- Thread starter
- #41
Haitupendezi. Kila mtu apambane kivyake
"Ninayaheshimu mawazo yako na hasa kama wewe ni mmoja wa wawili hawa, kwa maana yake kamili:
1. Waheshimiwa kabisa, CHADEMA
2. Waheshimiwa kabisa, Wanaharakati.
Ndani ya mada, neno "ikiwapendeza," likizingatiwa."
Kumbuka imeelezwa kwenye mada kuwa wao ndiyo walengwa.
Hata hivyo, kama wewe si mmoja wa wawili hao, nadhani lile la "pilipili usizozila kukuwasha namna gani" Litakuwa linakuhusu.
"Zingatia mada hii wala si kwa wanachama au wafuasi tu wa makundi mawili hayo."
Tofautisha wanachama na "walengwa" kwenye mada Kwa maana yake halisi.
Angalizo:
"Wanachama wa vyama" kwa maana yake ni kama ilivyoelezwa wazi kwenye uzi huu (Jun 29, 2021):
Watambue Wanachama wa Vyama Mitandaoni
Ikikupendeza kujiridhisha, tafadhali.
"Ni muhimu kuwa na tafsiri zote bayana, isije kuwa tunaongelea vitu tofauti."