Kweche Lwambo
Member
- Jul 26, 2014
- 13
- 2
CCM ni chama cha siasa na ACT ni mchezo wa kuigizaKwani kuna tofauti ipi kati ya ccm na act?
CCM ni chama cha siasa na ACT ni mchezo wa kuigizaKwani kuna tofauti ipi kati ya ccm na act?
Lumumba hatuwezi kuwa na tawi la mchezo wa kuigizaUna ndoto za kitoto sana,hilo tawi la lumumba litakufa kifo cha mende:Ulishaona wapi ngoma ya wasaliti ikakesha?
Sasa Molemo na Songolo, kama ACT haina wanachama mbona hanaangaika nacho, siku zenu zinaesabika,mtapoteana wote hata humu kwenye mitandao,, Nguvu ya ACT hakuna wa kuizima kwani ndio tumaini la Watanzania baada ya kushindwa kwa vyama vya kinjanja..
bado kipya
Mkuu, sidhani kama kuna kibaraka wa ccm ambaye ni msukule wa CHADEMAUnapodeal na shetwani ccm huwezi kuviacha vibaraka vyake kama act!
Utahangaika sana wewe Kibaraka wa CCM.
ACT - Assist CCM Technically
Mkuu, sidhani kama kuna kibaraka wa ccm ambaye ni msukule wa CHADEMA
Unaposhindwa kujibu hoja na kukurupuka ni kwamba uwezo wako wa kiakili ni mdogo. kajoro Bujoro, matuzi, kazi yako karibu kasuluni laana kwa taifa kuwa na watu wenye fikra mgando kama za kwako,jijengee hulka ya kjitathmini kabla ya kujibu posti za watu.
Una ndoto za kitoto sana,hilo tawi la lumumba litakufa kifo cha mende:Ulishaona wapi ngoma ya wasaliti ikakesha?
CCM, CDM,ACT kuelekea 2015 ni UJERUMANI, BRAZIL, ARGENTINA NA UHOLANZI kuelekea FAINALI, CCM(ujerumani) ilisha-qualify inasubiri mshindi Kati ya CDM(Uholanzi) na ACT(agentina). Mjikanyage sana, ila msipoangalia ACT na majungu yenu haya CDM wanaweza kuinia fainali kukabiliana na jabali la SIASA.
Katika hali inayoashiria kuwa CCM na wahafidhina CHADEMA hawapendi kuona demokrasia inachukua nafasi hapa nchini, hivi sasa wanakesha majukwaani,mitandaoni na katika vikao vya siri kushambulia ACT.
Ni aibu kwa wahafidhina hawa kuungana hivi sasa huku wakiwadanganya Watanzania kuwa wao ni vyama vya kupigania usawa,na haki kwa watanzania. Hivi vyama ni vya kuogopwa kama ukoma..
CHADEMA na CCM damu damu ni wanyonyaji wakubwa