CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

Sorry, you are just typing garbage.Everything you write comes out as someone who just had a concussion.

So much is wrong with this sentence that i refuse to reply to it, unless corrected. You really are loosing it.

Wow Wow Wow!

I ask for proof you bring a "BLOG" effn post!!Seriously! a blog post form a free platform posted by an unknown individual of a report that has more gossip and lies in it than entire catalog of bongo movies?

Anyone with ample time click that so called evidence brought by mr yero and see for yourselves the pathetic-ness of the "PROOFS".

Yani wewe shukuru mungu Uko nyuma ya pazia ( ingawa haikulindi kivile), kwani uzushi unaojaza kwenye server za JF, cybercriiminal law ilitakiwa ihusike na wewe.
Hahaha kumbe na wewe uliisoma sinema ile? mimi niliisoma zamani kidogo nikamkumbuka mtunzi wetu maarufu Msiba.. na umekutana na mcheza sinema..
 
Haha.., bora hata wangekuwa na calibre ya mzee Musiba..,

Sinema zao mediocre kabisa!

Muda mwingi mie hujikalia kimya tu na kuacha waendelee na sinema zao.
 
Hata Makaburu walizungumza na ANC licha ya kuwafunga na kuwaua
kuzungumza sio lazima mkubaliane...CHADEMA wanaweza kutoa 'masharti' ya kuikubali ACT ndani ya UKAWA
ikabaki kazi ya ACT kukubali au kukataa masharti

Hivi kwani ACT tayari wameomba kujiunga UKAWA?
Nauliza tu Boss
 
Kuelekea Uchaguzi 2015 CHADEMA now ndio chama cha upinzani chenye nguvu kuna UKAWA ambapo CHADEMA ndio wenye nguvu zaidi na sauti zaidi...Sasa ingawa CHADEMA wanashikilia msimamo wao ambao ni very 'radical' wa kutoongea na Zitto na kuwaita
ACT 'wasaliti' ukweli ni kwamba njia rahisi ya kuidhibiti ACT ni kuongea nao na kujua hasa 'wanataka nini' na kuwapa masharti ya kujiunga na UKAWA na vinginevyo ACT wanaweza kabisa 'kukojoa kutokea dirishani' na the rest ikawa historia.

ACT ikiwa ndani ya UKAWA ..CHADEMA watakuwa na uhakika wa baadhi ya viti vya ubunge watu kama Tundu Lissu,Mbowe na Halima Mdee watapata 'nafuu' ya kupambana na CCM only kuikataa ACT ni kuwaruhusu ACT waweke wagombea wao wa ubunge kwa Lissu,Mdee,Mbowe na wote wengine

sio lazima hao wagombea washinde..lakini wanaweza kugawa kura...the rest will be history.

Najua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto....tatizo ni kwamba 'no one knows the future' .....watu wenye akili hukubali ku negotiate when they have power and are strong watu wajinga huenda ku negotiate wakiwa wameshashindwa au kujeruhiwa.

CHADEMA now they have power....wasisubiri kujeruhiwa.
Mkuu The Boss, bandiko hili bado liko valid kuelekea 2020, then bandiko hili bado liko valid.
Asante kwa ushauri huu.
P.
 
mbona zitto alishatoa masharti ya kujiunga ukawa masharti yaliyoja tharau na kebehi kuwa hataki muungano wa kugawana vyeo bali kuwakomboa watz.hakutakiwa kutoa masharti kwenye vyombo vya habari ila angeomba mazungumzo na ukawa kisha angewaeleza masharti yake ya ku negotiate.
Mbona alikuwa sahihi au wewe unataka akubali vyeo?

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Wanaojua historia ya OAU na Morocco na mgogoro wa Sahara Magharibi watakumbuka alichowaambia Nyerere viongozi wenzie wa OAU wakati ule.

Nchi ya Morocco ilikuwa inakataa kila maazimio ya OAU ikisisitiza Sahara Magharibi ni ardhi yake Viongozi wengi wakasema dawa ni kuifukuza Morocco OAU.

Nyerere alipinga na hoja kubwa ilikuwa ukishaifukuza Morocco then what? utawezaje kuidhibiti wakati
sio member wako tena?si unaipa uhuru wa kufanya lolote? nguvu ya kidhibiti Morocco ni only kama Morocco ni member wa OAU...otherwise akishakuwa sio member hatalazimika tena kuisikiliza OAU.Viongozi hawakusikia the rest is history..mgogoro haujaisha hadi leo..

