CHADEMA yagota sasa yavamia hoja ya Dodoma City

Mmejaribu kwa kila mbinu kuyahusisha Maandamano ya Mange kuwa ya CHADEMA, mmeshindwa! Poleni Sana kwa Gwaride mlililopigishwa na Mange, sikuwa kudhani Kuna WANAUME wanaotishwa na kimwanamke ambacho upepo unaopiga Mita 100/PH kinamrusha hewani na kumtupa mbali! Kuna mwanaume kasifiwa juzi na gumegume Moja kule Bungeni, kumbe muoga Kama Nini, Hadi anaingia kwenye sherehe kwa kujificha! Poleni kwa sekeseke la Mange!
Pale mnapo jaribu kula matapishi yenu.
 
Shame on you!
 
Yale maandamano yaliyoshindwa bila ubishi yalikuwa ni ya mbowe kudai demokrasia nchini tz inaminywa. Kwa hiyo Dada Mange akaingilia kutafuta njia ya kumsaidia mbowe na cdm yake na Ukawa kwa ujumla kupitia maandamano haramu ambayo watz wameyakataa katakata. Eti Magufuli step down! Nani ?!!!
 
Mbona mlihangaika na jf...yaani mnatumia jf kuandika upuuzi wenu kama huu bado hamlali mnaingilia jf isionekane online...
 
Mmejaribu kwa kila mbinu kuyahusisha Maandamano ya Mange kuwa ya CHADEMA, mmeshindwa! Poleni Sana kwa Gwaride mlililopigishwa na Mange, sikuwa kudhani Kuna WANAUME wanaotishwa na kimwanamke ambacho upepo unaopiga Mita 100/PH kinamrusha hewani na kumtupa mbali! Kuna mwanaume kasifiwa juzi na gumegume Moja kule Bungeni, kumbe muoga Kama Nini, Hadi anaingia kwenye sherehe kwa kujificha! Poleni kwa sekeseke la Mange!
Mkimbizi mange=chama cha demokrasia ya matusi mitandaoni
 
Mmejaribu kwa kila mbinu kuyahusisha Maandamano ya Mange kuwa ya CHADEMA, mmeshindwa! Poleni Sana kwa Gwaride mlililopigishwa na Mange, sikuwa kudhani Kuna WANAUME wanaotishwa na kimwanamke ambacho upepo unaopiga Mita 100/PH kinamrusha hewani na kumtupa mbali! Kuna mwanaume kasifiwa juzi na gumegume Moja kule Bungeni, kumbe muoga Kama Nini, Hadi anaingia kwenye sherehe kwa kujificha! Poleni kwa sekeseke la Mange!
Huo ni mkwara tu!Mmeingia mteru wenyewe! Mnacheza na vyombo vya dola sio!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom