Mtatiro yuko sahihi, chadema ni wanafiki na wanafanya siasa za majitaka, ni hivi karibuni tu walikataa katakata kushirikiana na CUF kwenye mambo ya upinzani wakisema CUF ni CCM B, Leo wanawataka CUF kwenye maandamano. Upuuzi, mimi naona Mtatiro ana visheni pana, siasa za kinafiki ni mbaya sana na chadema mara zote wanafanya siasa za kinafiki, wakiona mahali kuna fursa ya kuwika wataitumia hata kama ni kwa kuua wafuasi na wananchi.