Kwa muda mrefu TBC wamekua hawatangazi habari nzuri za CDM, nyingi ni zile hasi and sometimes wanafanya interpretation ambazo kwakweli sio sahihi, rejea midahalo waliofanya soon after those 2 deaths, ile ya Morogoro na mwandishi mwenzao Daudi Mwangozi (RIP), nadhani wamefanya utafiti wa kutosha na kujiridhisha kuwa most of Tanzanians hawaangali tena vipindi vyao, labda The comedy na Chereko, lakini vipindi vingine ndo hivyo tena, havina watazamaji, why? wamekuwa kimagamba zaidi kuliko ki fact zaidi, so wakaona wawatafute CDM ili maybe wanaweza kurudisha mioyo ya watazamaji makini kwenye TV yao, CDM nao wakawastukia, so imekula kwao! Big up sana CDM. Please naomba nieleweke, sio wote wasioitazama TBC, bali watu makini ndio wameiwekea vikwazo vya kiuchumi TBC, na watu wa aina hii wanazidi kuongezeka kadiri soma la Uraia livyoendelea kufundishwa na CDM.