CHADEMA wasaliti - CUF

hiyo sio demokrasia kila chama kina ushawishi wake wew kutokukipenda au kutokumpenda mgombea haina maana kuwa ndo msaliti kila chama lengo lake la msingi ni kushika hatamu sasa kwa kuachiana majimbo tutafika wapi?

kwakutokuachiana majimbo na unajua chama fulani cha upinzani kinanguvu pale kweli hamtafika popote ila itakayofika nakufaidika ni ccm kwakuchukua jimbo kiulaini kwaurohowenu wa madaraka nyie wapinzani hasa cdm.

Bora tuwe wakweli Vyama vya siasa havitafika mbali kama havitokuwa na tabia ya kuachiana majimbo. Kama kweli CUF ina nguvu zaidi ya CDM basi CDM waiachie CUF Igunga vinginevyo ni kuwapa CCM ubwete wa kushinda.

Mbona hauwashauri CHADEMA wawaachie CCM hilo jimbo? Au unajifanya haujui CCM = CUF!! Kuiachia CUF au CCM ni kitu kilekile mboma haushauri CHADEMA iwaachie CCM!!?? We nawe ni walewale tu huna lolote!!

mtatiro bro si lazima uongee bro ona sasa yatakayokukuta

mwenye macho haambiwi tazama,cuf wamechimbia mizizi igunga tokea yaanze mageuzi,chadema hata tawi wa walikua hawana wamekurupuka juzi kwakua kuna uchaguzi mdogo,tatizo chadema wanatamaa mno na wanajidanganya kwandoto zamchana,cdm wangewaachia cuf wenye nguvu kubwa igunga jimbo lingechukuchuliwa na upinzani,ila kwa tamaahizi za cdm naweza sema wazi tayari ccm wameshashinda na wanasubiri kuapisha mbungewao tu.

Yaani wewe hadi leo hujajua wapinzani ni nani? Mbona hamjiamini? Tusubiri uchaguzi ufanyike ili tujue nani kakurupuka, nani kajichimbia mizizi na nani ana sera za kumkomboa mwana Igunga kutoka kwenye magamba!!!!

kwakutokuachiana majimbo na unajua chama fulani cha upinzani kinanguvu pale kweli hamtafika popote ila itakayofika nakufaidika ni ccm kwakuchukua jimbo kiulaini kwaurohowenu wa madaraka nyie wapinzani hasa cdm.

unatumia kigezo gani kujua chama chenye nguvu zaidi? Katika uchaguzi uliopita za urais katika jimbo la Igunga Dr Slaa wa chadema alimzidi lipumba wa cuf kwa kura zaidi ya 3000 sasa ni chama kipi kina nguvu hapo?

huyu kweli ana digree jamani ndo mana vyuo vyetu vinasemwa avitoi wataalam wenye viwango sababu ya masaburi kama huyu sasa hata aoni kuwa mtu unasalitiwa na mumeo/mkeo na sio mume wa mwenzio? Ye si ameenda na mumewe gamba sasa baada ya kuwaeleza wana igunga mustkabari wa maisha ya mlalahoi wa tz ye anapanua masaburi yake na kushtum cdm kweli huyu ana uchungu na nji hii ? Hata kafu kumpa icho cheo ni kuziba pengo lao la udini kwenye uongozi lkn hana viwango.

mwenye macho haambiwi tazama,cuf wamechimbia mizizi igunga tokea yaanze mageuzi,chadema hata tawi wa walikua hawana wamekurupuka juzi kwakua kuna uchaguzi mdogo,tatizo chadema wanatamaa mno na wanajidanganya kwandoto zamchana,cdm wangewaachia cuf wenye nguvu kubwa igunga jimbo lingechukuchuliwa na upinzani,ila kwa tamaahizi za cdm naweza sema wazi tayari ccm wameshashinda na wanasubiri kuapisha mbungewao tu.

