CHADEMA/UKAWA: Uwekezaji usiotabirika

Nguruvi3, huyo ndiye Mkandara, wakati mwingine nashindwa hata kujibizana naye maanake unajikuta uko katika level yake. Nakiri ninatofautiana na wengi tu humu ndani kuhusu ujio wa Lowassa Chadema na kuteuliwa kuwa mgombea chini ya UKAWA lakini mimi nasema na narudia, ikiwa Lowassa atatuwezesha kuliondoa hili zimwi madarakani, so be it. Kama Lowassa angeteuliwa kupeperusha bendera ya CCM, nisingemuunga mkono, nisingemtetea kwa sababu vita yangu ni dhidi ya mfumo unaotuzalishia na kuwalea ninaowaita maadui wa taifa hili, period. Wakiachana na CCM kama alivyofanya Dr. Slaa miaka mitatu baada ya kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi, sina sababu tena ya kutowapokea.
Sio kosa lako kushidwa kujibizana nami kwa sababu unashindwa kusoma hoja unanitazama mimi. Hujibizani na mimi bali unauliza ama kujibu hoja..Wewe uliyefungwa na chama ndio unashindwa kutazama nje ya sanduku la Uchama ulofungiwa. Huyo huyo Lowassa angekwenda ACT usingeyasema haya ilihali mimi ningewatupia wao makombora kama kawa.
 
Historia ni mwalimu mzuri sana, wakati tunajiandaa kufanya postmortem wiki ijayo, nimeona niweke hii ya mwaka 1997 kipindi amabacho kulikuwa na fursa ya kweli kubadilisha watawala hawa lakini ikapotea.

The country had only one credible party of opposition. Now it has none. The National Convention for Constitution and Reform (NCCR)-Maguezi fell apart in confusion last week. Its intellectual wing, led by Secretary General Mabere Marando and Dr. Masumbuko Lamwai, a leading lawyer, had decided to get rid of their erratic, populist Chairman, Augustine Mrema, before he could dig himself in as the party's presidential candidate for the poll due in the year 2000.

The party's Central Committee supports Marando, the National Executive backs Mrema. At a meeting on 11 May in Tanga, Mrema read a 47-page speech accusing his critic Marando of consorting with the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM), and of breaking the party line.

Marando and his backers quickly asked the High Court to ban Mrema from access to party offices and funds. Mrema's people, meanwhile, occupied the offices and kept their opponents out. The National Executive, convened by Mrema, dismissed most of the Central Committee; 17 of the party's 20 regional branches and most NCCR members of parliament sent messages supporting Mrema, who was greeted by vast crowds on his return to the capital. Marando and Lamwai seemed to have lost the game. Mrema lost only his credibility as a national leader.

Three other opposition parties are in trouble. The Vice-Chairman of the United Democratic Party, Christopher Ngaiza, has resigned, calling the Chairman, John Cheyo, a dictator. Seven members of the Central Council of the mainly Zanzibari Civic United Front have been expelled for policy differences. The conservative Chadema party, founded by ailing veteran Edwin Mtei, has put up a fiery xenophobic evangelist, the Reverend Christopher Mtikila, as its candidate in a by-election. The ruling CCM, itself beset by disagreements (particularly over the unresolved issue of Zanzibar), is delighted.
Kwa hisani ya Africa Confidential | The world's leading fortnightly bulletin on A

Wengine sie ni TOMASO, nitarudi baada ya matokeo tuendelee kumkoma nyani giladi
 
Tatizo la Watanzania wengi ni kutokujua wanahitaji nini? Ni tamaa ya fisi kufikiri kwamba CCM wakitoka madarakani basi kutakuwa na neema. Hiyo neema itatoka wapi wakati Mafisi kama Lowasa na sasa Mbowe wamekuwa wanafaidika na pesa za walipa kodi kwa dhuluma.

Lowasa ni mwizi na alikuwa anaitwa hivyo hadi alipoingizwa kwenye gunia na kuuzwa kwa CHADEMA ati sasa ni msafi, huo usafi ni kwa kuwa yuko CHADEMA tu? Tulipoanza hii forum tulikuwa tunasema 'we dare talk openly' now we dare to talk hiding in the darkness. Why kwa sababu hatuwezi kuweka nyuso zetu kwa kuwashabikia majambazi ambayo yanapora na hata aibu hayana. Moto utakaowaka baada ya uchaguzi hakuna anayeweza kuuzima na laiti kama wenye fedha wanafikiri wanaweza kuwanunua Watanzania wote wafikirie tena.
 
Tatizo la Watanzania wengi ni kutokujua wanahitaji nini? Ni tamaa ya fisi kufikiri kwamba CCM wakitoka madarakani basi kutakuwa na neema. Hiyo neema itatoka wapi wakati Mafisi kama Lowasa na sasa Mbowe wamekuwa wanafaidika na pesa za walipa kodi kwa dhuluma.

Lowasa ni mwizi na alikuwa anaitwa hivyo hadi alipoingizwa kwenye gunia na kuuzwa kwa CHDEMA ati sasa ni msafi, huo usafi ni kwa kuwa yuko CHADEMA tu? Tulipoanza hii forum tulikuwa tunasema 'we dare talk openly' now we dare to talk hiding in the darkness. Why kwa sababu hatuwezi kuweka nyuso zetu kwa kuwashabikia majambazi ambayo yanapora na hata aibu hayana. Moto utakaowaka baada ya uchaguzi hakuna anayeweza kuuzima na laiti kama wenye fedha wanafikiri wanaweza kuwanunua Watanzania wote wafikirie tena.

