CHADEMA wanaingilia Ngome ya CUF - Mtatiro

CHADEMA wanaingilia Ngome ya CUF - Mtatiro

Dr Slaa amekuwa mbunge wa Karatu 1995 to 2005: ni sawa na miaka 15 na 2010 akagombea urais, vile vile 2015 ndiye mgomea wenu! Inakua miaka mingapi kwenye uongozi? 25 years, is it too much for him? Au CHADEMA haina hazina ya wsomi kushika hizo nafasi kwa vipindi vyote hivyo? Au DR ni mgombea wa kudumu na yeye?

Hahaha wewe umevurugwa!
Lipumba na maalim seif wamegombea uraisi mara nne wakati Dr. Slaa amegombea mara moja! Katika kipindi cha miaka 20 cuf imekuwa na mgombea mmoja wa uraisi Tanzania na zanzibar respectively.
Dr. Slaa kama atagombea tena 2015 itakuwa mara pili wakati Lipumba na maalim seif itakuwa mara yao ya tano! Hata aibu huoni unapotaka kuwalinganisha na Dr. Slaa?
 
Wewe jamaa sijui akili zako huwa unazihifadhi wapi! Kinachoongelewa hapa ni URAIS wewe unaongelea UBUNGE. Mwambieni huyo Lipumba akagombee ubunge muone kama kuna mtu atakuwa na issue naye. Hata hivyo, tatizo hapa ni mtu kukaa kwenye position hiyo hiyo miaka nenda rudi kana kwamba ni Sultan wa hiyo nafasi au ameundiwa yeye.
Kwa hoja yako imedhihirisha Dr. Slaa sio wa aina ya hao masultan kwani kahudumu kama mbunge kwa vipindi vitatu, kaona aachie wengine na anatupa karata yake kwenye nafasi nyingine. Hapo tatizo liko wapi?

Akili zangu ziko kule ulikoweka za kwako. Kwani za kwako ziko wapi?

DR Slaa hakuachia ubunge wa karatu kwa hiari. Na alipoona kuwa atakosa posho, akawawekea CHADEMA sharti la kwamba ili agombee, ni lazima alipwe sawa na kama alivyokuwa mbunge( Opportunity Cost). Chezea babu Slaa weye!

Analipwa 7 milion plus kwa kuachia kiti cha Ubunge. Halafu ooh DR ni mzalendo. Anafanya kazi kwenye siasa kama wewe unavyofanya kazi zako za kujiingizia kipato.
 
Hahaha wewe umevurugwa!
Lipumba na maalim seif wamegombea uraisi mara nne wakati Dr. Slaa amegombea mara moja! Katika kipindi cha miaka 20 cuf imekuwa na mgombea mmoja wa uraisi Tanzania na zanzibar respectively.
Dr. Slaa kama atagombea tena 2015 itakuwa mara pili wakati Lipumba na maalim seif itakuwa mara yao ya tano! Hata aibu huoni unapotaka kuwalinganisha na Dr. Slaa?

DR amekuwa mbunge miaka 15 kwa ticketi ya CHADEMA, miaka 5 kwa ticket ya urais na 2015 atatimiza miaka 25 ya kugombea uongozi. Na huu si ulafi? Kwani maisha yake yote lazima awe kiongozi? Au hakuna wanaoweza kuchukua nafasi yake katika kugombea. Kwanza ameshazeeka na huenda hata akili inapungua kasi ya kufikiri, inaweza ikawa taabu kukabiliana na changamoto za matatizo ya watanzania.
 
Kwa hiyo CUF sio mdau wa CCM? Maalim Sefu anafanya nini serikalini? Anafanya upinzani?

nawewe unakuaje...kwani agwambo anafanya nini kwenye serikali ya kibaki.
Kuna kitu wanaita serikali ya mseto.
Akina uhuru kenyata ni mawaziri serikali ya kibaki na haindoi ukweli kuwa wanatoka chama pinzani na kibaki.
 
Hilo limethibitishwa na mtatiro pasi na shaka!

CHADEMA yenyewe ujue ni tawi rasmi la CCM afadhali CUF wao ni B maana ni chama mbadala baada ya CCM.

Kuthibitisha hilo angalia yafuatayo:

1) Naibu katibu mkuu wenu mnatuhumu ni pandikizi la CCM na bado yumo ndani ya CHADEMA

2) Shibuda ambaye ni mbunge wa CHADEMA mnasema ni CCM lakini bado yumo kwenye CHADEMA.

3) BAVICHA ambayo ni taasisi ya CHADEMA mnasema kuna mapandikizi ya CCM

4) DR Slaa alitoka CCM lakini amekataa mpaka leo kurudisha au hata kuichoma moto kadi yake akidai anaiweka kumbu kumbu

5) Morogoro wamefunga ofisi za viongozi wao juzi kwa kuwatuhumu kuwa ni CCM

Sasa hii CHADEMA sio CCM B bali ni tawi la CCM linaloitwa CHADEMA.

Jamani tumieni akili zenu, sio mnakubali kupelekwa mchaka mchaka tu! Hlafu nyie ndio wasomi tunaowategemea!!
 
Katika hali ya kushangaza Naibu Katibu Mkuu wa CUF Julius Mtatiro amesema CHADEMA kufanya maandamano na Mkutano Temeke Mwisho ni kuingilia ngome yao.

Akizungumzia mwaliko wa CHADEMA kuitaka CUF kushiriki mapokezi ya wabunge wa upinzani kesho na hatimaye kushiriki mkutano wa pamoja Mtatiro amesema kamwe CUF haiwezi kushirikiana na CHADEMA.

Mtatiro amesema mwaliko wa CHADEMA ni wa kisanii na wamegundua Temeke ni ngome kuu ya CUF kwa hiyo CHADEMA haiwezi kupata watu mkutanoni bila kuishirikisha CUF.Mtatiro ameuliza tangu lini Chadema imegundua CUF siyo CCM B? Mtatiro amelalamika CHADEMA inatafuta umaarufu Temeke kupitia mgongo wa CUF.

Kwa upande wake Chama cha NCCR Mageuzi kupitia Katibu Mkuu Sam Ruhuza kimesema kitashiriki kikamilifu mapokezi hayo kwani CHADEMA siyo adui yao bali adui yao ni CCM tu.

Wabunge wa CHADEMA na NCCR waliungana pamoja bungeni kupinga uonevu,ukandamizaji na udhalilishaji wa Spika wa bunge Anne Makinda na Naibu wake Job Ndugai dhidi ya Upinzani bungeni.Hata hivyo mara zote CUF wamekuwa wakiungana na wabunge wa CCM kuwapinga wapinzani wenzao.

Kesho Jumapili CHADEMA imepanga mapokezi makubwa na maandamano kisha mkutano mkubwa wa hadhara Temeke Mwisho kwa lengo la kulaani ukandamizaji wa Spika na Naibu wake.

Source:Tanzania daima/Nipashe.

Hata siku moja CUF hawawezi kushirikiana na chama cha kihalifu Chadema,Chadema ni chama ni cha kibaguzi,mara baada ya kupata kuunda serikali kivuli iliwabagua wapinzani wenzao na kuwaita majina tofauti,iweje leo muombe ushirikiano na nawashangaa sana Nccr kukubali kuingizwa katika hadaa hizi za Chadema,wanataka kuwatumilia kwa maslah yao binafsi shauri zao waache waingizwe kwenye dema na wakinasa ndipo watakapo jua.
 
CHADEMA yenyewe ujue ni tawi rasmi la CCM afadhali CUF wao ni B maana ni chama mbadala baada ya CCM.

Kuthibitisha hilo angalia yafuatayo:

1) Naibu katibu mkuu wenu mnatuhumu ni pandikizi la CCM na bado yumo ndani ya CHADEMA

2) Shibuda ambaye ni mbunge wa CHADEMA mnasema ni CCM lakini bado yumo kwenye CHADEMA.

