CHADEMA wafanya Press Conference; yaliyojiri Singida- Ndago na yatokanayo

taarifa nzuri sana hiyo kuliko hz itv na tbc zimejaa wanafiki tu,hv ccm hamuwezi kuondoka kwa amani tu,mbona mnazidi kujiongezea makosa THE HAGUE jueni inawasubiri
 
Baada ya kuona wananchi wana mwamko na uelewa mkubwa, sasa wameanza mbinu ya kutengeneza matukio mfululizo tena matukio yasiyo na mashiko kwa lengo la kutuchosha akili katika kufanya reasoning, wanataka tubaki tukijiuliza how possible can these be.....huku wao wakichanja mbuga.
Wasahau mkiendelea ku-stage matukio na hizo taarifa zenu hatutawashangaa tena bali tutaendelea kuwapoteza hatuenda tena perpendicular you are of no use, tutakachowafanya ni kuwa kwamisha kabisa......mumeamua rasmi kuutumia ugonjwa wa KOVACULOSIS katika siasa zenu, hiyo ni ishara ya kushindwa kwenu....
 
Aibu kuu hii!
Kiongozi/Kada mzima kama wewe na mamlaka uliyopewa huyatumii vema! Kunda serikali na kuongoza wananchi mapa 2015.
Ndugu kama CHADEMA ni wauwaji na wewe unayodhamana ya kulinda raia na mali zao kwa nini hujawakamata wote akiwemo Mwita? Ni wazi CCM imeshindwa kutawala hili unalijua ! Any way anajua utakuwa atumikia cheo cha sandakalawe kama U-RC, UDC, na vingine visivyo na TBS. Ndiyo maana sisi wananchi wengi tulikukataa CCM! Msirudiei tena 2015 ni mwisho wenu.
badala ya kuusema ukweli unadaganya utakuta ni msomi mzuri tu! Mshauri vyema JK hata kama shule yako ni ya kuunga unga na vyuo vikuu vya kata. Shame upon U!

kama wewe unshule ya kuunga unga ni wewe,leta hoja au mtihani wako au mtafute mwalimu wako aje atoe mtihani ukinishinda nitakamata kuku ikupe ******,kama uko humu kutukana watu basi matusi kila mtu anayajua na hakuna wa kuogopa mtu, huwezi kubahatisha watu ukajifanya unawajua,kama wewe wewe una baba yake aliyepewa cheo cha huruma ni wewe na usidhani kila mtu ana njaa,kuna watu njaa tulizisahau miaka 25 iliyopita.
hapa hatufanyi kampeni na siyo lazima mimi kushabikia chadema,nina uhuru wa kuwakataa na ninakwambia hiyo 2015 mtashangaa mchuma huo unaondoka waambie na walityokutuma.
 
Hayooooo!!!! mafisadi ccm wamemaliza mbinu za kupora mali za tz sasa wanatugeikia wa-tz kwa kutuua kwa kisingizio cha cdm.aibu!!
 
Back
Top Bottom