Mwizi kwake mahakamani na jela. Sasa huyu mwizi miaka yote yuko huru ni mwizi wa aina gani?
 
Mwizi kwake mahakamani na jela. Sasa huyu mwizi miaka yote yuko huru ni mwizi wa aina gani?

Wacha kukurupuka, tunafahamu mbinu anazotumia, hakuna mtoto mdogo humu, yeye anasema alionewa, alionewa vipi wakati alikuwa waziri mkuu, kuna cheo kikubwa kama hicho, yeye ndiye alikuwa kiongozi wa serikali Bungeni aache kulia nyau. Mbona marehemu Moringe aliacha uwaziri mkuu na baadaye kurudi, tuache siasa za maji taka na ukweli uwekwe wazi. Alipojichotea shares za Voda na kuikabidhi TTCL na kuuza shirika la reli alikiuka kiapo alichoapa kwamba atatetea katiba ya hii nchi lakini alipokula asali na kujitajirisha hakukumbuka, iwaje leo aseme yeye ndiye msafi kwa nini hakupigania hiyo haki akiwa waziri mkuu kwa position ambayo ingemuwezesha kuwa msafi kama unavyotaka tuamini. Wacha hizi peremende unazolishwa kuwahadaa wapiga kura. Lowasa ni mwizi na wezi kama yeye siku zote wanapeta lakini wezi wa kuku ndio wapo jela. You must know better than that!
 
Mkuu , unaweza kuchangia bila hasira na ukaeleweka pia. Nakusihi upunguze munkari ili watu wapate kitu

Kuna tuhuma na ukweli, hatujui uinachoongelea ni kipi kati ya hivyo.

Turejee katika mada na kupitia hoja zako kwa weledi tu.
Wacha1;Tatizo la Watanzania wengi ni kutokujua wanahitaji nini?
Ingekuwa vema kama ungewaeleza nini hasa wanapaswa badala ya kuwaacha njia panda
Ni tamaa ya fisi kufikiri kwamba CCM wakitoka madarakani basi kutakuwa na neema.
Kuna ushahidi wowote kuwa wakibaki neema itakuwepo baada ya miaka 50?
Hiyo neema itatoka wapi wakati Mafisi kama Lowasa na sasa Mbowe wamekuwa wanafaidika na pesa za walipa kodi kwa dhuluma.
Huyu Lowassa si alikuwa CCM hata kupewa fomu zaa kugombea? Je, CCM walifanya nini kulinda kodi za dhuluma?

Kwanini mafisi wameachwa hadi kufikia hatua hii?

Nani alipaswa kuwajibisha mafisi na kwanini haikutokea hiyo?


Lowasa ni mwizi na alikuwa anaitwa hivyo hadi alipoingizwa kwenye gunia na kuuzwa kwa CHADEMA ati sasa ni msafi, huo usafi ni kwa kuwa yuko CHADEMA tu? Tulipoanza hii forum tulikuwa tunasema 'we dare talk openly' now we dare to talk hiding in the darkness. Why kwa sababu hatuwezi kuweka nyuso zetu kwa kuwashabikia majambazi ambayo yanapora na hata aibu hayana. Moto utakaowaka baada ya uchaguzi hakuna anayeweza kuuzima na laiti kama wenye fedha wanafikiri wanaweza kuwanunua Watanzania wote wafikirie tena.
[/QUOTE] Mtu anabaki kutokuwa na hatia hadi itakapothibitishwa na mahakama. CCM wana vyombo vya dola, serikali na mhakama zipo.

Imekuwaje wamwache huyu mwizi hadi anafikia hatua ya kugombea Urais akiwa ndani ya CCM na sasa upinzani?

Je, nani wa kulaumiwa, mwananchi wa kawaida anayefungwa kwa kuiba kuku au walioshindwa kumkamata mwizi?
 
Wacha1;Wacha kukurupuka, tunafahamu mbinu anazotumia, hakuna mtoto mdogo humu, yeye anasema alionewa, alionewa vipi wakati alikuwa waziri mkuu, kuna cheo kikubwa kama hicho, yeye ndiye alikuwa kiongozi wa serikali Bungeni aache kulia nyau.
Ni kweli unayosema, kwa kuongezea tu, kuwa kiongozi wa serikali bungeni hakuna maana ya kuwa serikali. Hivyo, kulikuwa na serikali na yeye kuwa kiongozi katika tawi la serikali. Hii serikali ilikuwa wapi hayo yakitokea? Huwezi kuwa na tawi kubwa kuliko shina, sasa shina lilikuwa wapi wakati tawi likiuza mashirika n.k?



Mbona marehemu Moringe aliacha uwaziri mkuu na baadaye kurudi, tuache siasa za maji taka na ukweli uwekwe wazi.
Sokoine alicha uwaziri mkuu katika mazingira gani?
Alipojichotea shares za Voda na kuikabidhi TTCL na kuuza shirika la reli alikiuka kiapo alichoapa kwamba atatetea katiba ya hii nchi lakini alipokula asali na kujitajirisha hakukumbuka, iwaje leo aseme yeye ndiye msafi kwa nini hakupigania hiyo haki akiwa waziri mkuu kwa position ambayo ingemuwezesha kuwa msafi kama unavyotaka tuamini.
Hapa ndipo swali linakuja, ilikuwaje ameachwa tuu muda wote huo? Yeye kama 'mwizi' anajichotea, je wanaoibiwa wlaifanya nini kukabiliana na 'mwizi?
Kama walimwacha ni kwanini, na kwanini tuamini kuwa upo wakati watamkamata mwizi na haikuwa hivyo siku za nyuma

Hoja kubwa hapa si wizi, bali nani amefanya nini kukabiliana na wizi

Hata kama itatokea jambazi likapewa nchi, tatizo si jambazi maana jambazi linakusudia ujamabazi. Tatizo la kujiuliza, je tuna system inayoweza kukabiliana na ujambazi?

Mwizi anapoingia kwako tatizo si yeye maana yeye kadhamiria kuiba. Wewe baba mwenye nyumba umefanya nini kukabiliana na mwizi huyo.
[/QUOTE
Wacha hizi peremende unazolishwa kuwahadaa wapiga kura. Lowasa ni mwizi na wezi kama yeye siku zote wanapeta lakini wezi wa kuku ndio wapo jela. You must know better than that!
Ehee tujiulize, kwanini wanapeta tuu bila hatua kuchukuliwa? Tatizo ni mwizi au tatizo ni sisi tunaoibiwa?

Hivi hapa huoni kuna tatizo zaidi ya mwizi. Unapomlaumu mwizi unakosea, jiulize unaibiwaje? umechukua hatua gani? Na kama hujachukua hatua tatizo linakuwaje la mwizi ambaye dhamira yake ni wizi?
 
Jambazi Sugu aka EL aka Richmonduli alishindwa kujitetea tangu miaka ya 1990's lilipoulizwa utajiri wake amabo ulikuwa ni mkubwa kupindukia. The guy is a proven thief atawahadaa kina Mbowe sio Watanzania wote, hivi nyinyi mnamwamini huyu Mbowe wa Bilicanas, biashara yake ni ya malaya sasa mambo ya siasa atayaweza wapi? Wacha waendelee kuganga njaa lakini baada ya huu uchaguzi watakiona cha ntema kuni wezi wote wa kisasa tutawashughulikia kwa mujibu wa sheria zetu. Stay tuned you have few days kutanua.

Jambazi sugu lilishindwa kujitetea na kupewa second chance bado linafikiri litaweza kuongoza werevu thubutu!
 
Mkuu tunarudi pale pale
Wacha1;14400660]Jambazi Sugu aka EL aka Richmonduli
Kuna meremeta, Tangold, Escrow, Dowans , wanyama KIA, EPA n.k. haya yalitokea kwa ushiriki wa majambazi gani? Kwa mujibu wako Richmond ni Lowassa, hayo mengine ni ya akina nani?
alishindwa kujitetea tangu miaka ya 1990's lilipoulizwa utajiri wake amabo ulikuwa ni mkubwa kupindukia
. Mbona alipochaguliwa kuwa waziri mkuu watu hawakupinga ukiwemo wewe? Vipi leo ndio aonekane mbaya? Si huyu alichukua fomu ya Urais ! inakuwaje madudu aliyokuwa nayo yanaonekana leo
The guy is a proven thief atawahadaa kina Mbowe sio Watanzania wote, hivi nyinyi mnamwamini huyu Mbowe wa Bilicanas, biashara yake ni ya malaya sasa mambo ya siasa atayaweza wapi?
Tunachotaka ndicho hicho unachosema ‘proven' sasa tuambie nani ame prove hilo?

Serikali ni ya CCM ikiwa na vyombo vya dola. Mahakama zipo, tuonyeshe wapi amekuwa proved ni thief.

Hapa tunachotaka kusema ni kuwa CCM hawakuweza ku prove, sasa wewe unasema ni thief, tufungue macho

Hiyo biashara ya Mbowe ni halali au haramu , mkuu! Maana twende na facts



Wacha waendelee kuganga njaa lakini baada ya huu uchaguzi watakiona cha ntema kuni wezi wote wa kisasa tutawashughulikia kwa mujibu wa sheria zetu. Stay tuned you have few days kutanua
JK aliomba majina ya wauza dawa, akapewa! anaondoka nayo !

Wezi wapi maana lazima ataitwa aliyeibiwa! si unakumbuka mzee Mkapa alikwenda Kisutu kutoa ushahidi?

Miaka 10 CCM hawakuweza, leo wamepata wapi mtima wa kushughulikia wezi?


Jambazi sugu lilishindwa kujitetea na kupewa second chance bado linafikiri litaweza kuongoza werevu thubutu
Aliyetoa second chance ni CCM sasa unalalamika kwa aliyepewa au aliyetoa? Hapo nyuma nimekueleza kazi ya mwizi ni kuiba, anayeibiwa ndiye mlalamikaji. Unaposema second chance, wakati hapo juu umesema ni mwizi tangu mwaka 1990 una maana CCM ina kazi ya kutoa second chance kwa majambazi!

Mkuu, aliyemlea Lowassa ni CCM. Walikaa kimya alipokuwa anajijenga. Leo amekuwa tishio CCM wanaogopa vivuli vya. Tatizo si Lowassa, tatizo ni je, amefikaje hapo na kwa msaada wa nani? Kama ni CCM, hao ndio uhangaike nao si wananchi.
 
Nachukua nafasi hii kuwafahamisha Watanzania wenzangu wenye nia njema na taifa hili kwamba baada ya kufungiwa (au kupigwa ban) kwa muda wa siku kumi toka tarehe 11/10/2015, leo hii ndiyo nimefunguliwa na kuweza kutoka KEKO ya JF. Pongezi nyingi nazitoa kwa wenzangu, maana naona libeneke limezidi kuendelea pamoja na wengine wetu kushikishwa adabu na uongozi wa JF. Silalamiki ile nashangaa.

Nashangaa wengine kumvalia njuga Lowassa ambaye hajawahi kukamatwa na kufunguliwa mashataka kwa kosa lolote lile zaidi ya shutuma zilizopelekea wengi wetu kuamini yaliyodaiwa na wapinzani wake ndani ya CCM. Sisi ambao tumebahatika kujua jinsi CCM isipokutaka inavyoweza kukuchafua hatushangazwi na kuzidi kutumiwa kwa watu kumchafua Lowassa hata baada ya kuachana na genge alilokuwa sehemu yake awali.

Nilimsikiliza kwa makini sana Mzee Ngombale Mwiru akitoa maelezo kwa nini uongozi wa CCM ulimshauri Lowassa kujiuzulu ili kuinusuru serikali ya CCM ikiongozwa na Jakaya Mrisho Kiwete. Jana nimesoma maelezo ya Balozi Juma Mwapachu kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Lowassa na jinsi vijana wadogo wasio na adabu wanavyotumiwa na CCM kumkashifu na kumtukana Lowassa matusi mazito yasiyo na staha.

Nikakumbuka;

  • Jinsi CCM ilivyomchafua Balozi Salim Ahmed Salim hadi akaachana kabisa na mambo ya siasa.
  • Jinsi CCM ilivyowatumia vijana kumkashifu Jaji Joseph Sinde Warioba hadi akasalimu amri na kuweka silaha chini.

Ni Lowassa pekee, ameweza kuupa mgongo CCM na kitendo chake hicho cha kishujaa kuwapa na wengine pia ujasiri wa kuiambia CCM bye bye. Naona wako humu wanaotumia maandishi makubwa makubwa wakiamini kwa kuandika hivyo wanamchafua Lowassa; mimi nawaambia Lowassa wa CCM si Lowassa wa UKAWA, Sumaye wa CCM si Sumaye wa UKAWA, Kingunge wa CCM si Kingunge wa UKAWA na Juma Mwapachu wa CCM si Juma Mwapachu wa UKAWA!

Naomba kunukuu sehemu ya majibu ya Juma Mwapachu kwa January Makamba, nanukuu;
Juma Mwapachu said:
Tanzanians love Lowassa because they are satisfied of his leadership experience and capabilities. They adore the sanctity of his marriage life. There has been no evidence to justify any of the accusations levelled against him.

He did not resign as Prime Minister early in 2008 on corruption charges. Re-read the Mwakyembe report. The opposition has already shown regret for its list of shame Mr Makamba. They put Lowassa's name in the list in 2007 as part of politics against CCM.

On Sunday 25th October Tanzanians will make history by electing Lowassa their new President.

Tuendelee na mjadala...
 
Nachukua nafasi hii kuwafahamisha Watanzania wenzangu wenye nia njema na taifa hili kwamba baada ya kufungiwa (au kupigwa ban) kwa muda wa siku kumi toka tarehe 11/10/2015, leo hii ndiyo nimefunguliwa na kuweza kutoka KEKO ya JF. Pongezi nyingi nazitoa kwa wenzangu, maana naona libeneke limezidi kuendelea pamoja na wengine wetu kushikishwa adabu na uongozi wa JF. Silalamiki ile nashangaa.

Nashangaa wengine kumvalia njuga Lowassa ambaye hajawahi kukamatwa na kufunguliwa mashataka kwa kosa lolote lile zaidi ya shutuma zilizopelekea wengi wetu kuamini yaliyodaiwa na wapinzani wake ndani ya CCM. Sisi ambao tumebahatika kujua jinsi CCM isipokutaka inavyoweza kukuchafua hatushangazwi na kuzidi kutumiwa kwa watu kumchafua Lowassa hata baada ya kuachana na genge alilokuwa sehemu yake awali.

Nilimsikiliza kwa makini sana Mzee Ngombale Mwiru akitoa maelezo kwa nini uongozi wa CCM ulimshauri Lowassa kujiuzulu ili kuinusuru serikali ya CCM ikiongozwa na Jakaya Mrisho Kiwete. Jana nimesoma maelezo ya Balozi Juma Mwapachu kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Lowassa na jinsi vijana wadogo wasio na adabu wanavyotumiwa na CCM kumkashifu na kumtukana Lowassa matusi mazito yasiyo na staha.

Nikakumbuka;

  • Jinsi CCM ilivyomchafua Balozi Salim Ahmed Salim hadi akaachana kabisa na mambo ya siasa.
  • Jinsi CCM ilivyowatumia vijana kumkashifu Jaji Joseph Sinde Warioba hadi akasalimu amri na kuweka silaha chini.

Ni Lowassa pekee, ameweza kuupa mgongo CCM na kitendo chake hicho cha kishujaa kuwapa na wengine pia ujasiri wa kuiambia CCM bye bye. Naona wako humu wanaotumia maandishi makubwa makubwa wakiamini kwa kuandika hivyo wanamchafua Lowassa; mimi nawaambia Lowassa wa CCM si Lowassa wa UKAWA, Sumaye wa CCM si Sumaye wa UKAWA, Kingunge wa CCM si Kingunge wa UKAWA na Juma Mwapachu wa CCM si Juma Mwapachu wa UKAWA!

Naomba kunukuu sehemu ya majibu ya Juma Mwapachu kwa January Makamba, nanukuu;


Tuendelee na mjadala...

Karibu tena kijiweni Ndugu Mag3 lakini weka akiba ya maneno tafadhali, tungependa kuendelea pamoja baada ya tar. 25

Nilichogundua kampeni za mwaka huu ni kuwa tumehamishwa kutoka agenda ya msingi kwa mustakabali wa Taifa na tumeelekezwa kwenye personalities. Upande mmoja unashambulia na wengine wanajaribu kuzuia mashambulizi, sera hazijapewa nafasi ya kutosha.

Ukiacha sisa chafu tunazoshuhudia majukwaani, nashindwa kuona tofauti kisera baina ya pande mbili ccm na ukawa. Kwa maoni yangu, kama kutatokea mabadiliko basi ni ya sura za watawala na si vinginevyo!
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena kijiweni Ndugu Mag3 lakini weka akiba ya maneno tafadhali, tungependa kuendelea pamoja baada ya tar. 25

Nilichogundua kampeni za mwaka huu ni kuwa tumehamishwa kutoka agenda ya msingi kwa mustakabali wa Taifa na tumeelekezwa kwenye personalities. Upande mmoja unashambulia na wengine wanajaribu kuzuia mashambulizi, sera hazijapewa nafasi ya kutosha.

Ukiacha sisa chafu tunazoshuhudia majukwaani, nashindwa kuona tofauti kisera baina ya pande mbili ccm na ukawa. Kwa maoni yangu, kama kutatokea mabadiliko basi ni ya sura za watawala na si vinginevyo!
Kakalende kwa muda nilokaa pembeni, nimefuatilia sana mijadala bila mimi kushiriki na nimepata muda tosha wa kupima hoja mbali mbali na kusema kweli nimezisoma zote bila kujali nakubaliana nayo ama hapana. Nikatamani sana hata zingine kuzijibu lakini ndiyo hivyo tena nikafungwa kufuli, sababu sana ya kufungwa kufuli nimeshindwa kuibaini hadi dakika hii. Katika muda huo nimeshuhudia maneno ya kuudhi kweli kweli humu ndani ya JF ambayo mimi nina hakika siwezi kuyatamka achilia mbali kuyaandika...lakini hayo tuyaache.

Sikubaliani na wewe kuwa kama kutatokea mabadiliko basi ni ya sura za watawala na si vinginevyo, hapana, kwenye kampeni tukiacha machache yaliyotolewa na wakurupukaji, hoja zimekuwepo, sera zimenadiwa na ahadi zimetolewa; labda hukuzisikia tu. Kiu kubwa ya Watanzania ni kuona mabadiliko na hayo mabadiliko ya amani huanza kwa watu wenyewe kuwa tayari kuyapokea. Mabadiliko si hisani ya watawala, hayapewi masharti na yanapogonga hodi hayasubiri yafunguliwe.

Yanayotokea leo hayana tofauti na yaliyotokea mwanzoni mwa miaka ya 90 mageuzi yalipogonga hodi, watawala hawakutaka kuyafungulia na walifanya kila mbinu kuyazuia. Kwa upofu wao waliunda kamati eti kuwauliza wananchi kama wanataka uhuru zaidi katika kuisimamia serikali yao. Waliimarisha vyombo vya ulinzi na usalama kwa woga kuwa mfumo unaoruhusu uhuru zaidi utafanya amani kupotea na kuleta vita. Leo tena watawala wameingiwa na wasi wasi ule ule kwa kutumia mbinu zile zile.

Wameanza tena kuimarisha ulinzi kwa woga wa mabadiliko kwa hoja kwamba kuyaruhusu mabadiliko ni kukaribisha machafuko. Kwamba ni chama tawala pekee inayoweza kulinda amani, ni wazo linalopandikizwa mioyoni mwa wapiga kura lengo likiwa ni kuzima hamasa ya mabadiliko kitu kisichowezekana. Mabadiliko huanza na mtu mwenyewe kuwa tayari kuyapokea na ukifanya makosa ukafanya moyo wako kuwa mgumu katika hilo, ukabana mlango mabadiliko yasipate mwanya, unajisumbua bure.

Sauti ziko mbili na ziko tofauti kabisa; moja inaimba ile ile na nyingine inaimba mabadiliko, Mitazamo iko miwili; mtazamo ule ule na mtazamo mpya, tunazo dira mbili; dira inayotuelekeza kule kule na dira inayotuelekeza njia mpya, tunavyo vyombo viwili; kimoja kile kile cha miaka nenda rudi na kingine kipya na hivyo hivyo tunazo kambi mbili; kambi ya CCM na kambi ya UKAWA. Tarehe 25 October, wananchi wa taifa hili watapiga kura kuendelea na kambi ya zamani iliyotufikisha tulipo au kambi mpya na matumaini mapya.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mag3 na Kakalende

Kwanza kabisa, Mag3 pole na safari ya 'ukonga'. Kwa muda nilikuwa na mambo mengi sikujua hata nini kilijiri. Muhimu umetoka 'kamiti max'

Pili, kuna kitu Watanzania wanapaswa kukifahamu.

Awamu ya II ilikuwa ya mpito kutoka chama kimoja kuelekea vingi Kama alivyosema Mag3, na tunaweza kuipa benefit of doubt

Tatu, awamu ya Mkapa ilikuja na uwazi na wajibikaji. Tukaona tume za rushwa zikiundwa n.k.

Mwisho wa siku hakukuwepo uwazi , uwajibikaji na rushwa ikazidi mara nyingi na ilivyokuwapo

Nne, akja JK na nguvu mpya, ari mpya na kasi mpya. Hakuna nguvu iliyoonekana wala ari yoyote.

Hakukuwa na kasi bali kudumaa kwetu kama taifa.

Rushwa imekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku na kitu 'halali' Yale maisha bora hatujui yameishia wapi

Tano, sasa hivi si chama tena, tunaambiwa hapa kazi tu.

Hatujui kazi ipi maana huko nyuma kazi haikuwahi kutoa matokeo tofauti. Tunaaminishwa kuwa CCM inafanya reform

Reform ya CCM inayosemwa si ile ya moyoni. Kama ingalkikuwa ya moyoni, reform hiyo ingefanyika awamu mbili zilizotufikisha hapa.

Hii ni reform ya kuteka nyoyo za wananchi baada ya kubaini wanataka reform

Kwa mantiki hiyo, wananchi wameishi kwa kauli za kubabaisha kama tulizoona juu. Hatuambiwi kazi ni ipi tunaambiwa hapa kazi tu

Kinachotokea ni wananchi kutaka mfumo huu ubomoke. Unabomokaje hilo ni suala lingine.

Hatuwezi kuwaulumu kama wanataka hivyo. Waliopewa dhamana wameshindwa na wananchi wanataka tu kuvunja mfumo wa CCM.

Hii maana yake, wamechoka na 'status quo' wamechoka na udanganyifu wa miaka nenda miaka rudi.

Wananchi wanataka kuvunja tu mfumo wa kauli bila matendo

Ushahidi wa kuchoshwa na kauli upo kwa CCM. Hakuna sera ikiwa na mtajiwa miaka 50 ya record ya utendaji kama chama tawala.

Hawawezi kusimamia record hiyo wamebaki kutupa lawama na tuhuma kana kwamba ni wapinzani.

Wmaebaki kuwadanganya wananchi kuwa tunahitaji bouncer Ikulu ili aweze kupiga push ups

Mwalimu Nyerere hakuwahi kuchuchumaa hata siku moja katika miaka 23 ya uongozi wake.

Alizungumza na wananchi kwa kauli zake ambazo zinatumika hadi leo na wapinzani au CCM.

Miaka 30 ijayo vijana wetu wataangalia jinsi wazee wao walivyokuwa wanapiga push ups za mchangani na si za akili.

Watapita makaburini wakiyachapa viboko na kulaani watawala na watawali. Watachapa viboko makburini ya watawala, na kutemea mate kama si kunajisi makaburi ya watswali.

Watafikiria kile kizazi cha Zinjathropus lkiliendelea kuwepo Tanzania hadi miaka 30 iliyopita.

Watalia kwa uchungu wakishindwa kusoma dua au sala kwa kizazi hiki kilichovia kiakili. Watatuita kizazi cha wajinga na push ups

Katika hilo , sisi sote wa kizazi hiki hatutasalimika. Tutakuwa sehemu ya push ups kwasababu hatukufanya kitu kuzuia ujinga.

Hatukukemea wala kulaani push up ! hatukudai sera, hatukuuliza wapi tulikwama.

Tulibaki kujiunga katika misafara ya kuinama na kupiga push up tukiwa hatuna dawa, shule zetu hoi na maisha duni

Watoto watatucheka sana, hiki ni kizazi gani kilichokuwa hakijitambui

Hatujitambui kwasababu tunalishwa maneno, hatuulizi. Hapa kazi tu, ni ipi hiyo iliyoshindikana miaka 50.

Hatujiulizi ni kazi gani iliyofanyika na ipi imebaki ili tusema hapa kazi tu. Hatujitambui !
 
MAREJEO YA TULIKOTOKA

Wanajamvi

Uzi huu ulikuwa mahususi kwa Chadema/Ukawa kutokana na uwekezaji wao usiotabirika
Ukifuatilia kwa makini michango ndani ya uzi utaona tatizo lililosemwa bado lipo

Kuna tatizo kubwa ndani ya kambi ya upinzani linalohitaji suluhu ya haraka
Suluhu haitoki kwingine bali kwa wanachama wa vyama vya upinzani wenyewe

Tulieleza kifo cha CUF katika uzi mmoja na migogoro ndani ya Chadema

Inaonekana upinzani unadhoofu badala ya kupata nguvu licha ya nguvu ya wananchi

Maswali ya kujiuliza

Tatizo ni CCM na Serikali yake kudhoofisha upinzani?
Tatizo ni wapinzani wenyewe?

Maswali hayo tutayapitia kwa undani pengine katika uzi tutakaoanzisha hivi karibuni

Inatosha kusema yanayotokea na hasa hili la leo linalohusu viongozi na 'Bongofleva team' si mambo ya bahati mbaya.

Ni mwendelezo tu wa udhaifu wa siku nyingi ambao kwasababu zisizowaeleweka umeachiwa uendelee

Kwa hali ilivyo, upinzani kutoka CUF unapotea kutokana na udhaifu wao wenyewe
Upinzani kutoka Chadema unavuma kama dhoruba inayokuja na gharika na uharibifu

Kwa Chadema, tuliwahi kusema kama wanataka kujinasua na mdororo unaoonekana lazima wakubali dawa chungu iwe kidonge au sindano

Tulisema pia, Mwenyekiti Mbowe ametimiza wajibu wake, zama zilizopo si zake
Ni wakati sasa akae pembeni na kama hawezi asaidiwe kukaa pembeni

Bila hatua za haraka na dharura kuhusu uongozi mzima, kuna kila dalili jahazi lao lina matundu, maji yanaingia kwa kasi.

Zipo njia mbili tu za kunusuru jahazi

1. Kuziba matundu yanayoingiza maji kwa gharama kubwa ili kuokoa jahazi
2. Kuacha abiria wajitose jahazi likieelekea kuzama

Tusemezane
 
Ya 'wema' imenistua...! Lakini nadhani mawazo yangu kuwa bado tuko kwenye mfumo wa chama kimoja, na hii ya mambo ya vyama vingine ilikuwa nighiriba kwa wale waliotutaka tufuate mfumo wao (WEST) wa utawala (demokrasia), yawezekana yanaanza kubata mizizi ya kusimamia. Kwa sasa inaonekana threat iliyokuwepo kipindi USSR inaanguka sasa haipo tena, East imeimarika...West hawatubabaishi tena....Tunaamua kuwaonyesha kuwa tulikuwa tunawaghiribu na kweli wameghiribiwa. Yaani hakuna nadhani aliyetegemea chama kikubwa cha upinzani kinaweza kuamua kujiangamiza kwa staili hi...ni ghiriba tu kwa West!
 
Ya 'wema' imenistua...! Lakini nadhani mawazo yangu kuwa bado tuko kwenye mfumo wa chama kimoja, na hii ya mambo ya vyama vingine ilikuwa nighiriba kwa wale waliotutaka tufuate mfumo wao (WEST) wa utawala (demokrasia), yawezekana yanaanza kubata mizizi ya kusimamia. Kwa sasa inaonekana threat iliyokuwepo kipindi USSR inaanguka sasa haipo tena, East imeimarika...West hawatubabaishi tena....Tunaamua kuwaonyesha kuwa tulikuwa tunawaghiribu na kweli wameghiribiwa. Yaani hakuna nadhani aliyetegemea chama kikubwa cha upinzani kinaweza kuamua kujiangamiza kwa staili hi...ni ghiriba tu kwa West!
Natofautiana nawe sana kuhusu hili na kwa mifano

Imekuwa ni kawaida 'failure' za nchi za kiafrika kuhusishwa na utumwa au ukoloni au kuingilia na nchi za mgaharibi. Je, ni kweli au visingizo tu kuficha udhaifu na ukweli?

1. Miaka ya 1960 Korea kusini ilikuwa sawa na nchi yoyote ya Africa unayoijua leo

Jana international org. moja imetoa picha ya life expectancy ya dunia
Korea inazipuku nchi za 'west' na kubwa na kwamba life expectancy ni miaka 84

Tulikuwa nao pamoja, leo wapo first world. Utumwa/west na ukoloni unahusikaje hapo?

2. Mkoloni akiondoka Tanganyika alituacha na tembo takribani laki 3 hadi 5.
Leo tumejitawala tuna tembo pengine chini ya laki 1. Mkoloni alinodoka nao?

3. Mkoloni alilaumiwa kwa kuchukua mazao na rasilimali zetu. Leo mchanga unachukuliwa chini ya usimamizi wetu wenyewe katika migodi. Mkoloni anahusika vipi hapo?

4. UNIP ina KANU ziliondoka madarakani kwa sanduku la kura. Leo kubadilisha serikali ni jambo la Kawaida Kenya na Zambia. Kwanini tudhani West wanatuingilia na si wengine?

Kwa mifano hiyo michache hoja yangu ni kuwa vyama vingi vipo na vinafanya kazi kama ilivyo kwingine duniani. Kuna migogoro kama kwingine duniani

Tofauti yetu na wenzetu, likitokea tatizo, wawanalichambua, wanalitathmini na wanatafuta suluhu. Sisi tunasingizia nchi za west na kuogopa vivuli vyetu wenyewe

Tunashindwa kuona joka ndani ya uvungu wa kitanda tunatafuta wachawi nje wasioonekana na wasiojulikana kama wapo. Udhaifu wetu tunaujengea uzio

Uzio wa udhaifu ndio umetoa mwanya kwa 'mahasimu' wasiopenda kuona nchi inaelekea kwingine kuingia kati na kuvuruga upinzani. CUF inatueleza bila kificho

Udhaifu wa CUF haukutokana na wanachama. Ulitokana na madhaifu ya muda mrefu katika uongozi. Hawakukubali dawa chungu wakiamini personality badala ya umma

Ni udhaifu huo huo ulioikumba Chadema siku za nyuma. Bila kujifunza udhaifu huo unajirudia katika udhaifu mkubwa zaidi na hizo ni dalili nzuri za kuelekea kusikotarajiwa

Udhaifu huo si wa wananchama, ni udhaifu wa viongozi.
Mchango wa wanachama ni pale wanapoachia udhaifu huo kuendelea kushamiri

Ni pale wanachama wanapoamini katika mizimu badala ya siasa ya sayansi

Hivi kweli 'Bongofleva' ni sehemu ya agenda za Upinzani? Ni sehemu ya political prowess!
Kuna mangapi yanayohitaji opposition party kusimama na kuyasemea! Bongofleva! Real!

Hili linahitaji mjadala mrefu na endelevu na kwakweli tutapiga kambi kulizungumzia

Kukaa kimya hakutakuwa na tofauti na wanaoamini katika mizimu na tunguli
Haonewi mtu hapendelewi mtu, ukweli utamalaki na ndio dawa mujarabu

Kwa kuanzia tu Mwenyekiti wa Chadema akae pembeni, kama hawezi asaidiwe kukaa pembeni. Hakuna mchawi hakuna west countries.

Tusemezane
 
Comrade Nguruvi3 za siku?
Nakumbuka sana toka CDM walipofanya uwekezaji wa Lowassa/Sumaye na wafuasi wao, tulionya kwamba ni unpredictive Investment na wasipoangalia basi wanakwenda kuangamiza chama chao. Na kama ulivyochambua kwa kina kwenye mabandiko yako yaliyotangulia, hali imekua mbaya na inazidi kuwa mbaya. Yote kinachowaponza toka enzi za Slaa ni kiburi cha viongozi wao na kuamini wanpendwa na kukubaliaz hat wanapopotoka.

Hili la leo la wasanii nilipolisikia na kulisoma nikabaki kinywa wazi kwamba kweli sasa kuna kuishiwa, sidhani kama wapinzani walipaswa kujihusiha na kuwakaribisha kwa mbwembwe kubwa wasanii ambao kimsingi wengine hawapo sawa na jamji na kisha kujifanya wana collide nao, ni huzuni sana, sijui strategist wao wanafikiria nini sijui wanawaza kwa vision ipi, ni aibu sana, na kama emergency measures hazitachukuliwa their going to collapse slowly but sure.

USHAURI KWA UPINZANI
Niwasihi viongozi wa upinzani chukueni ushauri wa Nguruvi3 hapi juu, badilisheni strategies zenu maana zama pia zimebadilika sana, badilisheni uongozi ambao bado unafikiria kizamani, anzeni kuwa na mtazamo wa kuyakabili mabadiliko ya mzimgingira na si vinginevyo, kama viongozi waliwafaa huko nyuma kwa sasa walihitajika wengine basi heshimuni sayansi ya siasa na badiliko
 
"
King Suleiman, post: 19857542, member: 33981"]Kinachowaponza toka enzi za Slaa ni kiburi cha viongozi kuamini wanapendwa na kukubalika hata wanapopotoka.
Mkuu za siku njema kabisa. Karibu tujumuike, hali ndiyo hiyo unayoona

CCM walijaribu kuamini wanakubalika.Wametambua hawakubaliki na hawapendwi. Wanajua hilo. Njia waliyo nayo siyo political power bali nguvu za ziada

CUF walidhani hivyo, wakaacha kila kitu kiende kwa solar energy.
Leo kila mtaa una ofisi kuu ya CUF. Matatizo yote ni kuamini katika mtu na si chama

Chadema is on the verge.
Hakuna anayeona lakini ni ukweli mchungu wanaopaswa kuutambua na kuishi nao.
Hili la leo la wasanii nilipolisikia na kulisoma nikabaki kinywa wazi kwamba kweli sasa kuna kuishiwa, sidhani kama wapinzani walipaswa kujihusiha na kuwakaribisha kwa mbwembwe kubwa wasanii ambao kimsingi wengine hawapo sawa na jamji na kisha kujifanya wana collide nao, ni huzuni sana, sijui strategist wao wanafikiria nini sijui wanawaza kwa vision ipi, ni aibu sana, na kama emergency measures hazitachukuliwa their going to collapse slowly but sure.
Amidst so many issues of national interest bado wanafanya mambo ya ajabu kama hayo. Real!

Kuna matatizo makubwa ya mifumo. Mfumo wa sheria unapoteza nguvu, mawakili wanabanwa, miradi ya nchi ni kama imekwama.
Huko Msumbiji yapo ya kuongelea. Kuna suala la katiba lipo kiporo

Wapinzani makao yao ni magereza, kuna unyanyasaji wa jumla, bungeni matatizo n.k

Tunaweza kuorodhesha mambo kurasa kumi. Leo wanatoka na Bongofleva as real issue

Nancy Sumari yupo wapi? Mpendazoe yupo wapi? n.k.

Nani aliwaambia nchi ina matatizo ya 'celebrity' na wana impact gani katika siasa za nchi
Tena wakijihusisha nao kwa wakati huu badala ya kujihusisha na mambo mazito

I mean this is too low, inaashiria udhaifu unatitia, as if there's nothing opposition can do. Unless drastic measures are taken now, the way forward is oblique and scary
Badilisheni strategies zenu maana zama pia zimebadilika sana, badilisheni uongozi ambao bado unafikiria kizamani, anzeni kuwa na mtazamo wa kuyakabili mabadiliko ya mzimgingira na si vinginevyo, kama viongozi waliwafaa huko nyuma kwa sasa walihitajika wengine basi heshimuni sayansi ya siasa na badiliko
Mkuu Wainglish wanasema 'you can't teach an old dog new tricks'

Kama wangebadilika mabandiko haya kuanzia mwanzo yangewafunza jambo

Hawana mbinu mpya kwasababu zama si zao, na kila zama na kitabu chake
Si suala la mbinu tena ni suala linalohitaji surgical precision right away

The time is up, help Mbowe exit the door with honor. Mbowe must go ab initio

Chadema, it's time you express your gratitude to Hon Mbowe for his tireless effort and immense contributions to your party and country at large, and remind him it's time to pack and go!
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom