Nawashangaa watu wamepandisha pressure wanasema ovyo wakati binafsi sioni shida na move hiyo. Uwezekano wa kurudia uchaguz arusha ni negligible, labda kwa arbitration ya level nyngne kbsa.
Kwann hatuangalii kwa engo ingine kwmb Arusha imeonyesha waz kwmb ni halmashauri nyeti na yenye challenges nyng zaid, na hivyo labor force zaid inatakiwa? Kwann tunaongelea kumwaga mboga na ugali, vinatoka wapi? Think positively pals!
Kama ni hivyo sasa chadema walikuwa wanalalamika nini sasa, bogus kabisa.
Udhaifu wa katiba huu!
what about the case ya Mayor kuchaguliwa bila madiwani wote kupiga kura?Kama habari hii ni ya kweli basi maandamano ya CHADEMA Arusha yalikuwa haramu;
Kama CHADEMA wamemleta Mama Komu Arusha kutoka alipogombea Ubunge Kigamboni-Dar es salaam;kwa nini sasa tunalia CCM walipomtoa Mama Chitanda kutoka Tanga na kumleta kupiga kura yake Arusha?
Kwa mtiririko huu wa demokrasia ya TZ kuna mantiki tena kupinga Mama Chitanda kupiga kura yake kuchagua Meya Arusha?
what about the case ya Mayor kuchaguliwa bila madiwani wote kupiga kura?
he, wabunge wanahamishwa siku hizi? hahaha. huko tuendako, sipati picha mie
2/3Walikuwa na madai gani? si walisema aliyesababisha fujo ni chatanda? ama
Ccm haitawaruhusu madiwani wakeSasa kinachofuatia ni madiwani wote wapenda mabadiliko jijini Arusha kufanya haraka KUWAENZI MASHUJAA WALIOUAUA mwezi huu kwa kupiga kura ya KUTOKUWA NA IMANI NA DIWANI WA CCM pale Arusha basi mchezo kwisha.
Zomba, Makamba na Chitanda mpo mpaka hapo!
Wrong move.
They must differentiate and earn the respect through noble principles not by imitating ccm.
I feel that way but I stand to be corrected
Naomba kuuliza, hivi CCM ilichokifanya na Chatanda, kinatofauti gani na Mbowe alichokifanya kule Hai na hili la kuongeza mbunge mmoja Arusha?.cdm imempeleka mbunge wa viti maalum anna maulida komu kwenye halmashauri ya jiji la arusha
Mama huyo mkongwe na mkomavu kisiasa aliripoti ijumaa kwa mkurugenzi wa halmashauri hiyo.
Soc. tanzania daima
My take sasa cdm wanakuwa na uhakika wa ushindi endapo uchaguzi wa meya utarudiwa
Naomba kuuliza, hivi CCM ilichokifanya na Chatanda, kinatofauti gani na Mbowe alichokifanya kule Hai na hili la kuongeza mbunge mmoja Arusha?.
Kama tofauti ni kura moja, jee CCM nao wakiamua kuhamishia wabunge wake watano wa viti maalum kuhudumu Arusha itakuwaje?.