CHADEMA waongeza mbunge Arusha mjini

This is now chaos kwa sababu nao CCM wataongeza wengine.......................................vurugu tupu................

Its dissapointing! who are we suppose to trust and understand??? why mis-leading poor/ignorant people and the next thing is CHADEMA doing the same thing?
 
Kama hii Kweli basi Miaafrika tuna matatizo..Tuliambiwa chanzo cha mauaji ya Arusha ni huyo mama wa viti maalum sasa CDM wanafanya yaleyale..kweli nyie ni mipumbavu....nimechukia sana

Sio kama mimi,yani hadi machozi yamenitoka????Pumbavu na waongo na mafisadi na damu za marehemu ziwalilie hadi mseme ukweli kama ni kweli mlitudanganya wananchi na leo mnafanya kile kile!!!:Cry::Cry::Cry:
 
Watatumia katiba na taratibu zilizoko mpaka tupate katiba na taratibu mpya.

Hii inaonyesha Chadema walikurupuka kusema Chitanda hana haki ya kupiga kura na kuanzisha maandamano yasiyokuwa na tija. Ndio matatizo ya uwezo mdogo, jazba na lack of experience...

Inabidi sasa watoe maelezo kwa wananchi waliojitokeza kuwaunga mkono kwa madai ya Chitanda sio mjumbe halali. Uongozi chadema ovyo!!

I bet you are the ovyoest
 
Kwa wale waliohudhuria sunday skuli miaka hiyo kuna hili neno:

"Nimeona kila jambo katika siku zangu za ubatili. Yuko mwadilifu anayeangamia katika uadilifu wake, na yuko mwovu anayeendelea kuishi kwa muda mrefu katika ubaya wake". (Mhubiri 7:15)




Tafakari!!!!!!!!!!!!
 
kwa wewe mwenye uelewa finyu huu kwako ni mchezo wa kitoto, watu wenye akili zao wamekaa na wamepanga strategy hii, ambayo hata kama ccm waking'ng'ania meya aendelee yule batili lakini no bussiness as usuall. chadema itakuwa na majority kwenye council ya Arusha. nadhani unajuwa nini maana ya majority kwenye vyombo vya maamuzi. sumbuwa akili yako kidogo kufikiri deeper, ndio maana halisi ya Great Thinkers.

i can see you are absolutely a great thinker-bravo man
 
Matola: Uko sawa kabisa, issue hapa siyo umeya tu, cha msingi zaidi ni majority, kwa sababu hata wakiwa na meya when it comes to voting on a certain issue, then CDM always watakuwa kwenye safe side.

Kama alivyowahi kusema Ben, Raisi aliyemwachia ziwa JK: Watanzania tusiwe wavivu wa kufikiri
 
Naomba kuuliza, hivi CCM ilichokifanya na Chatanda, kinatofauti gani na Mbowe alichokifanya kule Hai na hili la kuongeza mbunge mmoja Arusha?.

Kama tofauti ni kura moja, jee CCM nao wakiamua kuhamishia wabunge wake watano wa viti maalum kuhudumu Arusha itakuwaje?.
Itakuwa utoto, ukichezewa rafu huku refa anaangalia dawa yake si kususia mechi na wewe cheza rafu hizo hizo kwa sheria anazozifuata refa.
 
Cha msingi hapa tuhakikishiwe kwamba mh. huyo ni kweli kabisa kwamba hakuripoti halmashauri nyingine yeyote na kwa maana hiyo basi hajawahi kushiriki kupiga kura katika chaguzi za viongozi wa halmashauri. Kinyume cha hapo basi tusubiri timwili lingine huko Arusha.
 
Kama habari hii ni ya kweli basi maandamano ya CHADEMA Arusha yalikuwa haramu;

Kama CHADEMA wamemleta Mama Komu Arusha kutoka alipogombea Ubunge Kigamboni-Dar es salaam;kwa nini sasa tunalia CCM walipomtoa Mama Chitanda kutoka Tanga na kumleta kupiga kura yake Arusha?

Kwa mtiririko huu wa demokrasia ya TZ kuna mantiki tena kupinga Mama Chitanda kupiga kura yake kuchagua Meya Arusha?

Malafyale,

Hili si nilikuambia kule kwingine? Hizi zote ni politics tu, CHADEMA walikuwa wanajua ukweli wa sheria hii mbovu ila waliamua kucheza siasa.

Nasema walikuwa wanalijua na ndio maana hata kule Hai walitumia sheria hii hii mbovu mbovu ambayo wanaipinga.
 
Si mchezo, Jino kwa jino Maulida Komu na Mary Chatanda ndani ya halmashauri ya jiji la Arusha. Sipati picha...
 
Malafyale,

Hili si nilikuambia kule kwingine? Hizi zote ni politics tu, CHADEMA walikuwa wanajua ukweli wa sheria hii mbovu ila waliamua kucheza siasa.

Nasema walikuwa wanalijua na ndio maana hata kule Hai walitumia sheria hii hii mbovu mbovu ambayo wanaipinga.
Great thinkers hatuwezi kwenda zaidi ya hapo, kwa kujua sheria ni mbovu then what is next kulaumu aliyeziweka au anayezifuata sipati picha?
 
Hajapewa transfer ndiyo kwanza amepangiwa na chama chake kama chitanda anavyosema namna cdm wameamua ccm wamemwaga unga wao wanamwaga mboga

Kwa siasa hizi za ujanja-ujanja bado wanataka tuwaamini watuongoze? tuwatofautishe vipi na waliopo hivi sasa au tutegemee mabadiliko gani wakipewa nafasi?

Haya mambo ya kumwaga ugali na mboga tukose wote hatutafika popote!
 
Hivi Rev. Tanzania tunayo Katiba? Nitakuwa sikosei kabisa nikisema tuliyonayo si Katiba ya Taifa letu la Tanzania bali ni itikadi ya chama kimoja iliyobatizwa na watu wasiojua maana ya demokrasia wakaiita katiba.

Katiba! Ipi?
Tanzania tuna Daftari la Mazoezi. Unaweza ukafuta na kuongeza mistari au maneno wakati wowote ule.
 
Mary sasa arudishe miguu yake Tanga maana huo mziki wa mama Komu lazima umtie adabu.
 
TUMECHELEWA JAMAA HAWAACHII MADARAKA MPaKA MAHAKAMA IAMUE,KAZI IPO ATOWN
kwani hawawezi kupiga kura za kutokuwa na imani na meya....au sheria zina sema je?....na je katika kupitisha mambo mbalimbali huoni CDM + TLP watakuwa na nguvu kuliko CCM...
 
Kwa siasa hizi za ujanja-ujanja bado wanataka tuwaamini watuongoze? tuwatofautishe vipi na waliopo hivi sasa au tutegemee mabadiliko gani wakipewa nafasi?

Haya mambo ya kumwaga ugali na mboga tukose wote hatutafika popote!
Hiyo ndiyo dawa pekee ya mbabe ukijifanya mnyonge atazidi kukudharau wewe utaona CDM hawana tofauti na CCM wengine wanaona.
 
Ukizijua sheria kunanoga. Baada ya makamba kuleta utetezi uchwara kuwa chatanda kaenda arusha coz hajaripoti alimashauri yoyote,Tundu Lissu na Marando wakacheka sana,wakasemezana,"mbona na cdm tunao ambao wako free"wakamwambia Maulda afike Arusha. Mkwere amechukia sana,akahaidi akitoka safari atafika anateua wabunge 5,waungane na akina Zakia Meghji watimie8 kati ya 10 ambao katiba inamruhusu kuteua ,na ameamua kuwapeleka Arusha wote. Hapa mchezo utakuwa mgumu zaidi. Kama riwaya vile?
wakazi wa Arusha tutegemee nini?
 
kwani hawawezi kupiga kura za kutokuwa na imani na meya....au sheria zina sema je?....na je katika kupitisha mambo mbalimbali huoni CDM + TLP watakuwa na nguvu kuliko CCM...
Nafikiri hilo ndilo lengo la CDM in future hakuna kitu atakachofanya huyo meya.
 
Back
Top Bottom