KIJOME
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 3,084
- 732
Wewe ni tone katika bahari mwambie aliekutuma huku jamvini hakufai kuna watu wana akili kubwa za kupambanua mambo na kama ni akili zenu ndogo zipelekeni kwenye vikao vyenu vya nec mnakopanga namna ya kuua makada wenu ili msingizie CDM,kumbuka hakuna siri chini ya jua!!!!siwezi kushangaa chadema kuua mwana ccm,namfahamu vyema waitara ana roho mbaya na muuaji kabisa,aliandaa vijana wakamwagia mtu acid igunga,aliandaa watu wenye mapanga kukatakata watu busanda,aliandaa kundi likawapiga mawe viongozi wa ccm tarime,aliongoza kundi lililomuua mwenyekiti wa chadema usa river,bado chadema waliua dereva wa ccm bariadi,kwa chadema wametamka wazi kuwa wao damui imwagike hawajali kinachotakiwa ni kuingia ikulu!
ukisoma vyema story ya huyu jamaa unaona palikuwwa na taarifa za vijana na kwa maana hiyo palilkuwa na maandalizi ya kuwakabili,je unawezaje kukanusha kwamba hukuua!