CHADEMA wasusia Interview ya TBC 1

Suluhu ni kwa TBC kuwa ya kitaifa na kuacha propaganda zao dhidi ya upinzani. Vinginevyo big up kwa Chadema ambao mmetuunga mkono na sisi tulioanza kuisusia TBC kitambo kabisa.
 
chadema wapo kama mwanamke malaya kwa kususa wakati hela ya kula unamtegemea msela, tumeishawazoea, walimkataa jk wakapewa juice ikulu wenyewe wakalegeza!
 
TBC = TIDO
If TIDO = 0, then TBC does not exist!
What you see is the ghost of once TBC.
 
Leo katika semina ya siku Moja iliyoitishwa na TCD, TBC 1 Ilikuja kwa lengo la kufanya coverage ya kikao. Baada ya hotuba za ufunguzi waliwaita viongozi aw CCM na wa CHADEMA nje kwa ajili ya mahojiano zaidi. Mwakilishi wa CCM alitoka haraka haraka na kuanza kuhojiwa. Lakini Yule wa CHADEMA aliwaita wenzake na kujadiliana kama ingekuwa afya kwa chama chao kama angehojiwa hasa baada ya chama kutangaza mgogoro na TBC 1. Kwa pamoja walikubaliana kutoshiriki mahojiano hayo na hivyo kuwaacha TBC waking'aa macho.

Waliohudhuria semina hiyo kuiwakilisha CHADEMA ni
1. Mhe. Naomi Kaihura
2. Mwita Marwa Mwikabe
3. Tumaini Makene
4. Basil Lema.

Inaonyesha kuwa mgogoro aw CDM na TBC ni real. Labda atafutwe mtu awasuluhishe!

It is time for TBC to observe ethical standards on their staffs. The principle of objectivity, fairness and balancing should be weighed. The media is citizenry operated so any attempt to lower the existing fulcrum as they are doing now simply means miss use of the citizens' tax.

TBC top officials must think life after CCM. They can not be blinded while there is massive political changes within our country and more serious readiness of majority Tanzanians to remove CCM from power. Where will they hide their face?
 
Haingekuwa na maana yoyote sababu hata hiyo tbc huwa hatuiangalii. Wangepoteza muda tu!
 
Wao waendelee kuandaa vipindi vya kutukana CDM kama kawaida yao.


Bahati mbaya kwa tbccm ni kwamba kadri wanavyojitahidi kuitukana Chadema ndivyo watu wanavyozidi kuiunga mkono, na baada ya kamati kuu kutoa tamko la kuisusia sasahivi tbccm imeendelea kutazamwa na watu wachache kwahiyo kujaribu kufanya mahojiano na Chadema ingekuwa ni ushindi kwao.
 
Bahati mbaya kwa tbccm ni kwamba kadri wanavyojitahidi kuitukana Chadema ndivyo watu wanavyozidi kuiunga mkono, na baada ya kamati kuu kutoa tamko la kuisusia sasahivi tbccm imeendelea kutazamwa na watu wachache kwahiyo kujaribu kufanya mahojiano na Chadema ingekuwa ni ushindi kwao.

Kwa umakini tulionao cdm, hawawezi kutupata na mtego kitoto hivyo!
 
... Lakini Yule wa CHADEMA aliwaita wenzake na kujadiliana kama ingekuwa afya kwa chama chao kama angehojiwa hasa baada ya chama kutangaza mgogoro na TBC 1. Kwa pamoja walikubaliana kutoshiriki mahojiano hayo na hivyo kuwaacha TBC waking'aa macho.

...

Hapo kwenye red. Hilo lilikuwa KOSA KUBWA kuliko kuhudhuria interview yenyewe! Kamati Kuu ya Chama ilishatangaza mgogoro na hicho kituo how comes tena leo hii wawakilishi wa chama eti wana-discuss kama wawe interviewed au la?

Hata kile kitendo cha kukiwaza hicho kituo nje ya utaratibu uliowekwa na chama tayari ni uasi dhidi ya maagizo ya chama. Nimesikitika sana.
 
ongereni cdm tbc sio chombo cha umma tena wanafiki na wazandiki sisi watu wenu tumepiga marufuku tbc majumbani kwetu mpaka tupate tamko la msingi after 2015 safisheni pale tbc na kisha muwaeleze cdm haitaji kubebwa ikiboronga mnaichana sio kama mlivyokuwa mkifanya kwa ccm bbc ya malikia mbona wanaichana familia hiyo ikiboronga?
 
chadema wapo kama mwanamke malaya kwa kususa wakati hela ya kula unamtegemea msela, tumeishawazoea, walimkataa jk wakapewa juice ikulu wenyewe wakalegeza!
mueshimiwa bahati yako umekuta watu tunafunga mwaka mzima la sivyo leo ungenitumbukiza kwenye ban ata hivyo wakati mwingine jitahidi kuficha upunguani wako tafuta suluhu ya people 11 kule arusha
 
Kiukweli hiyo nimeipenda sana,na nashukuru tuneungana namimi kwani ni muda mrefu siangalii TBC 1,kwangu ni marufuku.
 
Hivi bado mnaangalia TBC?. Hata hilo jina kuandika hapa nimepata kichefu chefu. Nawachukia TBC kama Funza wa chOoni
 
TBC 1 ni mali ya CCM 100% haina tofauti yoyote na RADIO UHURU. Wapotezee wasilete nuksu zao. CDM hatuwataki, mimi nilishapiga marufuku kuangalia nyumbani kwangu.
 
Back
Top Bottom