CHADEMA Walitumia bilioni 1.3 Uchaguzi wa rais 2010

aibu mitumba ya dowans lakini mitumba ya mbowe ni gari mpya

fisadi mbowe kamlambisha slaa milioni 15 ili akae kimya yeye akichota mapesa kwa kutumia mitumba

hujui unalo sema
 
katibu mkuu wako makama anapata billion ngapi?

ndugu tusiifananishe chadema na CCM, CCM wanapata 70% ya rudhuku inayotolewa kwa vyama vyote. pili CCM ni chama kikongwe kina miradi mingi iliyo ya halali na ya kifisadi kwahiyo kwa vovote CCM WANAUWEZO WA KUMLIPA MGOMBEA KIASI CHCOCHOTE WANACHOTAKA BILA KUTUMIA HELA ZAO ZA KIFISADI.
 
Hata kama alipiga kura ya Hapana lakini si alitumia haki yake na demokrasia ikachukua mkondo wake!!!! hizo siasa zenu za CCM za kutajana majina fulani kapinga hakuungi mkono hazina nafasi CDM ni mwendelezo wa majungu tunayoshuhudia leo.
Mshikaji we uko shallow sana,halafu ni mshabiki nunda fulani.Kwani we unaonaje kutokujua kwako kuhusu voting records za viongozi kuwa siri?.....nyinyi washabiki ndio mnaharibu mfumo mzima wa maisha kwa maneno ya kidaku yasiyo na msingi.Watu tunataka mpaka kujua wabunge wote waliopiga kura za ndio na hapana katika miswaada mbalimbali ili wawe accountable.Kamati kuu za vyama na halmashauri kuu za vyama ni lazima vionyeshe kura za wazi kwa umma.Voting records is a good indicator of your political stance and we want to know!
 
Haaaaa haaaa! Mnatukumbusha mbali wandugu! Mukama na Nnauye nao wametuchanganya sana, mpaka sasa sijaelewa business ya "magamba" ilikuwa inahusu nini hasa!

Wamebatrack baada ya kugundua kuwa mafisadi wako smart na wana uwezo zaidi yao.... hiyo kitu imeshakufa sasa na kinachofanyika ni kubadilisha propaganda, watakaa kimya na watatuambia kuwa wameshawawajibisha ndani ya chama... CCM ni :evil:
 
Taingia juzi nimesema dhambi ya ufisadi itazidi kuitafuna Chadema, hakuna mwanachama yoyote ambae anaweza kuhoji matumizi ya ruzuku, kama unataka kufukuzwa chama jaribu kuhoji uone kazi. kuna watu watatu tu ndio wanaruhusiwa kupanda Helikopta MBOWE, SLAA, NDESAMBURO, hawa wachaga ndio wenye Chadema
 
Chadema kilitumia Sh1.3 bilioni kusaka urais 2010
Akizungumzia Uchaguzi Mkuu uliopita, Mbowe aliwaambia waandishi wa habari kuwa chama chake kilitumia Sh1.3 bilioni katika kampeni za uras.
Alivitaja vyanzo vya fedha hizo kuwa ni Sh 338.9 milioni za ruzuku, Sh 235.9 milioni kutoka kwa marafiki, Sh32 milioni michango mbalimbali ya wanachama na mali mbalimbali za watu zenye thamani ya Sh719.7 milioni.

ina maana mpango wote wa changia chadema sms na wanachama umezaa milioni 32 tu. hapo changa la macho

marafiki wa chadema 235.9 milioni. sabodo pekee milioni 200 ina maana wengine wote 35 milioni tu. changa la macho

haiwezekani misafara yote ile ya chadema kuzunguka nchi nzima walitumia 1.3 bilioni ni changa la macho.

zile pesa walizopewa na watu wa nje wameficha. changa lingine la macho.

cag wachunguze waongo hawa wanaficha mapesa au mengine mbowe kayaficha

Mimi pia nina wasiwasi na ukweli wa taarifa hii, hata hivyo sitazipinga mpaka pale nimejiridhisha siyo sahihi. Mimi binafsi nimechangia zaidi ya 50,000 kupitia sms labda waniambie kuwa Zain/Voda wanawakata kiasi kikubwa cha pesa au pesa tuliyokuwa tunatuma zilikuwa hazifiki kwao
 
Na nyie ccm leteni mchanganuo wenu hapa tuuone.
Mabango peke yake zaidi ya hiyo 1.3b
 
Mimi pia nina wasiwasi na ukweli wa taarifa hii, hata hivyo sitazipinga mpaka pale nimejiridhisha siyo sahihi. Mimi binafsi nimechangia zaidi ya 50,000 kupitia sms labda waniambie kuwa Zain/Voda wanawakata kiasi kikubwa cha pesa au pesa tuliyokuwa tunatuma zilikuwa hazifiki kwao

Sasa kama wewe umechangia hizo unajua walizochangia wenzio? We ni mfalme njozi eh.
 
