Hujasema lolote kuniaminisha kuwa CHADEMA imewahi kuwa CCM-B. Mfano wako wa Kigoma hauna mshiko kabisa. Kwa Slaa kusema kuwa angeunda serikali ya mseto ni kwamba alitambua kwamba kuna wabunge wa CCM ambao wangeweza kufanya kazi pamoja na CHADEMA bila conflict, including Mwakyembe. Lakini wote hawa wangefanya kazi kutekeleza ilani ya CHADEMA kutofautiana na CUF Zanzibar ambayo ni kama imekubali kumezwa na CCM ili mradi Maalim anapewa benzi mpya na kaofisi.