Sio kosa lako kushidwa kujibizana nami kwa sababu unashindwa kusoma hoja unanitazama mimi. Hujibizani na mimi bali unauliza ama kujibu hoja..Wewe uliyefungwa na chama ndio unashindwa kutazama nje ya sanduku la Uchama ulofungiwa. Huyo huyo Lowassa angekwenda ACT usingeyasema haya ilihali mimi ningewatupia wao makombora kama kawa.Nguruvi3, huyo ndiye Mkandara, wakati mwingine nashindwa hata kujibizana naye maanake unajikuta uko katika level yake. Nakiri ninatofautiana na wengi tu humu ndani kuhusu ujio wa Lowassa Chadema na kuteuliwa kuwa mgombea chini ya UKAWA lakini mimi nasema na narudia, ikiwa Lowassa atatuwezesha kuliondoa hili zimwi madarakani, so be it. Kama Lowassa angeteuliwa kupeperusha bendera ya CCM, nisingemuunga mkono, nisingemtetea kwa sababu vita yangu ni dhidi ya mfumo unaotuzalishia na kuwalea ninaowaita maadui wa taifa hili, period. Wakiachana na CCM kama alivyofanya Dr. Slaa miaka mitatu baada ya kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi, sina sababu tena ya kutowapokea.
Kwa hisani ya Africa Confidential | The world's leading fortnightly bulletin on AThe country had only one credible party of opposition. Now it has none. The National Convention for Constitution and Reform (NCCR)-Maguezi fell apart in confusion last week. Its intellectual wing, led by Secretary General Mabere Marando and Dr. Masumbuko Lamwai, a leading lawyer, had decided to get rid of their erratic, populist Chairman, Augustine Mrema, before he could dig himself in as the party's presidential candidate for the poll due in the year 2000.
The party's Central Committee supports Marando, the National Executive backs Mrema. At a meeting on 11 May in Tanga, Mrema read a 47-page speech accusing his critic Marando of consorting with the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM), and of breaking the party line.
Marando and his backers quickly asked the High Court to ban Mrema from access to party offices and funds. Mrema's people, meanwhile, occupied the offices and kept their opponents out. The National Executive, convened by Mrema, dismissed most of the Central Committee; 17 of the party's 20 regional branches and most NCCR members of parliament sent messages supporting Mrema, who was greeted by vast crowds on his return to the capital. Marando and Lamwai seemed to have lost the game. Mrema lost only his credibility as a national leader.
Three other opposition parties are in trouble. The Vice-Chairman of the United Democratic Party, Christopher Ngaiza, has resigned, calling the Chairman, John Cheyo, a dictator. Seven members of the Central Council of the mainly Zanzibari Civic United Front have been expelled for policy differences. The conservative Chadema party, founded by ailing veteran Edwin Mtei, has put up a fiery xenophobic evangelist, the Reverend Christopher Mtikila, as its candidate in a by-election. The ruling CCM, itself beset by disagreements (particularly over the unresolved issue of Zanzibar), is delighted.
Tatizo la Watanzania wengi ni kutokujua wanahitaji nini? Ni tamaa ya fisi kufikiri kwamba CCM wakitoka madarakani basi kutakuwa na neema. Hiyo neema itatoka wapi wakati Mafisi kama Lowasa na sasa Mbowe wamekuwa wanafaidika na pesa za walipa kodi kwa dhuluma.
Lowasa ni mwizi na alikuwa anaitwa hivyo hadi alipoingizwa kwenye gunia na kuuzwa kwa CHDEMA ati sasa ni msafi, huo usafi ni kwa kuwa yuko CHADEMA tu? Tulipoanza hii forum tulikuwa tunasema 'we dare talk openly' now we dare to talk hiding in the darkness. Why kwa sababu hatuwezi kuweka nyuso zetu kwa kuwashabikia majambazi ambayo yanapora na hata aibu hayana. Moto utakaowaka baada ya uchaguzi hakuna anayeweza kuuzima na laiti kama wenye fedha wanafikiri wanaweza kuwanunua Watanzania wote wafikirie tena.
Mwizi kwake mahakamani na jela. Sasa huyu mwizi miaka yote yuko huru ni mwizi wa aina gani?
