Chadema wagawanyinga

Hawakufika kabisa bungeni, hii inaonyesha ni jinsi gani mbowe na mtei wanavyotaka kuwaburuza vijana waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha na sasa wanataka kuwatumia kutimiza haja zao na si maslahi ya wananchi waliowachagua.

You are a junior member. Lakini bado una nafasi ya kuwa makini hata kama umelazimishwa kujiunga mjamvini
 
wabunge 11 wa chadema wamepinga msimamo wa mwenyekiti freeman Mbowe wa Kususia hotuba ya rais katika ufunguzi wa bunge la kumi

Jamaa hawa wa CHADEMA ni geresha tu , hawana lolote aisee. Walitoka ukumbi wa Bunge ili kutomsikiliza Mh. RAIS JK, wakaenda kwenye ukumbi wa upinzani Bungeni wakawa wanasikiliza hotuba hiyo kupitia Runinga. Jioni ya siku hiyo, JK aliwaandalia sherehe wabunge, jamaa wote walikuja wakala wali na kunywa. Sasa najiuliza , km hamumtambui mbona mlikuja kwenye sherehe yake na mkala vyakula vyake? Kweli BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA AISEE.
 
Nadhani hata CCM kuna wanaowaunga mkono na wanaowapinga na kila mmoja ana haki ya kutoa msimamo na mawazo yake.....sioni hoja kwenye hili as JK anasema Kilimo kwanza EL anasema Elimu kwanza!
 
Think Twice: Kweli yopu need to think twice! Unadhani hao wabunge wa Chadema wanaona ni dili sana kula wali na kunywa? (hii ni typical CCM mentality) mnauza nchi kwa ajili ya pilau, free bongo flava shows, T-shirts na kapelo!! Kitu muhimu ilikuwa ni kumuonyesha JK kuwa hatambuliki, hiyo pekee imetosha kufikisha ujumbe! Kama baadaye wabunge wa Chadema walikuja kula na kunywa...au hata kama waliwatongoza wabunge wa CCM haiathiri objective ya kususia hotuba yake!!
Zhu: Bado una nafasi ya kutafakari na kurekebisha uyasemayo; tunaomba utupe majina ya Wabunge 11 waliopinga kitendo cha kususia hotuba ya Kikwete, na utupe pia source ya habari yako.....
 
Jamaa hamna kitu bana, mambo ya sitaki nataka mkuu. Mambo ya BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA, KWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIISHA KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
 
Hawakufika kabisa bungeni, hii inaonyesha ni jinsi gani mbowe na mtei wanavyotaka kuwaburuza vijana waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha na sasa wanataka kuwatumia kutimiza haja zao na si maslahi ya wananchi waliowachagua.

I agree with you 100%, nawasikitikia hawa vijana, hawamjui Mbowe, ni dictator ile mbaya, na yupo Chadema si kwa maslahi ya waTanzania bali kuna mambo na malengo yake binafsi.

Mie nawashangaa sana wa Tanzania wenzangu wengine, hivi huyu jamaa ambae klabu zake za usiku zina uozo wa uadilifu kupindukia, na yule Dokta Slaa ndio kama tujuavyo, ana kesi ya kupora Mke wa mtu, ndio wanawashabikia na kuwasikiliza eti ni viongozi, wanaongoza nini?
 
Does not matter Hata kama walipinga issue ni kwamba walifuata maagizo ya chama na hakuna aliyebaki kusikiliza........... People's always have different opinions that's ;life. what matters ni kwamba chadema as chama walifanya walichotaka kufanya hao 11 they are entitled to their opinions
 
I agree with you 100%, nawasikitikia hawa vijana, hawamjui Mbowe, ni dictator ile mbaya, na yupo Chadema si kwa maslahi ya waTanzania bali kuna mambo na malengo yake binafsi.

Mie nawashangaa sana wa Tanzania wenzangu wengine, hivi huyu jamaa ambae klabu zake za usiku zina uozo wa uadilifu kupindukia, na yule Dokta Slaa ndio kama tujuavyo, ana kesi ya kupora Mke wa mtu, ndio wanawashabikia na kuwasikiliza eti ni viongozi, wanaongoza nini?

AKILI ZA WATU ZIPO MAKUNDI 4:
1. AKILI NDOGO SANA, Hujadili mambo binafsi ya watu bila data,
2. AKILI ZA KAWAIDA, Hujadili matukio ya kawaida bila kutumia nguvu ya hoja,
3. AKILI ZA JUU, Hujadili IDEAS. Hawahangaiki na maisha ya watu; siku zote hutumia QUALITY DATA,
4. AKILI ZA JUU SANA. Hutengeneza na kujadili IDEAS. Hata hivyo, watu hawa huonekana WAJINGA kwenye jamii kwani huwa HAWAELEWEKI kwa urahisi. Ni bbada ya miongo kadhaa, ndipo watu huja kusema, ALA, KUMBE ALIKUWA SAWA, TOO LATE.

Utawatambuaje? Wanyeyekevu, wasikivu, si waongo, nk, e.g. Nyerere, Jesus, Galileo Galilei, Isaac Newton, etc....
 
Ni haki yao kupinga. Demokrasia ndani ya CHADEMA iko wazi. Kama kweli walikuwa na ubavu wa kumpinga Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CHADEMA, wangekwenda Bungeni siku hiyo na KUBAKI ndani wakati JK alipohutubia! Huo ni unafiki!

Unasema unampinga Mwenyekiti, unakipinga CHADEMA, halafu hufanyi vitendo? Khaaa!

Uchuro!

Watanzania waoga sana! Ningependa kujua majina yao niwanange hapa LIVE! Wekeni majina yao tafadhali! Mnawaficha nini? Hawa si watu makini, HAWATUFAI ndani ya CHADEMA! Inawezekana ndio hawa wale Wabunge Mamluki waliopandikizwa na CCM, kuja kuivuruga CHADEMA!

Tuko makini, hamtuwezi!

Uzushi wote huu kuna mada za kuangalia ukapita na ukaokoa muda wako wa kupoteza kwa kuchangia .Chadema wamesema na wametenda na wataendelelea na majukumu yao mengine ni porojo tu hapa.Mbowe na Mtei wanamburuza nani kwa ajili ya faida ya nani kama si ujinga wa kuwagawa watanzania kwa ukabila na udini na baadaye kuanza kulia ubaguzi majukwaani ?Hii si CUF kwamba mwishowe wamebanwa no na Chadema watu wanataka changes na si madaraka kama CUF
 
Hao wabunge wametumia akili sana, kutofika kabisa katika maeneo ya bunge... Hao vipofu wengine wameingia mkenge
 
Jamaa hamna kitu bana, mambo ya sitaki nataka mkuu. Mambo ya BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA, KWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIISHA KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.

Jambo lolote ambalo linahusu wabunge na si JK na speech zake ni halali kwa wabunge wa Chadema kushiriki na hili halina mjadala sasa ulitaka wasiende kwende chakula cha wabunge kimeandaliwa kwa pesa yan walipa kodi wote ? Jamani akili zingine
 
wabunge 11 wa chadema wamepinga msimamo wa mwenyekiti freeman Mbowe wa Kususia hotuba ya rais katika ufunguzi wa bunge la kumi
Wabunge wote wapo pamoja acha uhuni na maada ambayo haina maana kwa sasa watanzania wanajadili kuhusu katiba mpya maana ujumbe umefika kwa wananchi wote
 
AKILI ZA WATU ZIPO MAKUNDI 4:
1. AKILI NDOGO SANA, Hujadili mambo binafsi ya watu bila data,
2. AKILI ZA KAWAIDA, Hujadili matukio ya kawaida bila kutumia nguvu ya hoja,
3. AKILI ZA JUU, Hujadili IDEAS. Hawahangaiki na maisha ya watu; siku zote hutumia QUALITY DATA,
4. AKILI ZA JUU SANA. Hutengeneza na kujadili IDEAS. Hata hivyo, watu hawa huonekana WAJINGA kwenye jamii kwani huwa HAWAELEWEKI kwa urahisi. Ni bbada ya miongo kadhaa, ndipo watu huja kusema, ALA, KUMBE ALIKUWA SAWA, TOO LATE.

Utawatambuaje? Wanyeyekevu, wasikivu, si waongo, nk, e.g. Nyerere, Jesus, Galileo Galilei, Isaac Newton, etc....

Utawatambuaje? Wanyeyekevu, wasikivu, si waongo, nk, e.g. Nyerere, Jesus, Galileo Galilei, Isaac Newton, JK etc
 
Prof. Lipumbavu anaburuzwa na maali Seif bora ajiuzulu, Chadema wamefaya sahihi
 
Demokrasia komavu kote duniani ni kuchanganua hoja kwa misingi tofauti lakini mwisho wa siku uamuzi wa wengi ukakubaliwa. Waheshimiwa Kinana, Membe na Mzee Malecela ndani ya CC ya CCM walitaka Mhe. Sitta aendeleze speed na standards bungeni lakini wengi wakasema hawataki. Je, Kamati Kuu ya CCM IMEGAWANYIKA? Chadema wasifiwe kwa kuonyesha ukomavu kisiasa na kidemokrasia
 
Back
Top Bottom