Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Kweli Arusha itakuwa no business as usual, mpaka hili swala lipate muafaka uchaguzi urudiwe!!!!!!!!!!!!!!!kwa wewe mwenye uelewa finyu huu kwako ni mchezo wa kitoto, watu wenye akili zao wamekaa na wamepanga strategy hii, ambayo hata kama ccm waking'ng'ania meya aendelee yule batili lakini no bussiness as usuall. chadema itakuwa na majority kwenye council ya Arusha. nadhani unajuwa nini maana ya majority kwenye vyombo vya maamuzi. sumbuwa akili yako kidogo kufikiri deeper, ndio maana halisi ya Great Thinkers.