Ingekuwa vema kama ungewaeleza nini hasa wanapaswa badala ya kuwaacha njia pandaWacha1;Tatizo la Watanzania wengi ni kutokujua wanahitaji nini?
Kuna ushahidi wowote kuwa wakibaki neema itakuwepo baada ya miaka 50?Ni tamaa ya fisi kufikiri kwamba CCM wakitoka madarakani basi kutakuwa na neema.
Huyu Lowassa si alikuwa CCM hata kupewa fomu zaa kugombea? Je, CCM walifanya nini kulinda kodi za dhuluma?Hiyo neema itatoka wapi wakati Mafisi kama Lowasa na sasa Mbowe wamekuwa wanafaidika na pesa za walipa kodi kwa dhuluma.
[/QUOTE] Mtu anabaki kutokuwa na hatia hadi itakapothibitishwa na mahakama. CCM wana vyombo vya dola, serikali na mhakama zipo.Lowasa ni mwizi na alikuwa anaitwa hivyo hadi alipoingizwa kwenye gunia na kuuzwa kwa CHADEMA ati sasa ni msafi, huo usafi ni kwa kuwa yuko CHADEMA tu? Tulipoanza hii forum tulikuwa tunasema 'we dare talk openly' now we dare to talk hiding in the darkness. Why kwa sababu hatuwezi kuweka nyuso zetu kwa kuwashabikia majambazi ambayo yanapora na hata aibu hayana. Moto utakaowaka baada ya uchaguzi hakuna anayeweza kuuzima na laiti kama wenye fedha wanafikiri wanaweza kuwanunua Watanzania wote wafikirie tena.
Ni kweli unayosema, kwa kuongezea tu, kuwa kiongozi wa serikali bungeni hakuna maana ya kuwa serikali. Hivyo, kulikuwa na serikali na yeye kuwa kiongozi katika tawi la serikali. Hii serikali ilikuwa wapi hayo yakitokea? Huwezi kuwa na tawi kubwa kuliko shina, sasa shina lilikuwa wapi wakati tawi likiuza mashirika n.k?Wacha1;Wacha kukurupuka, tunafahamu mbinu anazotumia, hakuna mtoto mdogo humu, yeye anasema alionewa, alionewa vipi wakati alikuwa waziri mkuu, kuna cheo kikubwa kama hicho, yeye ndiye alikuwa kiongozi wa serikali Bungeni aache kulia nyau.
Sokoine alicha uwaziri mkuu katika mazingira gani?
Mbona marehemu Moringe aliacha uwaziri mkuu na baadaye kurudi, tuache siasa za maji taka na ukweli uwekwe wazi.
Hapa ndipo swali linakuja, ilikuwaje ameachwa tuu muda wote huo? Yeye kama 'mwizi' anajichotea, je wanaoibiwa wlaifanya nini kukabiliana na 'mwizi?Alipojichotea shares za Voda na kuikabidhi TTCL na kuuza shirika la reli alikiuka kiapo alichoapa kwamba atatetea katiba ya hii nchi lakini alipokula asali na kujitajirisha hakukumbuka, iwaje leo aseme yeye ndiye msafi kwa nini hakupigania hiyo haki akiwa waziri mkuu kwa position ambayo ingemuwezesha kuwa msafi kama unavyotaka tuamini.
Ehee tujiulize, kwanini wanapeta tuu bila hatua kuchukuliwa? Tatizo ni mwizi au tatizo ni sisi tunaoibiwa?Wacha hizi peremende unazolishwa kuwahadaa wapiga kura. Lowasa ni mwizi na wezi kama yeye siku zote wanapeta lakini wezi wa kuku ndio wapo jela. You must know better than that!
Kuna meremeta, Tangold, Escrow, Dowans , wanyama KIA, EPA n.k. haya yalitokea kwa ushiriki wa majambazi gani? Kwa mujibu wako Richmond ni Lowassa, hayo mengine ni ya akina nani?Wacha1;14400660]Jambazi Sugu aka EL aka Richmonduli
. Mbona alipochaguliwa kuwa waziri mkuu watu hawakupinga ukiwemo wewe? Vipi leo ndio aonekane mbaya? Si huyu alichukua fomu ya Urais ! inakuwaje madudu aliyokuwa nayo yanaonekana leoalishindwa kujitetea tangu miaka ya 1990's lilipoulizwa utajiri wake amabo ulikuwa ni mkubwa kupindukia
Tunachotaka ndicho hicho unachosema ‘proven' sasa tuambie nani ame prove hilo?The guy is a proven thief atawahadaa kina Mbowe sio Watanzania wote, hivi nyinyi mnamwamini huyu Mbowe wa Bilicanas, biashara yake ni ya malaya sasa mambo ya siasa atayaweza wapi?
JK aliomba majina ya wauza dawa, akapewa! anaondoka nayo !Wacha waendelee kuganga njaa lakini baada ya huu uchaguzi watakiona cha ntema kuni wezi wote wa kisasa tutawashughulikia kwa mujibu wa sheria zetu. Stay tuned you have few days kutanua
Aliyetoa second chance ni CCM sasa unalalamika kwa aliyepewa au aliyetoa? Hapo nyuma nimekueleza kazi ya mwizi ni kuiba, anayeibiwa ndiye mlalamikaji. Unaposema second chance, wakati hapo juu umesema ni mwizi tangu mwaka 1990 una maana CCM ina kazi ya kutoa second chance kwa majambazi!Jambazi sugu lilishindwa kujitetea na kupewa second chance bado linafikiri litaweza kuongoza werevu thubutu
Juma Mwapachu said:Tanzanians love Lowassa because they are satisfied of his leadership experience and capabilities. They adore the sanctity of his marriage life. There has been no evidence to justify any of the accusations levelled against him.
He did not resign as Prime Minister early in 2008 on corruption charges. Re-read the Mwakyembe report. The opposition has already shown regret for its list of shame Mr Makamba. They put Lowassa's name in the list in 2007 as part of politics against CCM.
On Sunday 25th October Tanzanians will make history by electing Lowassa their new President.
Nachukua nafasi hii kuwafahamisha Watanzania wenzangu wenye nia njema na taifa hili kwamba baada ya kufungiwa (au kupigwa ban) kwa muda wa siku kumi toka tarehe 11/10/2015, leo hii ndiyo nimefunguliwa na kuweza kutoka KEKO ya JF. Pongezi nyingi nazitoa kwa wenzangu, maana naona libeneke limezidi kuendelea pamoja na wengine wetu kushikishwa adabu na uongozi wa JF. Silalamiki ile nashangaa.
Nashangaa wengine kumvalia njuga Lowassa ambaye hajawahi kukamatwa na kufunguliwa mashataka kwa kosa lolote lile zaidi ya shutuma zilizopelekea wengi wetu kuamini yaliyodaiwa na wapinzani wake ndani ya CCM. Sisi ambao tumebahatika kujua jinsi CCM isipokutaka inavyoweza kukuchafua hatushangazwi na kuzidi kutumiwa kwa watu kumchafua Lowassa hata baada ya kuachana na genge alilokuwa sehemu yake awali.
Nilimsikiliza kwa makini sana Mzee Ngombale Mwiru akitoa maelezo kwa nini uongozi wa CCM ulimshauri Lowassa kujiuzulu ili kuinusuru serikali ya CCM ikiongozwa na Jakaya Mrisho Kiwete. Jana nimesoma maelezo ya Balozi Juma Mwapachu kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Lowassa na jinsi vijana wadogo wasio na adabu wanavyotumiwa na CCM kumkashifu na kumtukana Lowassa matusi mazito yasiyo na staha.
Nikakumbuka;
- Jinsi CCM ilivyomchafua Balozi Salim Ahmed Salim hadi akaachana kabisa na mambo ya siasa.
- Jinsi CCM ilivyowatumia vijana kumkashifu Jaji Joseph Sinde Warioba hadi akasalimu amri na kuweka silaha chini.
Ni Lowassa pekee, ameweza kuupa mgongo CCM na kitendo chake hicho cha kishujaa kuwapa na wengine pia ujasiri wa kuiambia CCM bye bye. Naona wako humu wanaotumia maandishi makubwa makubwa wakiamini kwa kuandika hivyo wanamchafua Lowassa; mimi nawaambia Lowassa wa CCM si Lowassa wa UKAWA, Sumaye wa CCM si Sumaye wa UKAWA, Kingunge wa CCM si Kingunge wa UKAWA na Juma Mwapachu wa CCM si Juma Mwapachu wa UKAWA!
Naomba kunukuu sehemu ya majibu ya Juma Mwapachu kwa January Makamba, nanukuu;
Tuendelee na mjadala...
Kakalende kwa muda nilokaa pembeni, nimefuatilia sana mijadala bila mimi kushiriki na nimepata muda tosha wa kupima hoja mbali mbali na kusema kweli nimezisoma zote bila kujali nakubaliana nayo ama hapana. Nikatamani sana hata zingine kuzijibu lakini ndiyo hivyo tena nikafungwa kufuli, sababu sana ya kufungwa kufuli nimeshindwa kuibaini hadi dakika hii. Katika muda huo nimeshuhudia maneno ya kuudhi kweli kweli humu ndani ya JF ambayo mimi nina hakika siwezi kuyatamka achilia mbali kuyaandika...lakini hayo tuyaache.Karibu tena kijiweni Ndugu Mag3 lakini weka akiba ya maneno tafadhali, tungependa kuendelea pamoja baada ya tar. 25
Nilichogundua kampeni za mwaka huu ni kuwa tumehamishwa kutoka agenda ya msingi kwa mustakabali wa Taifa na tumeelekezwa kwenye personalities. Upande mmoja unashambulia na wengine wanajaribu kuzuia mashambulizi, sera hazijapewa nafasi ya kutosha.
Ukiacha sisa chafu tunazoshuhudia majukwaani, nashindwa kuona tofauti kisera baina ya pande mbili ccm na ukawa. Kwa maoni yangu, kama kutatokea mabadiliko basi ni ya sura za watawala na si vinginevyo!
Natofautiana nawe sana kuhusu hili na kwa mifanoYa 'wema' imenistua...! Lakini nadhani mawazo yangu kuwa bado tuko kwenye mfumo wa chama kimoja, na hii ya mambo ya vyama vingine ilikuwa nighiriba kwa wale waliotutaka tufuate mfumo wao (WEST) wa utawala (demokrasia), yawezekana yanaanza kubata mizizi ya kusimamia. Kwa sasa inaonekana threat iliyokuwepo kipindi USSR inaanguka sasa haipo tena, East imeimarika...West hawatubabaishi tena....Tunaamua kuwaonyesha kuwa tulikuwa tunawaghiribu na kweli wameghiribiwa. Yaani hakuna nadhani aliyetegemea chama kikubwa cha upinzani kinaweza kuamua kujiangamiza kwa staili hi...ni ghiriba tu kwa West!
Mkuu za siku njema kabisa. Karibu tujumuike, hali ndiyo hiyo unayoonaKing Suleiman, post: 19857542, member: 33981"]Kinachowaponza toka enzi za Slaa ni kiburi cha viongozi kuamini wanapendwa na kukubalika hata wanapopotoka.
Amidst so many issues of national interest bado wanafanya mambo ya ajabu kama hayo. Real!Hili la leo la wasanii nilipolisikia na kulisoma nikabaki kinywa wazi kwamba kweli sasa kuna kuishiwa, sidhani kama wapinzani walipaswa kujihusiha na kuwakaribisha kwa mbwembwe kubwa wasanii ambao kimsingi wengine hawapo sawa na jamji na kisha kujifanya wana collide nao, ni huzuni sana, sijui strategist wao wanafikiria nini sijui wanawaza kwa vision ipi, ni aibu sana, na kama emergency measures hazitachukuliwa their going to collapse slowly but sure.
Mkuu Wainglish wanasema 'you can't teach an old dog new tricks'Badilisheni strategies zenu maana zama pia zimebadilika sana, badilisheni uongozi ambao bado unafikiria kizamani, anzeni kuwa na mtazamo wa kuyakabili mabadiliko ya mzimgingira na si vinginevyo, kama viongozi waliwafaa huko nyuma kwa sasa walihitajika wengine basi heshimuni sayansi ya siasa na badiliko