johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,803
- 143,272
Baada ya kuchemka kwenye maandamano ya mkimbizi Mange, CHADEMA sasa wamedandia hoja ya Dodoma kuwa jiji. Makamanda wa CHADEMA baada ya kuufyata maandamanoni sasa wanahoji uhalali wa Dodoma kuwa Jiji.
Kiukweli makamanda wa Ufipa wamedebweda na hawajui ni nini wakisimamie katika zama hizi baada ya kubadili gia hewani 2015.
Kiukweli makamanda wa Ufipa wamedebweda na hawajui ni nini wakisimamie katika zama hizi baada ya kubadili gia hewani 2015.