Mimi pia nina wasiwasi na ukweli wa taarifa hii, hata hivyo sitazipinga mpaka pale nimejiridhisha siyo sahihi. Mimi binafsi nimechangia zaidi ya 50,000 kupitia sms labda waniambie kuwa Zain/Voda wanawakata kiasi kikubwa cha pesa au pesa tuliyokuwa tunatuma zilikuwa hazifiki kwao

imekula kwako maana umemchangia mbowe kwenye chama imeenda shilingi moja.

hata harusi watu wanachanga milioni 32. hili changa la macho nchi nzima milioni 32.

gharama ya kukodi ndege mafuta hotel na magari miezi miwili jumla 1.3 bilioni watanzania wajinga haoooooooooo! watupiwa changa la macho

mbowe anachekelea pembeni pesa imeingia kwenye ngo ya mtei.
 
mbowe ni fisadi na huu ushahidi tosha. hii ngo yao inamtajirisha.

slaa anapata milioni 15 kwa mwezi wasitudanganye. kalegezwa na mbowe ili asipige kelele ufisadi wa mbowe.
Loohh ningeshangaa kusikia wewe uliyeshiba maji ya kijani kama ungelimsema vizuri kiongozi wetu. Maelezo yaliyotolewa na katibu mkuu yako wazi sasa maswali na comments zako zatoka wapi?
 
Chadema kilitumia Sh1.3 bilioni kusaka urais 2010
Akizungumzia Uchaguzi Mkuu uliopita, Mbowe aliwaambia waandishi wa habari kuwa chama chake kilitumia Sh1.3 bilioni katika kampeni za uras.
Alivitaja vyanzo vya fedha hizo kuwa ni Sh 338.9 milioni za ruzuku, Sh 235.9 milioni kutoka kwa marafiki, Sh32 milioni michango mbalimbali ya wanachama na mali mbalimbali za watu zenye thamani ya Sh719.7 milioni.

ina maana mpango wote wa changia chadema sms na wanachama umezaa milioni 32 tu. hapo changa la macho

marafiki wa chadema 235.9 milioni. sabodo pekee milioni 200 ina maana wengine wote 35 milioni tu. changa la macho

haiwezekani misafara yote ile ya chadema kuzunguka nchi nzima walitumia 1.3 bilioni ni changa la macho.

zile pesa walizopewa na watu wa nje wameficha. changa lingine la macho.

cag wachunguze waongo hawa wanaficha mapesa au mengine mbowe kayaficha

jenfa, mwanamagamba usiye mwelewa, kiambie chama chako kimwambie cag akague wana pipos powa, sio kuleta majungu na hoja zisizo na mashiko. CDM wametoa hesabu zao ni kazi ya CAG kuzikagua na kuzithibitisha. Vyama vingine vifuate nyayo za cdm.
 
imekula kwako maana umemchangia mbowe kwenye chama imeenda shilingi moja.

hata harusi watu wanachanga milioni 32. hili changa la macho nchi nzima milioni 32.

gharama ya kukodi ndege mafuta hotel na magari miezi miwili jumla 1.3 bilioni watanzania wajinga haoooooooooo! watupiwa changa la macho

mbowe anachekelea pembeni pesa imeingia kwenye ngo ya mtei.

Kutokana na jinsia yako kutofanana na jina uliloweka, na mambo unayoyafanya humu inaonesha wazi kuwa unataka kuf....a. Humpati mtu humu.
 
Akitoa ufafanuzi huo jana, Dk Slaa alisema msuguano huo ulikuwa ni wa kawaida na ulikuwa sehemu ya kuwezesha demokrasia kuchukua mkondo wake. Alikiri kuwa kwenye mchakato huo, Mbowe ana magari matatu ambayo chama kinataka kuyanunua.

Alisema hoja hiyo ilimalizika kwa Baraza kuamua kuwa Mbowe aendelee kushawishiwa ili akubali kukiuzia chama magari hayo. Alielezea kuwa magari hayo aliyanunua na yakaanza kutumiwa na chama kwenye kampeni za uchaguzi uliopita.

"Magari hayo Mheshimiwa Mbowe aliyanunua kwa ajili ya biashara zake lakini kwa kuwa chama kilikuwa katika matatizo ya usafiri, akakubali kuyatoa yakisaidie ili baadaye tumrejeshee," alisema Dk Slaa na kuongeza kuwa magari mawili yanaendelea kutumiwa na chama hivyo ni vyema wayanunue.
Sasa kama waliyachakaza wenyewe halafu mnayaita machakavu....nani kayachakaza!?

Ni sawa na kumvunja bikra msichana ukampa mimba akazaa ikafika wakati unataka kuoa unasema siwezi kuoa mwanamke aliezaaa
 
Kutokana na jinsia yako kutofanana na jina uliloweka, na mambo unayoyafanya humu inaonesha wazi kuwa unataka kuf....a. Humpati mtu humu.

Ni bora umeliambia, kumbe dume. Ama kweli ccm kiboko, hadi inawafanya madume wafikrie kike, wajiite majina ya kike na mwisho yatarawiti...., endeleeni kukiendekeza kitawamaliza.
 
