Chadema wajifunze hili kutoka kwa Ismail Jussa (We need to walk the walk) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wajifunze hili kutoka kwa Ismail Jussa (We need to walk the walk)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by George Maige Nhigula Jr., Jan 24, 2011.

 1. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu Wana JF,

  Napenda kukiri wazi kabisa na bayana siku zote huwa na kuwa na mitazamo tofauti na Ismail Jussa kwenye masuala mbali mbali yanayohusu siasa na mustakabali wa Taifa letu lakini leo nimepitia kwenye Facebook account yake nimejifunza kitu ambacho Chadema ingekuwa busara wakafanya hivyo pia ili kuondoa dhana potofu ya ki propaganda inayojengwa na Mafisadi! Anyway kitu chenyewe ni hiki hapa chini.

  Uwazi kama huu Chadema tunauhitaji sana, Nadhani huwa kuna nafasi za kazi zinatokea makao makuu na mikoani ndani ya chama, Je huwa zinatangazwa hadharani kama hapa JF au facebook au kwenye newspaper au zinajazwa kinyemela? Hapa Mh. Ismail Jussa ijapokuwa ni hasimu wangu, but myonge myongeni lakini haki yake mpeni, Kwani Jussa ana ndugu, jamaa na marafiki wangapi ambao angewapa hizo nafasi? lakini kaamua kuzianika hadharani, Vitu kama hivi ndo tunaita to do things differently and not business as usual kama CCM, WE NEED TO WALK THE WALK AND NOT TALK THE TALK.

  Ismail's Profile · Ismail's Wall
  • [​IMG] Ismail Jussa
   I am looking for two suitable and qualified persons to work at the CUF Headquarters in Zanzibar in the Office of Deputy Secretary General. If you are interested, kindly inbox me your number and I will get in touch with you and enlist you for an interview.


   [​IMG] Sunday at 21:43 via Mobile Web ·LikeUnlike · Comment
   • 13 people like this.
    • [​IMG] Elly Mbilinyi posho? Sunday at 21:48 via Facebook Mobile · LikeUnlike

    • [​IMG] Amani 'amasha' Mhinda Qualification ni zipi comrade kwa faida ya vijana Sunday at 21:52 via Facebook Mobile · LikeUnlike · [​IMG] 1 personLoading...

    • [​IMG] Jemal Tour Guide Yeap thats very good quastion @ AMASHA. Sunday at 22:07 via Facebook Mobile · LikeUnlike

    • [​IMG] Magan Omar Nimeinbox hapo komredi. Sunday at 22:18 via Facebook Mobile · LikeUnlike

    • [​IMG] Nasriya Al-dugheish Am I suitable enough???? Sunday at 22:40 · LikeUnlike

    • [​IMG] Ismail Jussa Qualifications: kwa aina ya kazi zenyewe itakuwa vizuri mtu akiwa na angalau first degree. Lakini kama tujuavyo, degree si hoja, unaweza ukawa huna degree lakini ukawa una maarifa mazuri na uwezo wa kutosha pamoja na uzoefu wa kuifanya kazi hii. La muhimu uwe ni mwanachama wa CUF, uwe na maarifa ya kisiasa, uwezo mzuri wa kuandika barua na ripoti kwa Kiswahili na Kiingereza na utashi wa kuhudumia watu. Kazi ya kisiasa haina mshahara ila tunatoa posho la kusaidia kujikimu. Natumai nimesaidia kwa wale waliokuwa na maswali. Sunday at 22:45 via Facebook Mobile · LikeUnlike · [​IMG] 2 peopleLoading...

    • [​IMG] Ismail Jussa Nasriya, wewe tena? Akushinde nani? Hahahaha..... Sunday at 22:47 via Facebook Mobile · LikeUnlike

    • [​IMG] Nasriya Al-dugheish Thanks bro Sunday at 22:49 · LikeUnlike

    • [​IMG] Omar Kattah hon Jussa this is what is called political transparent for the sake of zanzibar people. good step forward. i have in box you though. Sunday at 22:54 · LikeUnlike · [​IMG] 2 peopleLoading...

