Lugha unayoitumia inasadifu wewe ni mtu wa aina gani,haiwezekani kuwepo sehemu ulizozitaja kwa kazi maalum ila inasadifu utovu wa maadili ambapo chama chochote chenye aina hiyo ya watu kama wewe hakiwezi kufanikiwa. Pole sana kijana usiyejitabua unayemtukana baba yako eti kisa hunijui hata mama yako akikwambia huamini.mbaya zaidi hujajua mimi ni nani!
-kwa taarifa tu leo nipo maeneo ya kasulu maeneo ya kitanga kwa kazi maalumu,na kesho nitakuwa manyovu keshokutwa nitakuwa kaliua tabora. Naamini umenilewa we mshe*#nzi.
lugha unayoitumia inasadifu wewe ni mtu wa aina gani,haiwezekani kuwepo sehemu ulizozitaja kwa kazi maalum ila inasadifu utovu wa maadili ambapo chama chochote chenye aina hiyo ya watu kama wewe hakiwezi kufanikiwa. Pole sana kijana usiyejitabua unayemtukana baba yako eti kisa hunijui hata mama yako akikwambia huamini.
Mkuu kuifananisha ccm na wauwaji machadema ni kuikosea adabu. Si sawa hata kidogo. Chadema wameshiriki matukio ya kinyama ya kiuwaji,umwagaji damu,kudhulum haki za wananchi wasio na hatia leo unawafananisha na chama makini ccm?? Hapana,tutake radhiKatika hali inayoashiria kuwa CCM na wahafidhina CHADEMA hawapendi kuona demokrasia inachukua nafasi hapa nchini, hivi sasa wanakesha majukwaani,mitandaoni na katika vikao vya siri kushambulia ACT. Ni aibu kwa wahafidhina hawa kuungana hivi sasa huku wakiwadanganya Watanzania kuwa wao ni vyama vya kupigania usawa,na haki kwa watanzania. Hivi vyama ni vya kuogopwa kama ukoma..CHADEMA na CCM damu damu ni wanyonyaji wakubwa
Mkuu kuifananisha ccm na wauwaji machadema ni kuikosea adabu. Si sawa hata kidogo. Chadema wameshiriki matukio ya kinyama ya kiuwaji,umwagaji damu,kudhulum haki za wananchi wasio na hatia leo unawafananisha na chama makini ccm?? Hapana,tutake radhi
mijitu yenye mtindio wa ubongo ndio huandika hivi ulivyoandikaKweli misukule usipo ilisha chakula itoka na kuanza kuchakura majalalani sasa usiombe ukutane nayo wakati inahaha kwa njaa.
Mnatafunana wenyewe kwa wenyewe
ACT imewakaba koo wakanja wa demokrasia, sasa kila kukicha na ACT ni jinsi gani ACT ilivyowabana na hawana pa kutokea
Chadema ni mama wa ukanda udini na ukabila.Kilaaniwe hiko chama.
Kwani ACT ina ubavu wa kukikaba koo chama chochote? Chama hata wanachama hakina kinajitutumuaACT imewakaba koo wakanja wa demokrasia, sasa kila kukicha na ACT ni jinsi gani ACT ilivyowabana na hawana pa kutokea
Molemo, hiyo ni misukule yenu mliyoshindwa kuipa chakula ndo inahangaika majalalani kutafuta msosi
Kwani ACT ina ubavu wa kukikaba koo chama chochote? Chama hata wanachama hakina kinajitutumua
wakizaa watoto wao watawaita ACT
Hivi kuna mtu mwenye akili kweli anaweza kuhangaika na misukule ya CHADEMA iliyoshindikana huko?Sasa Molemo na Songolo, kama ACT haina wanachama mbona hanaangaika nacho, siku zenu zinaesabika,mtapoteana wote hata humu kwenye mitandao,, Nguvu ya ACT hakuna wa kuizima kwani ndio tumaini la Watanzania baada ya kushindwa kwa vyama vya kinjanja..
Sasa Molemo na Songolo, kama ACT haina wanachama mbona hanaangaika nacho, siku zenu zinaesabika,mtapoteana wote hata humu kwenye mitandao,, Nguvu ya ACT hakuna wa kuizima kwani ndio tumaini la Watanzania baada ya kushindwa kwa vyama vya kinjanja..