"CHADEMA Wamechakachua Picha"!

acha ujinga nani wa kuchakachua icha hiyoninyomiya jana basi jidanganye kuwa bado mnapendwa ccmkwisha habari yenu
 
Hii ilikuwa Arumeru kwenye kampeni za Ubunge. Chadema acheni kutapeli wananchi

Hebu tuambie Nassari ndiyo yupi hapa?

SAM_4817.JPG
 
Hiyo lugha aliyoitumia kuelezea hiyo picha imekaa kiusanii sana. Zisome tu hizo sentensi zake mara mbili mbili utamuelewa anaamanisha nini. Jaribu kuangalia hizo red.

Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa
 
Kama huna picha mbadala ya kuelezea hofu yako ulipaswa kunyamaza kimya ili wanaoweza kuifanya kazi hiyo watuletee hoja zao zenye utafiti wa kina.Mahudhurio nyombi ya mkutano huo yanakukera nini.
 
Kwahiyo mleta mada unataka kutuaminisha ya kuwa waliuwa mtu ili watu waogope kwenda kwenye mkutano??
 
Na zile walizoonyesha ITV jana wamechakachua?

Asante sana Eliza. You nailed it. Yaani jana TV picha watu ni wengi hadi nilishangaa maana nilitegemea baada ya ule uharamia na uonevu wa polisi pengine watu kungekuwa hakuna kumbe wapi? Hivi najiuliza inakuwaje polisi anayesemekana na mlinzi wa raia na mali zake anatumia nguvu kubwa kuua raia ambao hawakuwa hata na chelewa ya kupigania? Kweli SSM, jeshi la polisi mnalitumia vibaya kwa raia wasiokuwa na hatia. Itafika mahali kura hata ziibiwe vipi na SSM hazitatosha!!! Damu za wanyonge na wasio na hatia zitawatafuna.
 
Hebu tuambie Nassari ndiyo yupi hapa?

SAM_4817.JPG

Pole jana hukuangalia news ITV? Mbona umati ulikuwa mkubwa kuliko hapa maana hapa ni section ya kamera ya kawaida tu!!!! Jueni watanzania hata kwa mtutu wa bunduki na yale mabomu ya jana hawaogopi tena. Yaani niliona jinsi gani mkuu wa polisi Morogoro yuko front akimlenga mtanzania maskini ambaye hana hata kijiti cha kupigana. Aibu sana. Amnesty International bado ipo tena au imekufa jamani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom