo unaopiga Mita 100/PH kinamrusha hewani na kumtupa mbali! Kuna mwanaume kasifiwa juzi na gumegume Moja kule Bungeni, kumbe muoga Kama Nini, Hadi anaingia kwenye sherehe kwa kujificha! Poleni kwa sekeseke la Mange!
Hako kamwanamke wafuasi wake mwenye Instagram take ni kama wafuatawo::

1. Zito
2. Lema
3. Nasari
4. Halima Mdee
5.
 
Kama mange yupo usa anawapelekesha kiasi hiki. Je hawa viongozi wa chadema waliopo hapa nchi wangepanga haya mambo si mngechanganyikiwa zaidi.

mbona wa hapa Nchini walishapanga Ukuta, wakabadili jina ikaitwa Kata funua na baade waliposhindwa kabisa wakaenda kumkodisha Kahaba huko Marekani ahamasishe maandamano kwa niaba yao na leo pia Watanzania wamewapuuza!

mlikuwa mnawafananisha wa TZ na Mimbulula ya Libya, This is Tanzania banaaa
 
Mmejaribu kwa kila mbinu kuyahusisha Maandamano ya Mange kuwa ya CHADEMA, mmeshindwa! Poleni Sana kwa Gwaride mlililopigishwa na Mange, sikuwa kudhani Kuna WANAUME wanaotishwa na kimwanamke ambacho upepo unaopiga Mita 100/PH kinamrusha hewani na kumtupa mbali! Kuna mwanaume kasifiwa juzi na gumegume Moja kule Bungeni, kumbe muoga Kama Nini, Hadi anaingia kwenye sherehe kwa kujificha! Poleni kwa sekeseke la Mange!

kwa kuwa Yamefeli hamtaki hata kuhusishwa nayo!

kweli nyie ni wasaliti kuliko Yuda Eskariot
 
mbona wa hapa Nchini walishapanga Ukuta, wakabadili jina ikaitwa Kata funua na baade waliposhindwa kabisa wakaenda kumkodisha Kahaba huko Marekani ahamasishe maandamano kwa niaba yao na leo pia Watanzania wamewapuuza!

mlikuwa mnawafananisha wa TZ na Mimbulula ya Libya, This is Tanzania banaaa
Nithibitishie kama chadema walimkodi mange
 
Back
Top Bottom