Are you sure? Give the source of your information.wabunge 11 wa chadema wamepinga msimamo wa mwenyekiti freeman Mbowe wa Kususia hotuba ya rais katika ufunguzi wa bunge la kumi
Hawakufika kabisa bungeni, hii inaonyesha ni jinsi gani mbowe na mtei wanavyotaka kuwaburuza vijana waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha na sasa wanataka kuwatumia kutimiza haja zao na si maslahi ya wananchi waliowachagua.