Magari ambayo chama kimemuomba mbowe awauzie ninayafahamu fika.Yalikuja mwaka jana kama sikosei mwezi wa sita yakiwa ni magari mapya, na kwa mara ya kwanza yalianza kutumika kwa shughuli za chama wakati wa kuomba udhamini kwa mgombea mwenza.
Mbowe hakutumia magari haya ktk biashara zake hata cku moja.chama kiliona hilo na kuyakubali magari ndo maana wametaka kuyanunua yawe ya chama kabisa.
 
ulishindwa kumlinda Amina Chifupa na Marehemu Mbatia halafu umlinde Zitto..
Labda ule ulinzi walioungudua baada ya mkuu wa kaya kuangua anguka kama kuku mwenye kideli yaani ulinzi unaotolewa na Sheikh Yahaya....
 
attachment.php

Tujikumbushe miezi michache iliyopita!

Hii picha inajitosheleza kwa kila kitu.
Nataka hii ipelekwe Mahakamani kama ushahidi siku EL,RA,AC na BM(Basil Mramba) watakapofungua kesi Mahakamani kupinga kuvuliwa vyeo/uanachama wa Chama cha Magamba.

Hapa Kiwete alikuwa akisema, ''NDUGU ZANGU WA-TZ,HAWA MAFISADI NI WENZETU HAKUNA KAMA WAO.TUKIWAACHA HAWA CHAMA CHA MAGAMBA KITAKUFA.CHAMA CHA MAGAMBA HOYEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!''

Chadema kilitumia Sh1.3 bilioni kusaka urais 2010
Akizungumzia Uchaguzi Mkuu uliopita, Mbowe aliwaambia waandishi wa habari kuwa chama chake kilitumia Sh1.3 bilioni katika kampeni za uras.
Alivitaja vyanzo vya fedha hizo kuwa ni Sh 338.9 milioni za ruzuku, Sh 235.9 milioni kutoka kwa marafiki, Sh32 milioni michango mbalimbali ya wanachama na mali mbalimbali za watu zenye thamani ya Sh719.7 milioni.

ina maana mpango wote wa changia chadema sms na wanachama umezaa milioni 32 tu. hapo changa la macho

marafiki wa chadema 235.9 milioni. sabodo pekee milioni 200 ina maana wengine

wote 35 milioni tu. changa la macho

haiwezekani misafara yote ile ya chadema kuzunguka nchi nzima walitumia 1.3 bilioni ni changa la macho.

zile pesa walizopewa na watu wa nje wameficha. changa lingine la macho.

cag wachunguze waongo hawa wanaficha mapesa au mengine mbowe kayaficha

kwenye blue hapo, we hukumbuki CDM walikuwa wanalalamika kuhusu kuchangia kwa huduma ya SMS, CCM,TISS na makampuni ya simu yalikuwa yanaweka kauzibe na watu yulikuwa tunatuma SMS zilikuwa zinafail, we unaongea vitu bila data. shut up your.....@L;;;;l'''', usije ukanisababishia BAN bure
 
Magari ya mitumba yaitikisa CHADEMA

Leon Bahati

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekiri kwamba suala la ununuzi wa magari yaliyotumika lilizua mjadala kwenye kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika Jumatatu wiki hii.
Alisema hoja hiyo ilimalizika kwa Baraza kuamua kuwa Mbowe aendelee kushawishiwa ili akubali kukiuzia chama magari hayo. Alielezea kuwa magari hayo aliyanunua na yakaanza kutumiwa na chama kwenye kampeni za uchaguzi uliopita.

"Magari hayo Mheshimiwa Mbowe aliyanunua kwa ajili ya biashara zake lakini kwa kuwa chama kilikuwa katika matatizo ya usafiri, akakubali kuyatoa yakisaidie ili baadaye tumrejeshee," alisema Dk Slaa na kuongeza kuwa magari mawili yanaendelea kutumiwa na chama hivyo ni vyema wayanunue.

Kuhusu chama hicho kununua vitu vilivyotumika wakati kimekuwa kikiipinga vikali serikali kutumia vitu vilivyotumika, Dk Slaa alisema njia inayotumiwa na Chadema iko wazi zaidi ukilinganisha na ile ya serikali.

Wakuu hapa ndo kuna undumila kuwili.

Sentensi moja ingesomeka hivi kama nilivoibadilisha ungesikia keyboard zikitwangwa:

"Magari hayo Mheshimiwa ROSTAM AZIZ aliyanunua kwa ajili ya biashara zake lakini kwa kuwa chama kilikuwa katika matatizo ya usafiri, akakubali kuyatoa yakisaidie ili baadaye tumrejeshee," alisema MAKAMBA na kuongeza kuwa magari mawili yanaendelea kutumiwa na chama hivyo ni vyema wayanunue."
Hata habari yenyewe ingepakwa rangi ya kijani, lakini CDM hakuna ufisadi bwana , wao kuna kina MR CLEAN
 
Back
Top Bottom