CHADEMA wamwanika Amos Makalla kwa ufisadi

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
6,094
15,816
Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.

Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.

20221021_071928.jpg
 
Wanaendelea kula kwa urefu wa kamba zao, kuwa kiongozi wa hii serikali ya Samia raha sana, hakuna hofu ya kutumbuliwa hata ukiwa incompetent, na zaidi, hata ukidokoa mahali hakuna wakuhangaika nawe, kila mmoja yuko busy kutazama malisho pale alipo.
 
Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.

Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.

View attachment 2393373
Vitu vya kawaida hivyo,hivyo viwango vya posho vipo kisheria,hawakuamka asubuhi na kujipangia,viwango vina baraka za mamlaka za juu.
 
Back
Top Bottom