Molemo, hiyo ni misukule yenu mliyoshindwa kuipa chakula ndo inahangaika majalalani kutafuta msosi
Mkuu Songoro u made my day nimecheka sanaaa!Jf ni kila kitu duu!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Molemo, hiyo ni misukule yenu mliyoshindwa kuipa chakula ndo inahangaika majalalani kutafuta msosi
naona umekuja kumsaidia Kaijage anayefilisika kimawazo
Mmeungana ccm na chadema kuichafua ACT, chama chenye umri usiozidi miezi sita, hizi ni dalili kuwa imewakaba kweli kweliMkuu Songoro u made my day nimecheka sanaaa!Jf ni kila kitu duu!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wee mchumia tumbo si unasaidiwa na bwana ako molemo???
Akili ya kukodi haiwezi kukufikisha popote. ACT haina uhusiano wowote na miccm. JiheshimuACT kuwalaumu ccn ni geresha tu, hawawezi kuung'ata mkono unao walisha..!
Act kupitia gazeti la raia tanzania la jana wamedai wabunge watakao jiunga nao watapewa mpaka milioni 300 hizi zitatoka wapi kama sio ccm?
na upumbav hautakusaidia kabisaChadema ni mama wa ukanda udini na ukabila .Kilaaniwe hiko chama.
Mmeungana ccm na chadema kuichafua ACT, chama chenye umri usiozidi miezi sita, hizi ni dalili kuwa imewakaba kweli kweli
Kwani wewe umetokea wapi na chama chako cha msimu wa mapela.Katika hali inayoashiria kuwa CCM na wahafidhina CHADEMA hawapendi kuona demokrasia inachukua nafasi hapa nchini, hivi sasa wanakesha majukwaani,mitandaoni na katika vikao vya siri kushambulia ACT. Ni aibu kwa wahafidhina hawa kuungana hivi sasa huku wakiwadanganya Watanzania kuwa wao ni vyama vya kupigania usawa,na haki kwa watanzania. Hivi vyama ni vya kuogopwa kama ukoma..CHADEMA na CCM damu damu ni wanyonyaji wakubwa
ACT itazidi kuwachinja hadi mkome. Si chadema wala ccm, nyie ni wahafidhina tuumechagua njia yenye miiba na misumari ukiwa peku, niliiona act ikifa mwanza mapema tu
Acha gongo za kujificha wewe,zinakuharibu ubongo. Lala kwanzaKwani wewe umetokea wapi na chama chako cha msimu wa mapela.
Hiki cha babu yako huko tengeru kinachotumia katiba ya ukoo kimeungana na ccm kufisadi nchiChama kisicho na katiba
Hivi mbowe anakulipa shilingi ngapi kwa ufisadi anaoufanya? au kazi yake ni kumsafisha kwa maovu yake huku ukiambulia sifuri?
kajipange upya,chadema amebaki mtei ,mbowe na familia zao,jiandae kisaokolojia
Pole sama Mwalimu. Nakuonea huruma!!!!!! Du!!!!Katika hali inayoashiria kuwa CCM na wahafidhina CHADEMA hawapendi kuona demokrasia inachukua nafasi hapa nchini, hivi sasa wanakesha majukwaani,mitandaoni na katika vikao vya siri kushambulia ACT. Ni aibu kwa wahafidhina hawa kuungana hivi sasa huku wakiwadanganya Watanzania kuwa wao ni vyama vya kupigania usawa,na haki kwa watanzania. Hivi vyama ni vya kuogopwa kama ukoma..CHADEMA na CCM damu damu ni wanyonyaji wakubwa
Akili ya kukodi haiwezi kukufikisha popote. ACT haina uhusiano wowote na miccm. Jiheshimu