CHADEMA wamuombe radhi DC Igunga

Kwa taarifa yako moja ya mambo yaliyoipa kura Chadema ni uwezo wake wa kumdhibiti DC wakati akifanya uhalifu. Hivi unaelewa hawa MaDC ni watu wa namna gani huko vijijini? wanakusanya ng'ombe hata kuku kwa wananchi hao maskini billa ridhaa yao kwa ajili ya kitoweo cha nyumbani au ugeni wowote wa kiofisi bila ridhaa ya wenye mali kwa kauli kuwa wao ndio serikali. Sasa mwananci wa kawaida akiona kuwa yule wanayemuona ni Mungu mtu anaweza kukwidwa mpaka machozi yakamtoka basi hao ndio watetezi wao. Achana na propaganda za level ya chini, kwanza hata hivyo walimstahi sana wangeweza kumchapa makofi kama Polisi wanavyo wachapa makofi watu.
Tarime Polisi walimchania shati Tundu Lissu mbona hukushauri Polisi wamuombe radhi Lissu ukabaki unachekelea wewe na hao wenzako wabaka demokrasia?
 
Mimi mpenda mabadiliko Tanzania nimefuatilia uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Igunga na kuona jinsi kampeni zilivyokuwa.

Kumetokea matukio mbalimbali ya kukashifiana,kumwagiana tindikali,bastola mkutanoni,kufyatua risasi nk ambayo kwa namna moja ama nyingine yalitia dosari kampeni za uchaguzi huo.

Ukiangalia kwa makini utaona kuwa hayo matukio yamehusisha wanachama wa vyama tofauti lakini tukio la kumkamatwa na kushikiliwa kwa DC wa Igunga kipindi kabla ya kampeni ni tukio lililokihusisha Chadema moja kwa moja kama chama.Hili tukio halikuwa la kistaarabu kwa kuwa DC wa Igunga alikuwa kwenye majukumu yake ya kazi na hakupaswa kudhalilishwa kiasi kile.

Tukubali tusikubali ni kwamba kitendo cha kumdhalilisha DC wa Igunga kimewapunguzia KURA Chadema kwa kuwa CCM + magazeti yao walichukua hicho kitendo kama mtaji wao wa kisiasa na wamefanikiwa kwa hilo.

Kwa heshima na taadhima napenda kumuomba Dr.Slaa kwa niaba ya CDM wamuombe radhi DC wa Igunga na wananchi wote wa Igunga na hii itaonesha kuwa CDM imestaarabika na ni chama cha waadilifu na itawezesha CDM kukubalika zaidi jimboni humo.

pambf zako unataka kusema wewe unasauti kuliko bakwata.peleka upupu wako kwa magamba.
 
Uiombe radhi JF kwa kuwawekea huu upupu hapa.
 
Mungu akusamehe maana wewe unazungumzia ushabikii na siyo fact-Dc ndiyo alitakiwa kufanya hivyo kwa kuingilia kampeni za chadema kama ratiba ilivyokuwa inaelekeza.mwenyewe alikiri kuwa alikuwa hana ufahamu wa ratiba hiyo.
 
lbd nikuulize hivi CHANZO CHA WANA CHADEMA KUKAMATA HY DC KILIKUA NI NINI?? NA KWANINI BAKWATA WALILIVALIA NJUGA HL SHWALA LA DC MKATOLIKI?? Tafakari na utoe majibu sahihi.
 
Mimi mpenda mabadiliko Tanzania nimefuatilia uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Igunga na kuona jinsi kampeni zilivyokuwa.

Kumetokea matukio mbalimbali ya kukashifiana,kumwagiana tindikali,bastola mkutanoni,kufyatua risasi nk ambayo kwa namna moja ama nyingine yalitia dosari kampeni za uchaguzi huo.

Ukiangalia kwa makini utaona kuwa hayo matukio yamehusisha wanachama wa vyama tofauti lakini tukio la kumkamatwa na kushikiliwa kwa DC wa Igunga kipindi kabla ya kampeni ni tukio lililokihusisha Chadema moja kwa moja kama chama.Hili tukio halikuwa la kistaarabu kwa kuwa DC wa Igunga alikuwa kwenye majukumu yake ya kazi na hakupaswa kudhalilishwa kiasi kile.

Tukubali tusikubali ni kwamba kitendo cha kumdhalilisha DC wa Igunga kimewapunguzia KURA Chadema kwa kuwa CCM + magazeti yao walichukua hicho kitendo kama mtaji wao wa kisiasa na wamefanikiwa kwa hilo.

Kwa heshima na taadhima napenda kumuomba Dr.Slaa kwa niaba ya CDM wamuombe radhi DC wa Igunga na wananchi wote wa Igunga na hii itaonesha kuwa CDM imestaarabika na ni chama cha waadilifu na itawezesha CDM kukubalika zaidi jimboni humo.

Acha mahakama ifanye kazi ndipo tutajua nani wa kumwomba mwenzake msamaha.
 
Nawapongeza CDM kwa kukaa kimya kwani hawastahili kuomba radhi wala kumjibu mjinga yeyote anayeamua kutumia upumbavu wake kwa leongo la kisiasa kuharibu jamii ya watanzania na misingi yake. Kwani haiingii akilini hao Chama Cha majambazia kuamua kutumia dini kwa kuwahonga vizee vya dini viongee utumbo usio na maana eti CDM ikose kura!! Lakini je hao CCM wanaelewa sumu kiasi gani wameipanda kwa njia waliotumia??? Hao CCM ndiyo wawaombe radhi watanzania kwa kuingizi udini kwenye jamii yetu.

"Na pia mbona huyu mdau anaharaka , masual ambayo tayari yameshafikishwa mahakani haipashwi kuzungumzia nje ya mahakam huko ni kuingilia uhuru wa mahakama.nachelea kusema mdau huyu ni mtovu wa nidhamu wa utawalaa bora,Nihisi katumwa si fikra zake".
 
lbd nikuulize hivi CHANZO CHA WANA CHADEMA KUKAMATA HY DC KILIKUA NI NINI?? NA KWANINI BAKWATA WALILIVALIA NJUGA HL SHWALA LA DC MKATOLIKI?? Tafakari na utoe majibu sahihi.
 
Mimi mpenda mabadiliko Tanzania nimefuatilia uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Igunga na kuona jinsi kampeni zilivyokuwa.

Kumetokea matukio mbalimbali ya kukashifiana,kumwagiana tindikali,bastola mkutanoni,kufyatua risasi nk ambayo kwa namna moja ama nyingine yalitia dosari kampeni za uchaguzi huo.

Ukiangalia kwa makini utaona kuwa hayo matukio yamehusisha wanachama wa vyama tofauti lakini tukio la kumkamatwa na kushikiliwa kwa DC wa Igunga kipindi kabla ya kampeni ni tukio lililokihusisha Chadema moja kwa moja kama chama.Hili tukio halikuwa la kistaarabu kwa kuwa DC wa Igunga alikuwa kwenye majukumu yake ya kazi na hakupaswa kudhalilishwa kiasi kile.

Tukubali tusikubali ni kwamba kitendo cha kumdhalilisha DC wa Igunga kimewapunguzia KURA Chadema kwa kuwa CCM + magazeti yao walichukua hicho kitendo kama mtaji wao wa kisiasa na wamefanikiwa kwa hilo.

Kwa heshima na taadhima napenda kumuomba Dr.Slaa kwa niaba ya CDM wamuombe radhi DC wa Igunga na wananchi wote wa Igunga na hii itaonesha kuwa CDM imestaarabika na ni chama cha waadilifu na itawezesha CDM kukubalika zaidi jimboni humo.

1 .mwandishi wa habari hii ni
(a)mbumbu (b)mkereketwa wa ccm (c) haipend cdm (d)majibu yote a,b,c, ni sahihi

2 .mwandishi anadai DC wa Igunga alikua kwenye majukumu yake ya kazi hivyo kukamatwa kwake ni kuzalilishwa,
(a)mtu akikamatwa amezalilishwa (b)mtu akiwa kazini anatimiza majukumu yake hata kama anavunja sheria hapaswi kukamatwa (c)hakuna jibu sahihi

3. mwandishi anadai amefuatilia uchaguzi wa Igunga kwa makini
(a)umakini wake ni wamasaburi (b)amefuatilia uchaguzi kupitia ujumbe wa BAKWATA kua wasiipigie kura CDM (c)majibu yote a,b,ni sahihi
 
Serikali inayoendekeza dini badala ya kujibu hoja zake ni serikali inayotapatapa na iliyokosa muelekeo!
 
sijui hata cha kuandika nikisema CRAP. kina Mwita25 watakataa........ Organizer kumbuka tu facts are very sttuborn things. Ndio maana hatawewe huelewi kwa nini makamanda walichukua hatua ile.......... Pole dogo.:crutch:
 
Mimi mpenda mabadiliko Tanzania nimefuatilia uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Igunga na kuona jinsi kampeni zilivyokuwa.

Kumetokea matukio mbalimbali ya kukashifiana,kumwagiana tindikali,bastola mkutanoni,kufyatua risasi nk ambayo kwa namna moja ama nyingine yalitia dosari kampeni za uchaguzi huo.

Ukiangalia kwa makini utaona kuwa hayo matukio yamehusisha wanachama wa vyama tofauti lakini tukio la kumkamatwa na kushikiliwa kwa DC wa Igunga kipindi kabla ya kampeni ni tukio lililokihusisha Chadema moja kwa moja kama chama.Hili tukio halikuwa la kistaarabu kwa kuwa DC wa Igunga alikuwa kwenye majukumu yake ya kazi na hakupaswa kudhalilishwa kiasi kile.

Tukubali tusikubali ni kwamba kitendo cha kumdhalilisha DC wa Igunga kimewapunguzia KURA Chadema kwa kuwa CCM + magazeti yao walichukua hicho kitendo kama mtaji wao wa kisiasa na wamefanikiwa kwa hilo.

Kwa heshima na taadhima napenda kumuomba Dr.Slaa kwa niaba ya CDM wamuombe radhi DC wa Igunga na wananchi wote wa Igunga na hii itaonesha kuwa CDM imestaarabika na ni chama cha waadilifu na itawezesha CDM kukubalika zaidi jimboni humo.

Hivi ni nani huwa anawasaidia watu kama wewe kufika huku jukwaani!!?Yaani unasema Dc alikamatwa kabla ya kampeni!!!?shame on you,toa haya madudu umeandika humu(jamiiforum)pls.
 
Alikua mhalifu hakuna haja ya kumwomba mhalifu msamaha.Katiba inasema ni jukumu la kila raia kusimamia na kulinda uvunjifu wa sheria na taratibu za nnji hii
 
Back
Top Bottom