    • [​IMG] Slim Kingstone I am not Cuf,,,but kama maambo yatakuwa yanafanywa this way ,,,itapendeza mno,,,equal opprtunity for all. laitit ajira zote zingetolewa hivi,,,,tungekuwa mbali sana Sunday at 23:02 · LikeUnlike · [​IMG] 3 peopleLoading...

    • [​IMG] Omar Haroub Adi good this is how democracy is gone well big up jussa Sunday at 23:10 · LikeUnlike

    • [​IMG] Omar Jr S. Mohammed We ndo muheshimiwa wa kwanza kutangaza nafasi ya kazi kwa sisi marafiki zako wa facebook, najua umeona na kutambua umuhimu wetu! Sina kwa kukwambia zaidi ya Ahsante kwa nafasi uliyoitoa na Mungu akupe nafasi zaidi ya kutoa nafasi za kazi kichama na zisizo cha kichama! Baarakka llahu feeka! Sunday at 23:36 via Facebook Mobile · LikeUnlike · [​IMG] 1 personLoading...

    • [​IMG] Ali Said nice mr ismail do that way to find some have qualified ,how know his jobb . sio kumpa mpara samaki,, awe aducation minister ,,watoto skuli hawana vitabu vya kusoma, Sunday at 23:39 · LikeUnlike

    • [​IMG] Omar Jr S. Mohammed Kweli usemayo Slim Kingstone. Nadhani Mh. Jussa anatumia vilivyo kauli mbiu ya Chama Cha wananchi ya HAKI SAWA KWA WOTE. Laiti kazi za kitanzania zingeangaliu uwezo kama huu aliokuwa nao Mh. Jussa! Tanzania isingekuwa nchi ya Mgao wa umeme wala shida ya maji! Wala wanafunzi wa vyuo vikuu kukopeshwa wala shule za misingi kuchangia madawati! Yote kwa yote acha niseme Mungu Ibariki Tanzania Aaaameen! Sunday at 23:41 via Facebook Mobile · LikeUnlike

    • [​IMG] Salma Ali Hassan uwanachama wa CUF ni part ya Qualification? Yesterday at 00:50 · LikeUnlike

    • [​IMG] Seif Abalhassan mtume(s.a.w)anasema"zimezoezwa/zimezoeshwa nyoyo juu ya kumpenda mtu mwenye kuzitenda wema na kumchukia mwenye kuzitenda uovu".. binafsi nampenda sana jussa,ALLAH mbariki jussa kwa kuwa kiongozi wa maneno na vitendo,kwa ukweli na uwazi wake na mwisho kwa kuwapenda watu wake!.. unachofanya kaka ni beyond our politics!.. ni kinyume na mazoea,kwa njia naamini utapata watu sahihi kwa ajili ya kazi husika!.. wabillah tawfiq Yesterday at 01:22 via Facebook Mobile · LikeUnlike · [​IMG] 2 peopleLoading...

    • [​IMG] Salma Said Huyo Jussa huyo tumempenda wenyewe.... Yesterday at 01:44 · LikeUnlike

    • [​IMG] Othman S Othman Kwanza nikuulize muheshimiwa wataka wazungu au washwahili?
     Pili sifa za mtu umtakae hujazisema ungetaja tukajua kama tuko na hamu ya kuomba Yesterday at 01:49 · LikeUnlike

    • [​IMG] Ismail Jussa Salma, naam uanachama wa CUF ni mojawapo ya qualifications. Hizi ni kazi za Chama kwenye Makao Makuu ya Chama. Loyalty kwa Chama ni moja ya vigezo. Yesterday at 01:58 via Facebook Mobile · LikeUnlike · [​IMG] 3 peopleLoading...

