Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,919
- 31,161
zitto tutakupa ulinzi huyo mbowe na genge lake walimwondoa wangwe shauri ya kupinga mbowe kuchota mapesa. jihadhari kaka hao wakaskazini ni wabinafsi.
wanapeana mshahara 15 milioni na kuuzia chama mitumba
Hata wewe umeingia kwenye mtego wa ubaguzi !.