CHADEMA waiteka Ambureni

Karibu mkuu, ila jitahidi upige vipicha kidogo utupie hapa, ili tutathimini unachotwambia. ;lakini watu wa maeneo hayo wanakadi za kupigia kura?? Maana zisije kuwa tayari zimeshachukuliwa na wauaji wa wapenda maendeleo.
 
Back
Top Bottom