Kesho nitanzisha thread yenye kichwa cha habari: KAIJAGE NA ACT KASULU. nitajitaidi kuweka kila kitu kuweka upuuzi wa huyu kijana na kinachoendelea ACT kasulu. Akianzisha mada anaikimbia kwani hawezi jibu hoja. Nitataka kesho tufute neno mwl, analolitumia mara kwa mara ili mjue ni mtu wa aina gani anayeanzisha huu upuuzi.
Swali langu nazunguka nalo..kwa nini ACT wameelekeza nguvu kuishambulia chadema..?!
Kwa ukilaza wako...huwezi kujibu hilo swali..ACT ni chama kilichosheheni think tanks,kinaungwa mkono na vijana wasomi wa vyuo vikuu,wahadhiri wa vyuo vikuu,wafanyabiashara wakubwa,wahisani wa kimataifa na wanasiada wakongwe,hatuna muda wa kupambana na chama kilichojiua chenyewe,chadema ilivikuta vyama vingi lkn hamkufanyiwa zengwe na majungu kama ninyi ambavyo mmejigeuza kuwa ofisi ya msajili,
mlisema chadema inawenyewe,wanyonge tumewaacha wenyewe mbaki na saccos yenu inayoongozwa na DJ mbowe na padri Slaa,
sisi tunatangaza sera zetu na tunaingwa mkono kwa kishindo kiasi cha majafidhina kuweweseka na kufanya vikao vya kuhujumu ACT,lkn kamwe hamuwezi fanikiwa,ACT NI YA WANYONGE,sauti ya wanyonge ni sauti ya mungu.
chopa tatu ,kata tatu,nabado
Katika hali inayoashiria kuwa CCM na wahafidhina CHADEMA hawapendi kuona demokrasia inachukua nafasi hapa nchini, hivi sasa wanakesha majukwaani,mitandaoni na katika vikao vya siri kushambulia ACT. Ni aibu kwa wahafidhina hawa kuungana hivi sasa huku wakiwadanganya Watanzania kuwa wao ni vyama vya kupigania usawa,na haki kwa watanzania. Hivi vyama ni vya kuogopwa kama ukoma..CHADEMA na CCM damu damu ni wanyonyaji wakubwa
we mshe*#nzi una laana ya kupanga vurugu kwenye mkutano wa dk.slaa kasulu.katika hali inayoashiria kuwa ccm na wahafidhina chadema hawapendi kuona demokrasia inachukua nafasi hapa nchini, hivi sasa wanakesha majukwaani,mitandaoni na katika vikao vya siri kushambulia act. Ni aibu kwa wahafidhina hawa kuungana hivi sasa huku wakiwadanganya watanzania kuwa wao ni vyama vya kupigania usawa,na haki kwa watanzania. Hivi vyama ni vya kuogopwa kama ukoma..chadema na ccm damu damu ni wanyonyaji wakubwa
hawajui kuwa mpango wa allah hauna wa kuupinda abadan.act kupitia gazeti la raia tanzania la jana wamedai wabunge watakao jiunga nao watapewa mpaka milioni 300 hizi zitatoka wapi kama sio ccm?
mwalimu toa mifano watu waelewe. Mimi binafsi ninashangaa kuona m/kiti na katibu chadema kasulu wanamuunga mkono mgombea ajae wa ccm kasulu mjini dan nsanzugwako sijue wao hawana mgombea? Pia nakushauri acha kujilesi kama wanavyojilesi wengine jibu kistaarabu.
Kaijage wameshindwa hoja,ndio maana wanakimbilia parsonal attack,lengo ni kukufunga mdomo kwa sababu wewe umekuwa kiongozi wa chadema kwa miaka mingi,hivyo unaojua chadema ma usanii wake nje ndani,inawavua nguo hadharani kiasi cha kujikuta unazidi kuzamisha jahazi,wape dawa wapone wsachana na ACT fobia,watakuelewa na hatimae watakiunga na ACT maana hiki chama hakina unaguzi kama ilivyo chama chao ambacho sifa kui ya kuwa kiongozi ni proparty qualification
Viva ACT.
Tusha wajua nyie wana act hamna chenu kwa watu wenye akili zao mabda mka waadae huko Kigoma wenye elimu finyu sawa na vimo vyao
Act kupitia gazeti la raia tanzania la jana wamedai wabunge watakao jiunga nao watapewa mpaka milioni 300 hizi zitatoka wapi kama sio ccm?