CHADEMA wamwanika Amos Makalla kwa ufisadi

Kama hizo safari ni kwa manufaa ya watz sioni ttz hizo posho
Sasa mtu kituo cha kazi dar kikao dodoma utumie nauli yako kwa kazi za ofisi
 
Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.

Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila j

Watumishi wa mkoa wa Dares Salaam wameumbuliwa na CHADEMA baada ya kujipangia posho na nauli za mamilioni ya fedha pale wanaposafiri kikazi kwenda Dodoma!.

Imedaiwa nauli ya mtu mmoja kwenda Dodoma kikazi hujilipa nauli ya milioni 1.4 kwa kila mtu.

View attachment 2393373
Modes Wa JF Payge BlackBold Bridger Diversity YinYang , hili ni jukwaa lenye heshima kubwa, Kama hiyo document ina ukweli inafanya nini hapa? Viwango vilivyowekwa hapo vya malipo ni halali, viko kwa mujibu wa sheria, shida iko wapi? huu ni udhalilishaji, wanapotosha kuwa Nauli ni 1.4Ml, hizo ni gharama za mafuta kwa magari mawili. Watumishi wenye majina hayo wanahukumiwa hapa kwa Malipo halali kama kweli wamelipwa,

Modes tuliteendee haki Jukwaa, nashauri uzi huu ufutwe kwa kuwa hakuna ufisadi wowote hapo labda kama kuna hoja nyingine ya msingi
 
Mkuu Etwege habari. Nashukuru kwa bandiko lako na naomba kuuliza maswali machache:-
1. Kwenye maombi haya ya pesa mheshimwa Makalla anaingiaje hapo?
2. Je hawa waliotajwa walitakiwa kwenda Dodoma kwa shughuli gani ambayo wewe umeiona haina tija (ufisadi)
3. Hao unaowaita CHADEMA wamepataje hizi taarifa za ndani za Ofisi?
Ahsante
Makalla anahusika kujitambua kuwa ofisi ya kuna ufisadi mkubwa
 
Modes Wa JF, hili ni jukwaa lenye heshima kubwa, Kama hiyo document ina ukweli inafanya nini hapa? Viwango vilivyowekwa hapo vya malipo ni halali, viko kwa mujibu wa sheria, shida iko wapi? huu ni udhalilishaji, wanapotosha kuwa Nauli ni 1.4Ml, hizo ni gharama za mafuta kwa magari mawili,
Modes tuliteendee haki Jukwaa, nashauri uzi huu ufutwe kwa kuwa hakuna ufisadi wowote hapo labda kama kuna hoja nyingine ya msingi
Wacha hiyo document ikae hapo hadi 2025 tutakuambia cha kufanya
 
Modes Wa JF, hili ni jukwaa lenye heshima kubwa, Kama hiyo document ina ukweli inafanya nini hapa? Viwango vilivyowekwa hapo vya malipo ni halali, viko kwa mujibu wa sheria, shida iko wapi? huu ni udhalilishaji, wanapotosha kuwa Nauli ni 1.4Ml, hizo ni gharama za mafuta kwa magari mawili,
Modes tuliteendee haki Jukwaa, nashauri uzi huu ufutwe kwa kuwa hakuna ufisadi wowote hapo labda kama kuna hoja nyingine ya msingi
Bila huko udikiteta wako
 
Dadadeki! hapo bado za wale watu wa mawizara, kila siku wapo majumbani dsm kutoka DDM lakini wanakula per diem hadi za siku 30!
"The beautiful ones is not yet born" Ee Mola tushushie japo Malaika mmoja atuongoze japo mwaka 1
Mmelaaniwa tangu mlipomuita Magufuli dikteta,na mkafurahia kifo chake!
 
peno hasegawa ufisadi upi hapo? unajua maana ya ufisadi ? hebu tuache kuchafua watu
Hizo ni kodi za wanyonge, wasio waajiriwa wa serikali wanataka kujua na Makalla ajitokeze aseme sio ufisadi .
Akipiga kimya sie wenziwe tunasema ni ufisadi.
Aliyesaini barua naye akijilipa hapo hopo.
Je hiyo safari ya Dodoma walienda au walilipana Posho wakaenda magomeni na kurudi ofisini kwa makalla?
 
Dadadeki! hapo bado za wale watu wa mawizara, kila siku wapo majumbani dsm kutoka DDM lakini wanakula per diem hadi za siku 30!
"The beautiful ones is not yet born" Ee Mola tushushie japo Malaika mmoja atuongoze japo mwaka 1
HATARI SANA!!!!!!
 
Dadadeki! hapo bado za wale watu wa mawizara, kila siku wapo majumbani dsm kutoka DDM lakini wanakula per diem hadi za siku 30!
"The beautiful ones is not yet born" Ee Mola tushushie japo Malaika mmoja atuongoze japo mwaka 1
HATARI SANA!!!!!!
 
Modes Wa JF Payge BlackBold Bridger Diversity YinYang , hili ni jukwaa lenye heshima kubwa, Kama hiyo document ina ukweli inafanya nini hapa? Viwango vilivyowekwa hapo vya malipo ni halali, viko kwa mujibu wa sheria, shida iko wapi? huu ni udhalilishaji, wanapotosha kuwa Nauli ni 1.4Ml, hizo ni gharama za mafuta kwa magari mawili. Watumishi wenye majina hayo wanahukumiwa hapa kwa Malipo halali kama kweli wamelipwa,

Modes tuliteendee haki Jukwaa, nashauri uzi huu ufutwe kwa kuwa hakuna ufisadi wowote hapo labda kama kuna hoja nyingine ya msingi
Inashangaza sana Moderator JamiiForums Paw na Mhariri tuondoleeni hii aibu hapa.

Huu ni upotoshaji kwa sababu hilo jambo lipo wazi na ni kwa mujibu wa sheria
 
Nauli ya kwenda Dodoma ni mili 1.4?
Screenshot_20221021-111621.png

Hizo ni posho za kawaida na zipo kisheria.

Hakuna cha ufisadi hapo. Hapo kila mtu kalipwa laki na ½ kwa siku. Jumla yake + mafuta ndiyo 14 milioni.

Hakuna jipya hapo
 
Back
Top Bottom