    • [​IMG] Othman S Othman ok, haya maneno ya juuu nlikuwa cjayaona, asante sasa sawa. Yesterday at 02:00 · LikeUnlike

    • [​IMG] John Maziku Je kama nikiwa natoka Bara je, naruhusiwa? 23 hours ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Said Seif Please give us qualification of that job. 13 hours ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Hakim Kombo what the qualifications and describe the job, please? 13 hours ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Ismail Jussa Said na Hakim, someni hapo juu. 11 hours ago via Facebook Mobile · LikeUnlike

    • [​IMG] Mohammed Ali Mussa very good step toward building transparency and democracy in our political party of Civic United Front (C.U.F) 11 hours ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Khamis H. Haji ‎@Mh. Jussa , job descriptions plz!!! 8 hours ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Amar Ali musimuone Mh Jussa leo anang'ara mukafikirie ni bahati mbaya tu, alianzia kama hivi hivi kukitumikia chama mpaka leo amekuwa mtu mmoja muhimu ndani ya chama. Wenye uwezo na hamu ya kutaka kukitumikia chama na kutaka kujifunza mambo, basi musiitupe nafasi adhimu kama hii! Na kila wakipatikana vijana kuanzia miaka 20 mpaka 30 ndio itakuwa safi kabisa! 5 hours ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Hassan Khamis muheshimiwa Khamis Mohammed, umesoma vyema hayo maelezo? maana umeambiwa "KINDLY INBOX ME". sio uweke kweupeni,

     kila la kheri 5 hours ago · LikeUnlike

    • [​IMG] Khamis Mohammed Ahsante kwa kunikumbusha @hassan 4 hours ago · LikeUnlike

   • Write a comment...

   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Unadhani haifanyiki hivi kwa chadema? Hizo ni hisia zako tu. Chadema tuna utaratibu wetu mzuri tu wa kufanya recruitment na tena hatulipi posho tu tunalipa mishahara. Keep watching for the next recruitment sir/madam
   
 3. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi naongea hivyo nipo karibu sana na chadema na ni mwanachama hai lakini sijawahi kusikia au kuona labda unisadie kunifahamisha huo utaratibu, kwa maana mimi nacho ongelea ni swala uwazi ambalo wapinzani wetu wanatupiga nyundo sana kwa sababu sometimes hawajui tunachofanya kwa uwazi, mambo wanayofanya wakina makamba ya kuwavuta wakina Tambwe ambaye ni ndugu yake! na ndio hisia zilizopo kwa chama chetu, Tunapowashambulia CCM na sisi tuwe clean kama Dr Slaa anavyosema.
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Naomba unijurishe gazeti ambalo lina hilo tangazo la hiyo nafasi maana facebook ina watumiaji kama laki tano tu Tanzania nzima. na kama upo karibu na viongozi wa Chadema kwa nini hukwenda kuwaambia wenyewe hili?
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  No way men,hamfanyi hivo why can't you admit even this?
  Aaaaaah shit kubebena tu kila siku
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapa ndo udhaifu wa kuficha ugonjwa unapo kuja,mwenyewe nilisoma kwa jussa nika furahi kweli kwanza kiukweli kawavutia watu wengi sana kwa kuwa kumbusha haaa,kumbe naweza kuajiliwa na chama?

  Binafsi nilijua chamani lazima uwe "muongeaji" tu kumbe hata mimi mtu wa ICT naweza kupata kazi kwenye chama?
  chadema hamtangazi na don't deny it,kazi ikitokea mna angalia nani yuko karibu na "mna bahati tu kwamba wanaweza kufanya kazi hata kama ni kwa kuvutana kwa kujuana"

  change chadema
   
 7. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  mkuu.... fb is a web based social interaction tool..... sitegemei a serious institution will opt to recruit using this web portal

  fb is a network of friends and personalities through web

  je ..? anayeajiri ni Ismail Ladhu au ni CUF...hii tayari ni makosa....ladhu haajiri wafanyakazi

  kwa sababu hata hiyo profile ni ya Ladhu na siyo ya chama cha CUF

  this is just political maneuvers to attract and i find it very ambiguous
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ni hisia zako tu unajuaje kama Chadema hawafanyi hivi au kwa vile hawajatangaza au kufanya kama alivyofanya Jussa by the way kila mtu ana namna na jinsi ya kufanya mambo yake
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Inawwezekana kabisa
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kila mtu ana njia yake yake ya kufanya mambo yake usilazimishe kwa vile CUF wamefanya hivyo basi CHADEMA nao wafanye hivyo by the way i just see it very ambiguous if you ask me
   
 11. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  The heading should read walk the talk or talk the walk. Ndio ina make sense. Anyways just a correction.
   
 12. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Lazima tukubali kukosoana, kama tunataka kujenga chama imara usilete habari za CCM mkubwa za kutaka kufumbia macho baadhi ya mambo CHADEMA sio malaika they have their weakness, the best way ni kurekebishana tunakanyaga Twende, sipendi trend ya baadthi ya watu kutaka kuona CHADEMA ina watakatifu tupu! That is wrong na hiyo tabia inabidi tujirekebishe ndo tutajenga chama Imara na chenye kujikosoa
   
 13. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mzee naona uko nyuma sana na technology, nenda marketplace in Facebook kuna a lot of trade dealings and jobs being advertised through Facebook, wasomi na vijana wengi wanatumia facebook, na wanasiasa wengi duniani akiwemo OBAMA they conducts their politics via Facebook, hata Tunisia dectator kaondolewa kwa organization through facebook, hivyo social networks kama facebook is a leading in the world kwa kutumiwa na watu wengi and you can convey a message and reach a lot of people in short time.
   
 14. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Lazima tukubali kukosoana, kama tunataka kujenga chama imara usilete habari za CCM mkubwa za kutaka kufumbia macho baadhi ya mambo CHADEMA sio malaika they have their weakness, the best way ni kurekebishana tunakanyaga Twende, sipendi trend ya baadthi ya watu kutaka kuona CHADEMA ina watakatifu tupu! That is wrong na hiyo tabia inabidi tujirekebishe ndo tutajenga chama Imara na chenye kujikosoa
   
 15. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  "walk the walk instead of talk the talk", Is an idiom which is gramatically correct, which Basically it means being able to do what you say you can do, instead of just idle boasting. to practice what you preach or what you stand for
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  CDM,Ismail,CCM wanataratibu zao,TATIZO WEWE UNATAKA UAJIRIWE CDM wakati makao makuu hawajaona commitment zako?CDM makao makuu kuwa watu makini ndio maana chama linasonga mbele kwa kasi ya ajabu.
  huoni namna CDM ilivyowasomba ex-leaders wa vyuo vikuu?haikutokea kwa bahati bali ulikuwa mkakati.ya nini kubeba wazee waliokwisha filisi mashirika ya umma na kuwaweka viongozi?
   
 17. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,280
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  Unataka watangaze Facebook?
   
 18. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #18
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Lazima tukubali kukosoana, kama tunataka kujenga chama imara usilete habari za CCM mkubwa za kutaka kufumbia macho baadhi ya mambo CHADEMA sio malaika they have their weakness, the best way ni kurekebishana tunakanyaga Twende, sipendi trend ya baadthi ya watu kutaka kuona CHADEMA ina watakatifu tupu! That is wrong na hiyo tabia inabidi tujirekebishe ndo tutajenga chama Imara na chenye kujikosoa kitakachoheshimu misingi ya demokrasia na kusimamia kinacho amini, tusifumbie macho hivi vitu vidogo vidogo ni muhimu sana hata ccm walianza hivyo mpaka sasa tatizo limekuwa sugu.
   
 19. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #19
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Angalia hapo kwenye RED, Sikulaumu kwa maana hunijui mimi ni nani, Naomba ufanye utafiti ujue ajira za Makao makuu zinajazwa vipi? then utakuwa na haki ya ku attack watu bila kujua, Tunacho ongelea hapa ni Uwazi sio nani anataka kufanya kazi makao makuu,
  Chadema ni chama chetu sote na kina mapungufu mengi hivyo huu ni wakati wa ku restructure na kufanya mambo kwa uwazi zaidi ili mahasimu wetu wakose pa kushika, kitendo cha Jussa kufanya hivyo inaweza kuwa ni political calculation ya kuwatia moyo wafuasi wa CUF na mwanachama yoyote anashirikiswa kwenye mchakato wa chama.
   
 20. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #20
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata hapa JF, dhana ni uwazi na kila mwanachama apate nafasi ya kujua kuna nafasi gani ipo on play chamani then atajipima na kuamua kuomba au la, uwazi linaondoa wingu la dhana ya upendeleo inayojengwa dhidi yetu na chama. sijui unanielewa au?
   
Loading...