Amos Makalla: Kauli zinazotolewa na Lissu ni hila, hazina Ukweli na zinaleta Ubaguzi

Heparin

Senior Member
Sep 24, 2021
150
565
“Nimesikitishwa na nimeshangaa kauli iliyotolewa na ndugu yangu msomi mwanasheria, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , akiwahutubia wananchi na ametumia maneno ya ubaguzi huwezi kiongozi makini tena wa ngazi ya juu kashindwa kuelewa tafsiri ya katiba”- Makalla.

Hayo yamesemwa Jumatatu April 29, 2024 jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Pia soma:
 
Wewe!

Ungeanza kumkosoa marehem mkapa ndio alisema kwamba,

"Tunataka kusikia serikali ya ccm imefanya hivi au vile sio Mimi nimefanya hivi au vile"

muasisi wa haya ni JPM ndio alianzisha sifa Kwa mwenyekiti!!
 
“Nimesikitishwa na nimeshangaa kauli iliyotolewa na ndugu yangu msomi mwanasheria, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , akiwahutubia wananchi na ametumia maneno ya ubaguzi huwezi kiongozi makini tena wa ngazi ya juu kashindwa kuelewa tafsiri ya katiba”- Makalla.

Hayo yamesemwa Jumatatu April 29, 2024 jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Pia soma: Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani
Ila Lissu ni mwamba aisee kawamwagia mafta taa wameanzakujitokeza kumbe wanamfuatilia na hotuba zake
 
Shida ni kwamba watu wanalaumu tuuu fulani ana maneno ya kichochezi lakini hawayatolei majibu sahihi. Hivi kwa nini tunasema kero za muungano zimetatuliwa au bado zingine. Maana yake ni nini hasa.
 
“Nimesikitishwa na nimeshangaa kauli iliyotolewa na ndugu yangu msomi mwanasheria, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , akiwahutubia wananchi na ametumia maneno ya ubaguzi huwezi kiongozi makini tena wa ngazi ya juu kashindwa kuelewa tafsiri ya katiba”- Makalla.

Hayo yamesemwa Jumatatu April 29, 2024 jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Pia soma: Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani
Huyu nae hata haeleweki! CCM kwa huyu basi tu kwa vile mnafanya mambo kimakundi ndani ya chama! Huyu hakukuwa na haja ya kumpa cheo hicho! Lisu na CHADEMA fanyeni siasa za kuwaelimisha wananchi CCM wepesi sana!
 
Maigizo yanaendelea baadae wanakutana wanalipana pesa za kutosha wanagonga chiazii huku wakiwacheka Wanyonge wakirumbana katika vijiwe Vyao Kwa skripti waliyotengeneza ya kuwahadaa na mambo ya kipuuzi
 
“Nimesikitishwa na nimeshangaa kauli iliyotolewa na ndugu yangu msomi mwanasheria, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , akiwahutubia wananchi na ametumia maneno ya ubaguzi huwezi kiongozi makini tena wa ngazi ya juu kashindwa kuelewa tafsiri ya katiba”- Makalla.

Hayo yamesemwa Jumatatu April 29, 2024 jijini Dodoma na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Amos Makalla wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Pia soma:
Kwani uongo. Ni mzanzibari ndiyo
 
Watanzania wana ufahamu mkubwa kuwa Makalla ni timu Msoga.

Hivyo hakuna kipya hapo ni kuhakikisha S100 anashinda uchaguzi wa 2025 kuendeleza upigaji wa CCM na washirika wao.
 
Huyu nae hata haeleweki! CCM kwa huyu basi tu kwa vile mnafanya mambo kimakundi ndani ya chama! Huyu hakukuwa na haja ya kumpa cheo hicho! Lisu na CHADEMA fanyeni siasa za kuwaelimisha wananchi CCM wepesi sana!
Eti makala na CPA yake anataka kumfundisha Lisu, mwanasheria mahiri, tafsiri ya katiba! 😆😆
 
05 May 2024

Abdulrahman Kinana Amvaa Tundu Lissu Suala la Rais Mzanzibari, "Nani Amekataa?".

View: https://m.youtube.com/watch?v=zFJ1jRSRBXs
Leo Mei 5,2024, Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzani ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano.
 
Back
Top Bottom