Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 2,238
- 1,655
Kwenye hili, swala la kutambuana na kuzoeana ndo mahala pake. Tuwe tayari kwalo.Hata hivyo na wachawi nao (ma CCM) hawachezi mbali. Ninatambua hao kama walivyokuwa kenge kwenye msafara wa mamba nao wamo.
Hao watafanya kila kitu kutufarakanisha. Ninasema kila kitu nikiwa ninamaanisha hivyo.