Ciprofloxacin
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 289
- 551
Hela siyo kubwa sana. Ila tatizo ni kwamba inatumika katika mambo ya hovyo.Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.
Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.
View attachment 2393373
Ni lini nchi hii iliweza kuzuia/kupunguza wizi kwenye fedha za umma?Kwani hata yule aliyejiita mzalendo namba moja naye alikuwa anazipiga tu na wizi uliendelea tu,ila kwa kikundi mahususi tu.Wanaendelea kula kwa urefu wa kamba zao, kuwa kiongozi wa hii serikali ya Samia raha sana, hakuna hofu ya kutumbuliwa hata ukiwa incompetent, na zaidi, hata ukidokoa mahali hakuna wakuhangaika nawe, kila mmoja yuko busy kutazama malisho pale alipo.
kama wapumbavu ni 96%katika nchini nzima kuna nini hapo hao wana dar es salam,watafanyaje?Hao wananchi wa dar es saalam wamefanya nini kuzuia hilo ?
: Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa na jamii kubwa iliyo jaza wajinga na waoga wa kuto kujua haki zao na wajibu wao wa kupigania hizo haki zao.
Matumizi mazuri ya tozo kazi iendeleeWatumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.
Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.
View attachment 2393373
Mama anaupiga mwingi.Ninaomba niseme kitu hapa
Mtumishi wa serikali hulipwa posho kazini na ni haki yake kwa mujibu wa Kanuni za Utumishi wa Umma.
Posho hulipwa pale ambapo mtumishi amefanya kazi nje ya masaa ya kazi na au nje ya kituo cha kazi.
Mtoa mada umesema vizuri kwamba watumishi wa Ofisi ya Mkoa wa DSM wameenda Dodoma kikazi. Kwa hiyo walicholipwa ni haki yao kulingana na hadhi zao.
Je, laki 2.5 ni halali kwao?
Niwakumbushe: mwaka huu wakati Rais anahutubia Mei Mosi aliahidi kupandisha posho (Per diem) kutoka laki na 20 kwa siku na kuwa laki 2.5 kwa siku. Na hili limeanza kutekelezwa bajeti ya 2022/2023 iliyoanza July 2022.
Kwa hiyo, hizo posho ndugu zangu ni halali kabisa. Hakuna siasa hapo. Hapo ndipo hela inafanya kazi. Na ni kawaida. Hakuna jipya!
Ninaomba niseme kitu hapaMimi sioni sababu ya kulialia na kulaumiana hivi, although alipoingia mlikuwa mnafanya sherehe kwa ule msemo pendwa wenu "anaupiga mwingi" au "mungu (not Mungu) kaamua ugomvi"
Alisema mnakula kwa urefu wa kamba means pale ulipo usizidishe kwenda mbali sana, leo mnashindwa kumtaja mwamba kwa aibu kuwa alipambana na hizi mambo au angekuwepo hii kitu sidhani kama mngeandika.
Wewe unaelewa. Wengine wanashangaa wakati ni ya kawaidaHii ndio countryside
Lakini hizo rate si ndio za viwango jipya vya posho??
Hayo ndio maisha na hao wanasubiri kikokotoo
Acha wapambane civil servant
Ninaomba niseme kitu hapaHao wananchi wa dar es saalam wamefanya nini kuzuia hilo ?
: Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa na jamii kubwa iliyo jaza wajinga na waoga wa kuto kujua haki zao na wajibu wao wa kupigania hizo haki zao.
wananchi wa dar es saalam wamefanya nini kuzuia hilo ?
: Hakuna kitu kibaya hapa duniani kama kuwa na jamii kubwa iliyo jaza wajinga na waoga wa kuto kujua haki zao na wajibu wao wa kupigania hizo haki zao.
Wizi upo ndani ya DNA ya watumishi wa serikali ya ccm. Hawawezi kuachaWatumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.
Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.
View attachment 2393373