3) BAVICHA ambayo ni taasisi ya CHADEMA mnasema kuna mapandikizi ya CCM

4) DR Slaa alitoka CCM lakini amekataa mpaka leo kurudisha au hata kuichoma moto kadi yake akidai anaiweka kumbu kumbu

5) Morogoro wamefunga ofisi za viongozi wao juzi kwa kuwatuhumu kuwa ni CCM

Sasa hii CHADEMA sio CCM B bali ni tawi la CCM linaloitwa CHADEMA.

Jamani tumieni akili zenu, sio mnakubali kupelekwa mchaka mchaka tu! Hlafu nyie ndio wasomi tunaowategemea!!
Naunga mkono hoja "pwa,pwa pwa,pwa.....CCM OYeeeeeeeee"
 
Naunga mkono hoja "pwa,pwa pwa,pwa.....CCM OYeeeeeeeee"

Nimesahau mmoja tena ni Docta anaitwa Kitila Nkumbo na yeye aliwekwa kwenye orodha ya wasaliti wale wa Bavicha!

Tawi la CCM la CHADEMA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!! Linapumbaza watanzania ili wasipate upinzani wa kweli. Lakini tumeshawashtukia siku nyiiiiingi. Yagujuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
CHADEMA yenyewe ujue ni tawi rasmi la CCM afadhali CUF wao ni B maana ni chama mbadala baada ya CCM.

Kuthibitisha hilo angalia yafuatayo:

1) Naibu katibu mkuu wenu mnatuhumu ni pandikizi la CCM na bado yumo ndani ya CHADEMA

2) Shibuda ambaye ni mbunge wa CHADEMA mnasema ni CCM lakini bado yumo kwenye CHADEMA.

3) BAVICHA ambayo ni taasisi ya CHADEMA mnasema kuna mapandikizi ya CCM

4) DR Slaa alitoka CCM lakini amekataa mpaka leo kurudisha au hata kuichoma moto kadi yake akidai anaiweka kumbu kumbu

5) Morogoro wamefunga ofisi za viongozi wao juzi kwa kuwatuhumu kuwa ni CCM

Sasa hii CHADEMA sio CCM B bali ni tawi la CCM linaloitwa CHADEMA.

Jamani tumieni akili zenu, sio mnakubali kupelekwa mchaka mchaka tu! Hlafu nyie ndio wasomi tunaowategemea!!

Mkuu Pumzika sasa walau nina wasiwasi umelewa gongo.
 
Hata siku moja CUF hawawezi kushirikiana na chama cha kihalifu Chadema,Chadema ni chama ni cha kibaguzi,mara baada ya kupata kuunda serikali kivuli iliwabagua wapinzani wenzao na kuwaita majina tofauti,iweje leo muombe ushirikiano na nawashangaa sana Nccr kukubali kuingizwa katika hadaa hizi za Chadema,wanataka kuwatumilia kwa maslah yao binafsi shauri zao waache waingizwe kwenye dema na wakinasa ndipo watakapo jua.

Huna haja ya kubadili ID mtu mmoja ili uropoke.Tumia ID yako hiyo hiyo.
 
Karibu kesho Temekw Mwisho ulambe dawa

Kwani mimi ni mgonjwa kama wewe? Nenda tu ukapate tiba kwa CCM wenzako na kuwacheza kwenu shere watanzania. Afya yangu madhubuti, haihitaji kikombe cha babu.
 
Kwani mimi ni mgonjwa kama wewe? Nenda tu ukapate tiba kwa CCM wenzako na kuwacheza kwenu shere watanzania. Afya yangu madhubuti, haihitaji kikombe cha babu.

Mkuu Dar CCM B mna wabunge wangapi?
 
Mkuu Dar CCM B mna wabunge wangapi?

Naona kama mna wawili, Kinondoni na Ubungo. Sasa sijui mtawaachia wenzenu kwenye uchaguzi ujao maana naona na DR naye anataka hawala wake akagombee kwa Mdee.
 
Naona kama mna wawili, Kinondoni na Ubungo. Sasa sijui mtawaachia wenzenu kwenye uchaguzi ujao maana naona na DR naye anataka hawala wake akagombee kwa Mdee.

Mkuu hivi ndoa yenu kule zanzibar ilifungwa bomani?
 
Back
Top Bottom