CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.

Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.

Wanaukumbi.

Matokeo ya uchaguzi mkuu yanazidi kutoka kwa kasi na mwelekeo unaonyesha Chadema wanaelekea kufanya vibaya na kupoteza majimbo yao tofauti kama watu walivyotegemea.

Hii ni laana ya Dr.Slaa walichomfanyia hii ndiyo hukumu yao kwa yale waliomfanyia.

Natoa ushauri kwa Chadema kabla Chadema hawajasambaratika kama jumuhuri ya Urusi muombeni msamaha Dr.Slaa hawasemehe la sivyo mtapotea kabisa kwenye ulingo wa siasa.

Tena mnyika inabidi amsafishe miguu siku 3 ,Wenje ambebe mgongoni kutoka Ufipa hadi jangwani

Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.

Angalia jinsi UKAWA walivyopoteza majimbo. Pamoja na kura feki lakini mambo bado magumu CCM

Wabunge chaaaali.jpg
 
acha upimbi wewe serikali imetumia mabavu kama hapa kahama unaweza sema ccm imeshinda kihalali, kituo cha wafanyakazi wa mgodi wote ni ccm. Wakati hakuna mfanyakazi ccm hata mmoja

wewe ndio umewapigia kura
 
baada ya kudanganywa na mbowe na gwajima mkaanza kumtukana mnamuita dr.wa mihogo haya haya sasa mabadiliko yapo wapi makamanda???
kilichobaki ni kukafuta haka kachama ka wapulizajin na wanywa viroba act na cuf chukueni nafasi yenu hiyo
 
Iliyobaki ni kukafuta haka kachama ka kikabila na udini na wapulizaji act na cuf unganeni tujenge upinzani wa kweli
 
siamini kama haya ninayoyaona ndio matokeo sahihi...

Watu Wa Mwanza Mmetuangusha
 
mmesahau kuwa laana ya hawa jamaa ilianza na Zitto baada ya kumdampo kama takataka pamoja na nguzu zake zote alizotumia kukijenga chama.

Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.

Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.

Wanaukumbi.

Matokeo ya uchaguzi mkuu yanazidi kutoka kwa kasi na mwelekeo unaonyesha Chadema wanaelekea kufanya vibaya na kupoteza majimbo yao tofauti kama watu walivyotegemea.

Hii ni laana ya Dr.Slaa walichomfanyia hii ndiyo hukumu yao kwa yale waliomfanyia.

Natoa ushauri kwa Chadema kabla Chadema hawajasambaratika kama jumuhuri ya Urusi muombeni msamaha Dr.Slaa hawasemehe la sivyo mtapotea kabisa kwenye ulingo wa siasa.

Tena mnyika inabidi amsafishe miguu siku 3 ,Wenje ambebe mgongoni kutoka Ufipa hadi jangwani
 
Katika maisha ya mwanadamu una ambiwa usije muombea mwezio njaa muombee kheri hili na wewe upate kheri kwani ukimuombea shida basi kherewa wewe ndie utakaye pata shida. Nakumbukaa pare jangwanI lilifanyika tukio moja kubwa sana tena ni la kihistoria kuna bahadhi ya viongozi walisahini mkataba wakujiunga kuwa pamoja wa kauwita ukawa wananchi tukafurahi sana tukiamini nuru inakuja.kumbe ndani yake humo ndani walikuwepo makajanja. Wale makajanja wakawafanyia mambo furani wale waasisi wa hure muungano baada ya waasisi kujua hilo wakajitoa hili kuhepusha lawama kwa wananchi wao wapenda mabadiliko tukawabemza sana wale wwaasisi tukijuwa kwamba ni wa sariti kumbe turididanganya wenyewe bila kujuwa nini kitatokea baadae.dokta slaa, lipumba kilio chenu mungu amekisikia
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.

Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.
Mkuu hawa jamaa walidanganyika na mafuriko hewa ,wakasahau kuwa kwenye kura hakuna kuigiza wala mafuriko hewa,tuliwaambia maigizo yenu ni maafa yenu,hawakusikia,tukawaambia kujaza server za JF na kumsifia msanii sio ndio kupiga kura,sasa nadhani wameyaona wenyewe,sasa sijui Mzee kingunge atazungushia wapi mikono,Mungu mkubwa magamba yamejivua yenyewe na sasa tunasubiri Magufuli atupeleke Canaan ,nchi ya maziwa na asali.
 
we mweu kwa lipi aombwe msamahaa kwa uho ushindi wa wizi ata yeye angeibiwa tu kwani mwizi achagui nyumba ya kuiba
Wewe ndie mwehu mlisema Lowasa,Kingunge wanajua siri na mbinu za CCM pia mkambeba na huyo aliyekuwa mlinda kura za CCM mkidhani sasa ndio mtashinda mkasahau kuwa wananchi ndio waamuzi imekula kwenu,na sasa mtasubiri miaka 50 kama alivyotabiri mgombea uraisi wenu,haya zungusha zungusha funga ngumi Pipo Ziiiiii
 
  • Thanks
Reactions: nao
Teh Teh UKAWA hoi..chalii kifo cha wembe...

Hahahaa, ila bado wanajipa moyo,ngoja tusubiri matokeo.....
Walidanganywa na mafuriko kumbe tulienda kushangaa chopa na comedy za babu kwa wajukuu wake
Kura ya mtu ni siri ya mtu....
 
Ufinyu wa akili unamfanya mtu ashindwe kulinganisha hali ya kisiasa na upatikanaji wa fursa za maendeleo.siasa inaweza ikakufanya ule bata au uendelee kula nyasi.maendeleo hupatikana pakiwepo watu ,siasa safi,na uongozi bora.

Acha porojo mzee fanya kazi acha visingizio tz ni nchi ambayo hata masikini anaweza akakomaa na akawa tajiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom