Communist
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 5,400
- 1,186
Wewe waongo ni CCM, usifikiri watu wote ni waongo. We call spade a spade.Jamani acha uongo anko
Wewe waongo ni CCM, usifikiri watu wote ni waongo. We call spade a spade.Jamani acha uongo anko
wapi mbona hakuna kitu hapo au unataka kutuambia nini aise
weka mbadala na sio swala la ingia hapa sijui wapi ambako hakuna kitu
wapi mbona hakuna kitu hapo au unataka kutuambia nini aise
weka mbadala na sio swala la ingia hapa sijui wapi ambako hakuna kitu
Shida yako unatumia hii simu, sasa unategemea nini jamani advocate??
![]()
Kazi waliyobakiza magamba ni kulia lia tu,hawana jipya.
Hebu tuambie Nassari ndiyo yupi hapa?
![]()
Mkuu hiyo picha ya kuchakachua hata kama wewe ni Chadema wakutupwa ebu angalia vizuri hiyo picha ina vipande vitatu, hilo jukwaa halafu angalia katikati watu wamesimama.
usilalamike tuu Rejao toa mbadala wa picha hapa
suala na wewe unaingia kwa wale wanaopenda kulalamika
Toa mbadala na sio kutoa mapungufu ya picha
Kama mkutano ulikuw ana watu hamsini toa picha yake useme kuwa hii iliyoko kwenye mtandao imechakachuliwa
sio suala la kulalamika tuu
Jamani acha uongo anko
![]()
Jembe hilo halitishwi wala halibabaiki saa ya ukombozi imefika
Sarcastic intellectual young lady, how can I see you for a coffee talk. heyIngia hapa ujionee aibu ilivyokuwa. Mimi nlipita nikadhani kikao cha ukoo
Mkuu hiyo picha ya kuchakachua hata kama wewe ni Chadema wakutupwa ebu angalia vizuri hiyo picha ina vipande vitatu, hilo jukwaa halafu angalia katikati watu wamesimama.
Sarcastic intellectual young lady, how can I see you for a coffee talk. hey
Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa
source mjengwa
Ritz sasa umezidi, utajivunjia credibility kabisa.Mkuu hiyo picha ya kuchakachua hata kama wewe ni Chadema wakutupwa ebu angalia vizuri hiyo picha ina vipande vitatu, hilo jukwaa halafu angalia katikati watu wamesimama.