JAKOBO
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 934
- 194
Molemo, hiyo ni misukule yenu mliyoshindwa kuipa chakula ndo inahangaika majalalani kutafuta msosi
Hiyo misukule mliirubuni nyie eti mtaiwezesha kila kitu Ili itusambaratishe naona mnaigeuka kama mlivyowageuka waliowachagua Ile ahadi ya "maisha bora kwa kila Mtanzania"Kweli hamna shukurani Ccm