Mwera?!! Aliyekuwa mbunge wa Tarime au mwingine? Kama ndiye, pole kaka. Cuf sio upinzani, ni wachumba wa ccm. Kwani mtu anaweza kuwa mpinzani wa mchumba wake? Ukitaka rudi upinzani, hutaki, endelea kulalamika huku mwenzi wako akipeta.

mwenye macho haambiwi tazama,cuf wamechimbia mizizi igunga tokea yaanze mageuzi,chadema hata tawi wa walikua hawana wamekurupuka juzi kwakua kuna uchaguzi mdogo,tatizo chadema wanatamaa mno na wanajidanganya kwandoto zamchana,cdm wangewaachia cuf wenye nguvu kubwa igunga jimbo lingechukuchuliwa na upinzani,ila kwa tamaahizi za cdm naweza sema wazi tayari ccm wameshashinda na wanasubiri kuapisha mbungewao tu.

mbona wewe hukuwaachia CHADEMA kule Tarimo ukijua wana nguvu? Upumbavu kama wa kwako si wakuvumiliwa hata kidogo.

mwenye macho haambiwi tazama,cuf wamechimbia mizizi igunga tokea yaanze mageuzi,chadema hata tawi wa walikua hawana wamekurupuka juzi kwakua kuna uchaguzi mdogo,tatizo chadema wanatamaa mno na wanajidanganya kwandoto zamchana,cdm wangewaachia cuf wenye nguvu kubwa igunga jimbo lingechukuchuliwa na upinzani,ila kwa tamaahizi za cdm naweza sema wazi tayari ccm wameshashinda na wanasubiri kuapisha mbungewao tu.

hivi wewe ni yule mwera wa Tarime uliyekuwa unazomewa na wananchi kila ulipokuwa unapita? Nakumbuka mara ya mwisho pale sokoni uwanjani ulipigwa mawe..

Ndiyo huyo Mkuu umenikumbusha nimecheka sana. Jamaa alipigwa mawe alikimbia kama mbwa mwizi!

Huyu jamaa ameishaanza uoga...

Kama Chana chao kitashinda si tutaona baada ya uchaguzi, Kama yeye anajua matokeo kabla ya uchaguzi anatafuta nini Igunga. Anashindwa tu kuelewa kwamba kufulia kwa Chama chao hakusababishwi na chadema ila ni usaliti wao na kuolewa na CCM na wanaigunga hawako radhi kumpa kura mbwa, watampa kura mwenye mbwa amble ni CDM.

mwenye macho haambiwi tazama,cuf wamechimbia mizizi igunga tokea yaanze mageuzi,chadema hata tawi wa walikua hawana wamekurupuka juzi kwakua kuna uchaguzi mdogo,tatizo chadema wanatamaa mno na wanajidanganya kwandoto zamchana,cdm wangewaachia cuf wenye nguvu kubwa igunga jimbo lingechukuchuliwa na upinzani,ila kwa tamaahizi za cdm naweza sema wazi tayari ccm wameshashinda na wanasubiri kuapisha mbungewao tu.

That is layman solution. Mbona husemi CCM wawaachie CUF au CDM??? Kuanzia lini vyama vinaachiana nafasi za kugombea?? Nini kazi ya chama kama si kushiriki nafasi za kugombea uwakilishi??? Think critically.

Mratibu wa kampeni wa cuf Julius Mtatiro ameishtumu vikali chadema kwamba kiimeenda Igunga kwa lengo la kugawa kura za Cuf.Mtatiro amesema chadema wanajua wazi hawana nguvu yoyote Igunga lakini wameamua kwenda huko ili ccm ishinde.Mtatiro amemueleza mwandishi wa habari hizi kwamba chadema wasijidanganye kuambulia hata nafasi ya pili bali watakuwa namba 3 nyuma ya ccm na cuf.Mtatiro amesema cuf wamejipanga kuwaeleza wananchi wa igunga ukweli wote kuhusu chadema ili waamue wenyewe.
Huu ndiyo ujinga wa wapinzani uchwara, badala ya kuwaeleza wananchi wa Igunga ukweli wote kuhusu ubaya wa CCM, wanafanya kazi ya kumpinga mpinzani mwenzao. Nadhani hii ndiyo inayoonyesha wazi kwamba CUF ni Magamba B

Sasa kama CCM na CUF wakipeleka Ben na Sharif, nani Mpinzani? let us be logical guys

Ninavyofikiri, Mtatiro alikosea njia kabisaaa kwenda CUF, nadhani hata yeye huwa anaota upinzani wa dhati wa CHADEMA ndiyo maana anatapatapa na uchaguzi wa Igunga. Anaposema CHADEMA wasaliti kulikukuwa na makubaliano ya awali kwamba waachiane. mgombea wao kupata kura 11 elfu mwaka jana si kigezo kwamba wanakubalika kihivyo.

Back
Top Bottom