Kwa kweli, hali yao ni mbaya. Kumbe CUF wanatafuta ushindi wa pili au wa tatu?
Inamanisha CUF hawana uhakika na wapiga kura wao ndo maana wanawaza mambo ya kugawana kura, Chadema tuna kura zetu za wananchi wenye uchungu wa kupata maendeleo, hatuna wa kugawana nae hizi kura kwa kuwa mtazamo na utendaji wa chama chetu ni wa kipekee