CHADEMA wamwanika Amos Makalla kwa ufisadi

CHADEMA wamwanika Amos Makalla kwa ufisadi

Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.

Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.

View attachment 2393373
Kumekuchaa
Kumekuchaaa

Msimu wa kupiliza dawa za kunguni umeanza
 
Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.

Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.

View attachment 2393373
 
Attachments

  • 35542E94-08DA-407D-8A90-E1AF3F70DB98.jpeg
    35542E94-08DA-407D-8A90-E1AF3F70DB98.jpeg
    50.9 KB · Views: 10
  • 7EC67ADE-0986-496F-B891-086EA264546D.jpeg
    7EC67ADE-0986-496F-B891-086EA264546D.jpeg
    14.5 KB · Views: 10
  • 8485CBAD-00B9-4330-BDE0-4AB82BF6079D.jpeg
    8485CBAD-00B9-4330-BDE0-4AB82BF6079D.jpeg
    76.1 KB · Views: 12
  • 6EE8B333-2F4A-4E5A-ACF6-2CA78E3DD828.jpeg
    6EE8B333-2F4A-4E5A-ACF6-2CA78E3DD828.jpeg
    86.5 KB · Views: 10
  • F1B65FBB-4F09-4A9A-A00D-AD70C3A4B38F.jpeg
    F1B65FBB-4F09-4A9A-A00D-AD70C3A4B38F.jpeg
    71.4 KB · Views: 9
Ninaomba niseme kitu hapa

Mtumishi wa serikali hulipwa posho kazini na ni haki yake kwa mujibu wa Kanuni za Utumishi wa Umma.

Posho hulipwa pale ambapo mtumishi amefanya kazi nje ya masaa ya kazi na au nje ya kituo cha kazi.

Mtoa mada umesema vizuri kwamba watumishi wa Ofisi ya Mkoa wa DSM wameenda Dodoma kikazi. Kwa hiyo walicholipwa ni haki yao kulingana na hadhi zao.

Je, laki 2.5 ni halali kwao?

Niwakumbushe: mwaka huu wakati Rais anahutubia Mei Mosi aliahidi kupandisha posho (Per diem) kutoka laki na 20 kwa siku na kuwa laki 2.5 kwa siku. Na hili limeanza kutekelezwa bajeti ya 2022/2023 iliyoanza July 2022.

Kwa hiyo, hizo posho ndugu zangu ni halali kabisa. Hakuna siasa hapo. Hapo ndipo hela inafanya kazi. Na ni kawaida. Hakuna jipya!
Nauli ya kwenda Dodoma ni mili 1.4?
 
Embu jiulize, ungekuwa wewe kwenye kiti hicho hizo posho ungeziacha? Acheni wivu jamani. Kama hizo posho zipo kisheria tusiumie sana, na wewe pambana utakula posho tu.
 
Hao wananchi wa dar es saalam wamefanya nini kuzuia hilo ?

: Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa na jamii kubwa iliyo jaza wajinga na waoga wa kuto kujua haki zao na wajibu wao wa kupigania hizo haki zao.
Wewe upo kundi la werevu?

Unajua haki zako?

Bila shaka huna tofauti yoyote na watanzania wajinga maana hujui kupigania haki kama ilivyo desturi ya watanzania.
 
kama wapumbavu ni 96%katika nchini nzima kuna nini hapo hao wana dar es salam,watafanyaje?
Hakika watu tumekuwa wapumbavu wakutupwa mafisadi yana fuja mali za umma huku sisi tukiendelea kulalamika mitandaoni bila kuchukua hatua yoyote unadhani mafisadi wana ogopa kelele za mitandaoni ? La hasha mpaka pale tutakapo jitambua na kulipigania taifa.

: Katika kosa kubwa alilo fanya mwalimu Nyerere ni sisi kupata uhuru kwa njia ya amani.
 
Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.

Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.

View attachment 2393373
Mkuu Etwege habari. Nashukuru kwa bandiko lako na naomba kuuliza maswali machache:-
1. Kwenye maombi haya ya pesa mheshimwa Makalla anaingiaje hapo?
2. Je hawa waliotajwa walitakiwa kwenda Dodoma kwa shughuli gani ambayo wewe umeiona haina tija (ufisadi)
3. Hao unaowaita CHADEMA wamepataje hizi taarifa za ndani za Ofisi?
Ahsante
 
Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.

Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.

View attachment 2393373
mimi ijapokuwa si mtumishi lkn nilibahatika kuuona waraka wa posho wa serikali na hivyo viwango ni sahihi kabisa na wala hakuna ufisadi hapo.jamani wakati mwingine tuandike vitu ambavyo ni tangible.tuache wivu na fitina.mm sijaona kitu kigeni hapo ni posho za kawaida kutokana na madaraja ya kila mtumishi unless tuambiwe kulikuwa hakuna hicho kikao au siku zilizo orodhesha zilikuwa exaggerated.
 
Mbona pesa ndogo hiyo
Wangefanya hata mln 10
Kwa mtu mmoja

Ova
Ila kusema kweli posho ya 250k Kwa siku Tena mkoa mwingine ni pesa ya ndogo tu hasa Kwa RAS. Hiyo si pesa ya hoteli tu kama ukiamua kulala sehemu standard
 
Ila kusema kweli posho ya 250k Kwa siku Tena mkoa mwingine ni pesa ya ndogo tu hasa Kwa RAS. Hiyo si pesa ya hoteli tu kama ukiamua kulala sehemu standard
Mshahara wako unafanya kazi gani?

Au ukisafiri mshahara wako unasimama kulipwa?
 
Kwani per diem ya serikali ni kiasi gani?

Je, Huo mgawanyo upo nje ya per diem ya serikali?

Maana naona ni kama watu wamesahau kwamba viwango vya per diem viliongezeka kutoka 120k hadi 250k (kiwango cha juu) na 80k hadi 100k (kiwango cha chini)
 
Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.

Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.

View attachment 2393373
Hali ya watu hoi ndo maana wanashangaa viwango hivi.Serikali iangalie namna ya kuwajaza watu fedha kwa wanaojishugulisha na kazi na kilimo
 
Hao wananchi wa dar es saalam wamefanya nini kuzuia hilo ?

: Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa na jamii kubwa iliyo jaza wajinga na waoga wa kuto kujua haki zao na wajibu wao wa kupigania hizo haki zao.
Kulipwa mtu posho yake Kuna shida Gani
Posho inaendana na kiwango chako Cha mshahara shida Iko wap
 
Hao wananchi wa dar es saalam wamefanya nini kuzuia hilo ?

: Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa na jamii kubwa iliyo jaza wajinga na waoga wa kuto kujua haki zao na wajibu wao wa kupigania hizo haki zao.
Kulipwa mtu posho yake Kuna shida Gani
Posho inaendana na kiwango chako Cha mshahara shida Iko wa
 
Back
Top Bottom