CHADEMA Walitumia bilioni 1.3 Uchaguzi wa rais 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Walitumia bilioni 1.3 Uchaguzi wa rais 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhosni, May 3, 2011.

 1. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Clouds FM taarifa

  Mbowe amekaririwa akisema zilitokana na vyanzo mbalimbali ikiwemo ruzuku toka serikalini
   
 2. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  na CCM mabango yote tshirt khanga na kofia helkopta 3 na gharama magari ya kusomba watu hadi ktk mikutano yao wametumia shs ngapi? Coz nahisi hiyo gharama yote ya CDM inalingana na gharama ya mabango tu
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :A S cry:

  Natamani kusikia CCM walitumia kiasi gani maana nina wasiwasi kule kijijini kwetu tu watakuwa wametumia kiasi kama hicho tu peke yake
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaaa CHADEMA mnanifurahisha sana..CCM hawatathubutukusema maana ni aibu kubwa ....na mapesa yote hayo waliyotumia bado wakaiba kura ..kazi wanayo 2015
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  kati ya hizo Bl. 1.3 bili ya helcopter ilikuwa kiasi gani?
   
 6. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hela walizotumia CHADEMA ni sawa na hela walizotumia CCM kuchapisha mabango yao Canada. Ngoja tusubiri tusikie CCM walitumia mabilioni mangapi.
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kiasi walichotumia Chadema ni sawa na gharama za kampeni alizofanya Salma kikwete pekee kumnadi mumewe
   
 8. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Ilikuwa hiyo 3 baada ya nukta au wewe unaonaje?
   
 9. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo bl 1.3 inawezekana ikawa ni ya ccm kwa Arusha peke yake.
   
 10. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Dr Slaa ktk moja ya mikutano yake arusha alisema helcopter hiyo ya mh. Ndesamburo hawakukodisha bali walikuwa wanagharimia mafuta na matengenezo wakati wa kampeni so uliza gharama za mafuta na matengenezo shilingi ngapi?
   
 11. p

  plawala JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vyama vingine vilete hesabu zao,na kuainisha mafungu yalivyotumika na vyanzo vyake
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,846
  Likes Received: 11,965
  Trophy Points: 280
  Kwa CCM bil 1.3 ni gharama ya vikao vya ndani vya kupanga bajeti ya uchaguzi.
   
 13. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Wapeleke mahesabu kwa CAG sio kutupiga propaganda, hiyo ni defending mechasim. Kwanini waiingie hewani kabla ya ukaguzi kwanza? huu ni uhuni .

  Lazima watu waelewe unaweza tumia pesa kubwa lakini kihalali na wakati mwingine akatumia kidogo kiufisadi. Na hata hivyo wote wakabidhi mahesabu yakaguliwe toka 2005.
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Tujikumbushe miezi michache iliyopita!
   
 15. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Wote wapeleke wakaguliwe na sio propaganda za media.
   
 16. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Safi CHADEMA! Vipi chama cha magamba wametumia bilioni mia ngapi?
   
 17. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Safi wapi? yani nyie bwana mnashangaza sana
   
 18. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #18
  May 3, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mahesabu ya Vyama vya Siasa hayapelekwi kwa CAG bali kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi, 2010!
   
 19. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Matilda ametumia zaidi ya bil mbili akiwa Arusha vp je kitaifa?
   
 20. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mh. Mbowe angeitisha press baada ya kupeleka ripoti ya mahesabu kwa CAG, ... na yawe yamekaguliwa!
   
Loading...