Ni kama ile hadithi ya mtoto anaekojoa sebuleni halafu unamfukuza anaenda kusimama nje anakojoa mkojo akitokea nje kupitia dirishani unaingia sebuleni tena...hujafanya kitu labda uongee na huyo mtoto ujue analilia nini labda kuna pipi tu karibu akipewa its done...

Kuelekea Uchaguzi 2015 CHADEMA now ndio chama cha upinzani chenye nguvu kuna UKAWA ambapo CHADEMA ndio wenye nguvu zaidi na sauti zaidi...Sasa ingawa CHADEMA wanashikilia msimamo wao ambao ni very 'radical' wa kutoongea na Zitto na kuwaita
ACT 'wasaliti' ukweli ni kwamba njia rahisi ya kuidhibiti ACT ni kuongea nao na kujua hasa 'wanataka nini' na kuwapa masharti ya kujiunga na UKAWA na vinginevyo ACT wanaweza kabisa 'kukojoa kutokea dirishani' na the rest ikawa historia.

ACT ikiwa ndani ya UKAWA ..CHADEMA watakuwa na uhakika wa baadhi ya viti vya ubunge watu kama Tundu Lissu,Mbowe na Halima Mdee watapata 'nafuu' ya kupambana na CCM only kuikataa ACT ni kuwaruhusu ACT waweke wagombea wao wa ubunge kwa Lissu,Mdee,Mbowe na wote wengine

sio lazima hao wagombea washinde..lakini wanaweza kugawa kura...the rest will be history.

Najua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto....tatizo ni kwamba 'no one knows the future' .....watu wenye akili hukubali ku negotiate when they have power and are strong watu wajinga huenda ku negotiate wakiwa wameshashindwa au kujeruhiwa.

CHADEMA now they have power....wasisubiri kujeruhiwa.
Hii hoja bado ni valid kwa 2020
2020 Zito ndiyo atakuwa Kub bungeni..kule zanzibar atapata wabunge wengi plus yeye huku bara
Huu ndio ukweli wenyewe wa 2020!.

Tukubali tukatae, JPM ni JIWE la ukweli, ni Mwamba, ni Jabali, hivyo kwa upinzani wa Tanzania huku Bara, kuna watu wawili tuu ndio wanaweza kupambana na JPM kwenye urais na JPM akapata angalau joto joto la uchaguzi, hawa ni Tundu Lissu na Zitto Zuberi Kabwe.

Kwa vile mpaka sasa hakuna uhakika wa Tundu Lissu kurejea nchini kuja kumkabili JPM kwenye urais, hivyo Zitto ndie mgombea pekee aliyebakia anayeweza kuleta impact kwenye urais.

ZZK asipokuwa mgombea wa upinzani kwa mwaka huu kumkabili JPM wa CCM, then ZZK ndie Mbunge pekee atakaye penya kwenye kasi ya JPM na kurejea Bungeni.

Kwa huku bara, tunakwenda kwenye Bunge la chama kimoja, ZZK ndie KUB, kupitia wabunge wa ACT watakao penyea Zanzibar, haswa kutoka Pemba na yale majimbo yao wawili ya Zanzibar.

Kwa huku Tanzania Bara, ZZK ndie mpinzani pekee atakayevuka kisulisuli cha CCM 2020

P
 
Tukubali tukatae, JPM ni JIWE la ukweli, ni Mwamba, ni Jabali, hivyo kwa upinzani wa Tanzania huku Bara, kuna watu wawili tuu ndio wanaweza kupambana na JPM kwenye urais na JPM akapata angalau joto joto la uchaguzi, hawa ni Tundu Lissu na Zitto Zuberi Kabwe.
...🤔🤔🤔...mwenye madaraka lazima awe mwamba hilo lipo wazi.
 
Njia pekee ya kuishinda au kuitingisha CCM kwa sasa ni muungano wa ACT na CDM..

Siasa za CCM ni siasa za kimafia toka uhuru, hila, fitina, ubabe, unafiki, hila,wizi,uongo na kila aina ya umafia na ujinga hizo ndizo siasa za CCM ndio maana kamwe huwezi kuona utofauti wa chama na serikali, chama ndio serikali na serikali ndio chama. CCM kukaa mbali na Serikali na vyombo vya serikali kutenda namna inavyotakiwa kutendwa CCM wanafahamu hilo ndio kabuli lao..

CDM kaeni na MAALIM, ZZK, JUSSA na babu DUNI mtengeneze muunganiko kuelekea 2020. Hili lifanyike mapema ikiwezekana leo hata kesho. CCM wanaliogopa hili maana wanamjua ZZK na MAALIM walivyo smart kwa fitna za ndani na nje ya nchi. ACT wana nguvu na aina ya wafuasi fulani wenye misimamo na wasiowaoga, hiki ni kizazi cha CUF kilichohama na Maalim na damu mpya ya ACT yenye vijana wanaofanana na itikadi ya ZZK namaanisha ubishi na ujasiri.CDM ikiongozwa Mbowe na aina mpya ya siasa walizoanzisha chini ya vijana waliojitolea na kukataa kuuza utu kama Mnyika, Lema nk wakisimama vyema na nguvu ya ACT basi 2020 CCM itatingishika na mseto bara lazima upatikane na kule Zenji CCM lazima wakate moto..
 
Tukubali tukatae, JPM ni JIWE la ukweli, ni Mwamba, ni Jabali,

Thank you paschal!
Very True!!With his power and abuse of the power entrusted on him he can be anything even a "god" why not?
Through out the History of Tanzania this is the most notorious dictator we have had after learning practically from the fascist dictator of Uganda. Remember the acronyms of the Ugandan Faschist? CBE, = Conqueror of British Empire.!! The life president etc.
 
No, sijasema kuwa Chadema wazungumze na Zitto tu pale atakapokuwa na nguvu za kuijeruhi na kuimaliza Chadema. Tayari Zitto anaamini kuwa hizo nguvu anazo. Ninachosema ni kwamba Chadema isonge mbele without Zitto. Namfananisha Zitto na Zuberi Mtemvu 1959 alipojitoa TANU kwa kutokukubaliana na sera za TANU kuhusu uraia wa Tanganyika na kuanzisha chama chake cha Congress. Katika uchaguzi uliofuata TANU ilifunika na Mtemvu akawa history. The same fate awaits Zitto and his party.
Wanamageuzi huwa tunafanya marejeo.
 
Mkuu angalau wewe umeona kitu ambacho watu wa CHADEMA hawataki kuona
kama Zitto anawahitaji UKAWA now kuliko wao wanavyomuhitaji basi ndio wakati wa kuzungumza nae
kumpa masharti ya kushirikiana....wasisubiri ifike siku wao UKAWA wakawa wanamuhitaji Zitto

kilichopo hapa ni 'assumptions' tu kwamba Zitto atamalizika kisiasa....
what if hii assumptions ni very wrong?
what if akiweza kupata viti viwili vitatu na CHADEMA wakapoteza watu muhimu kama Lissu?
kutazama future kwa mahaba na vyama sio sahihi....
Tunajifunza kwa wakubwa zetu.
 
Wanaojua historia ya OAU na Morocco na mgogoro wa Sahara Magharibi watakumbuka alichowaambia Nyerere viongozi wenzie wa OAU wakati ule.

Nchi ya Morocco ilikuwa inakataa kila maazimio ya OAU ikisisitiza Sahara Magharibi ni ardhi yake Viongozi wengi wakasema dawa ni kuifukuza Morocco OAU.

Nyerere alipinga na hoja kubwa ilikuwa ukishaifukuza Morocco then what? utawezaje kuidhibiti wakati
sio member wako tena?si unaipa uhuru wa kufanya lolote? nguvu ya kidhibiti Morocco ni only kama Morocco ni member wa OAU...otherwise akishakuwa sio member hatalazimika tena kuisikiliza OAU.Viongozi hawakusikia the rest is history..mgogoro haujaisha hadi leo..

Ni kama ile hadithi ya mtoto anaekojoa sebuleni halafu unamfukuza anaenda kusimama nje anakojoa mkojo akitokea nje kupitia dirishani unaingia sebuleni tena...hujafanya kitu labda uongee na huyo mtoto ujue analilia nini labda kuna pipi tu karibu akipewa its done...

Kuelekea Uchaguzi 2015 CHADEMA now ndio chama cha upinzani chenye nguvu kuna UKAWA ambapo CHADEMA ndio wenye nguvu zaidi na sauti zaidi...Sasa ingawa CHADEMA wanashikilia msimamo wao ambao ni very 'radical' wa kutoongea na Zitto na kuwaita
ACT 'wasaliti' ukweli ni kwamba njia rahisi ya kuidhibiti ACT ni kuongea nao na kujua hasa 'wanataka nini' na kuwapa masharti ya kujiunga na UKAWA na vinginevyo ACT wanaweza kabisa 'kukojoa kutokea dirishani' na the rest ikawa historia.

ACT ikiwa ndani ya UKAWA ..CHADEMA watakuwa na uhakika wa baadhi ya viti vya ubunge watu kama Tundu Lissu,Mbowe na Halima Mdee watapata 'nafuu' ya kupambana na CCM only kuikataa ACT ni kuwaruhusu ACT waweke wagombea wao wa ubunge kwa Lissu,Mdee,Mbowe na wote wengine

sio lazima hao wagombea washinde..lakini wanaweza kugawa kura...the rest will be history.

Najua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto....tatizo ni kwamba 'no one knows the future' .....watu wenye akili hukubali ku negotiate when they have power and are strong watu wajinga huenda ku negotiate wakiwa wameshashindwa au kujeruhiwa.

CHADEMA now they have power....wasisubiri kujeruhiwa.
Nililisoma bandiko kabla ya kuangalia tarehe, na ikiwa ni kawaida yangu kurudi kusoma tarehe kabla sijaanza kushusha nondo nikagundua yawezekana bandiko hili lilikua na mashiko back then Ila kwa sasa kilongola Zitto anazo turufu mbili ambazo ni Maalim Seif Sharif Hamad ambaye anampa uhakika wa viti vingi vya ubunge toka pemba na vichache sana unguja.

Huku Maalim huyo huyo akimpa kura za urais ambazo zitamjazia kibubu cha Ruzuku.

Aidha turufu ya pili ni Bernard Camilius Membe ambaye anampa uhai wa kanda ya Kusini (Lindi, Mtwara na Songea) na huenda kujiongezea kibubu kwenye upatikanaji wa Ruzuku.

Huku yeye mwenyewe akienda kigoma kutia sili pale kwa waha, wamanyema, wavira nk.

Itabidi mfalme Mbowe ajiandae kumpigia bagoti bwamdogo muda ukiwadia
 
Wanaojua historia ya OAU na Morocco na mgogoro wa Sahara Magharibi watakumbuka alichowaambia Nyerere viongozi wenzie wa OAU wakati ule.

Nchi ya Morocco ilikuwa inakataa kila maazimio ya OAU ikisisitiza Sahara Magharibi ni ardhi yake Viongozi wengi wakasema dawa ni kuifukuza Morocco OAU.

Nyerere alipinga na hoja kubwa ilikuwa ukishaifukuza Morocco then what? utawezaje kuidhibiti wakati
sio member wako tena?si unaipa uhuru wa kufanya lolote? nguvu ya kidhibiti Morocco ni only kama Morocco ni member wa OAU...otherwise akishakuwa sio member hatalazimika tena kuisikiliza OAU.Viongozi hawakusikia the rest is history..mgogoro haujaisha hadi leo..

Ni kama ile hadithi ya mtoto anaekojoa sebuleni halafu unamfukuza anaenda kusimama nje anakojoa mkojo akitokea nje kupitia dirishani unaingia sebuleni tena...hujafanya kitu labda uongee na huyo mtoto ujue analilia nini labda kuna pipi tu karibu akipewa its done...

Kuelekea Uchaguzi 2015 CHADEMA now ndio chama cha upinzani chenye nguvu kuna UKAWA ambapo CHADEMA ndio wenye nguvu zaidi na sauti zaidi...Sasa ingawa CHADEMA wanashikilia msimamo wao ambao ni very 'radical' wa kutoongea na Zitto na kuwaita
ACT 'wasaliti' ukweli ni kwamba njia rahisi ya kuidhibiti ACT ni kuongea nao na kujua hasa 'wanataka nini' na kuwapa masharti ya kujiunga na UKAWA na vinginevyo ACT wanaweza kabisa 'kukojoa kutokea dirishani' na the rest ikawa historia.

ACT ikiwa ndani ya UKAWA ..CHADEMA watakuwa na uhakika wa baadhi ya viti vya ubunge watu kama Tundu Lissu,Mbowe na Halima Mdee watapata 'nafuu' ya kupambana na CCM only kuikataa ACT ni kuwaruhusu ACT waweke wagombea wao wa ubunge kwa Lissu,Mdee,Mbowe na wote wengine

sio lazima hao wagombea washinde..lakini wanaweza kugawa kura...the rest will be history.

Najua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto....tatizo ni kwamba 'no one knows the future' .....watu wenye akili hukubali ku negotiate when they have power and are strong watu wajinga huenda ku negotiate wakiwa wameshashindwa au kujeruhiwa.

CHADEMA now they have power....wasisubiri kujeruhiwa.
Umenena. There is no permanent enemy in politics. Let both parties use the Game theory to deal with their common "enemy".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom