CHADEMA wamruhusu Zitto kufanya apendacho

ndo maana sehemu nyingi nikarudia kusema kama hizi habari ni za kweli, kupandwa kwangu kwa jazba kuko wapi ? au unataka uwe kwenye spotlight kwa kumshambulia kada ?? maana mtu akitaka kitu fulani tu hapa basi wao ni kumshambulia kada, huwezi kutoa point bila ya kunishambulia, ??

kichwa cha thread kilinichanganya ndo maana nikatoa maoni niliyotoa, ha nakuhakikishia kama ulisoma vizuri BASI HAKUNA HATA CHEMBE YA JAZBA NILIYOTOA, nikiwa na jazba nitatoa hadi itaeleweka kwamba hiyo ni jazba and i know it will cost me speaking in jazba, kwa hiyo kama ningeongea kwa jazba mzee TRUST ME the whole forum ingenisikia, so hayo ni maneno yako binafsi and i take that !

Kada,

Spotlight kwa kumshambulia kada? ha ha ha ha haaaaa? I will have to get it on discount on Black Friday.

Ni kweli "Chadema wamruhuru" ni tungo tata, lakini ukisoma hii mada na ukiangalia premises zake, utata wote unaondoka. Kwahiyo, hii mada haina utata wowote ispokuwa mchecheto tu wa msomaji.
 
Maweurweru yatawakumba sana mwaka huu na haswa baada ya kuwashutukia mafisadi wa JK kwenye kamati wameanza kujitoa mmoja baada ya mwingine,kazi ipoo .

Today is Machunde aka Karamagi, tommorrow will be Kejo aka Chenge.......
 
haya haya haya haya kumekucha tena jamani,tuleteeni utamu ulojiri ndani ya kikao.nasikia chacha wangwe na dr slaa wanamkomalia nyani giladi asubuhi kweupeeeeeeee.......leteni news zaidi MKANDARA na wenzako.

mkjj......tupe news za kikao kukoje?

KADA MPINZANI....lete vitu kamanda
 
CHADEMA hawapo hivyo. Hakuna ya kutoka kwenye kikao na kurusha maneno wakati watu wanaendelea kukata issue ndani, hayo ni mambo ya CCM. Subiri tu kikao kikiisha then statement itatoka, ndipo utapata habari.
 
Kwa upande wangu mimi naona umeongea la maana! kwani haya magazeti naona yanafanya biashara ya advitersment! kila kukicha yanatangaza jina la Zitto tuuuu! mradi wayauze na mbaya zaidi wanatumiwa na mafisadi waliohusika na kashfa za madini!
 
Kwa vyovyote vile mkutano huu utakuwa umezaa makundi ya kudumu yaani kutofautiana kwa kudumu, ingawa wanasiasa wataficha lakini hivi ndivyo itakavyokuwa. Najua wnafiki wtasema otherwise, lakini ni MTIHANI MKUBWA SANA. Busara ilikuwa kuitisha mkutano huu wakati munkari ukiwa umeshuka.
 
Kwa vyovyote vile mkutano huu utakuwa umezaa makundi ya kudumu yaani kutofautiana kwa kudumu, ingawa wanasiasa wataficha lakini hivi ndivyo itakavyokuwa. Najua wnafiki wtasema otherwise, lakini ni MTIHANI MKUBWA SANA. Busara ilikuwa kuitisha mkutano huu wakati munkari ukiwa umeshuka.

'kwa vyovyote......'
'najua wanafiki....'

Umekwishahitimisha, kwa hiyo hakuna mjadala tena hapo!

Halafu unasema:
'ni MTIHANI MKUBWA SANA' tujuavyo wengi tuliowahi kuwa wanafunzi, mtihani hufauriwa, tena kwa rangi zirukazo! Kwa hiyo hitimisho linavurugika tena! Sasa sijui tuelewe lipi?
 
haya haya haya haya kumekucha tena jamani,tuleteeni utamu ulojiri ndani ya kikao.nasikia chacha wangwe na dr slaa wanamkomalia nyani giladi asubuhi kweupeeeeeeee.......leteni news zaidi MKANDARA na wenzako.

mkjj......tupe news za kikao kukoje?

KADA MPINZANI....lete vitu kamanda

hawa jamaa hawana lolote, and that sh*tty mkutano sijui kamati hata sijui ni ya nini, wanapenda tu misifa na exposure kwenye media!

wee injinia unajificha wapi siku hizi ????????? MCHAMBAWIMA au ??
 
Back
Top Bottom