CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

huyu jamaa aanzishe chama chake ili achague viongozi wa dini hiyo aliyotaja! hizi hoja za kuleta usawa katika nafasi za uongozi kwa kigezo cha dini ni mufilisi kabisa

Hakika ZITTO akianzisha chama itakuwa ni Mwisho wa CUF maana CUF kiukweli imeegemea sana ZNZ, au Chama cha ZITTO kitakuwa mwisho KIGOMA.
 
zitto na jk ni marafiki, jk ni bingwa wa makundi na mitandao. Cdm jiandaeni na mtandao wa zitto uliojengwa muda mrefu na una nguvu ya pesa na dola. Get rid of zitto n katila right away

huu ni muda muafaka wa kumgonga nyoka kichwani.get rid of these evil men.wanacdm tusiwaruhusu waharibu kazi iliyofanyika kwa miongo kadhaa.
 
hata mimi nashangaa, eti mnyika mwanza? He he he chadema sasa mnachekesha sana! Mnyika ni mshikadau, yaani ni wa hukohuko kilimanjaro, acheni kutuhadaa watanzania kwa ujinga wenu. Hilo chama lenu la ukabila na ukanda endeleeni nalo tu mpaka liwafie mshangae. Tumaini makene utatumika sana, utaandika sana upuuzi kama huo mwisho utatupwa kama maganda ya ndizi, nakuhurumia sana( omumu makene)

Mimi nilisoma na John Mnyika, MAUA SEMINARY ILIYOKO JIMBO CATHOLIC LA MOSHI, MARA NYINGI WAKATI WA LIKIZO ALIKUWA TUNASAFIRI NAE KWENDA KWA WAZAZI WAKE WALIOKO MWANZA, ILA MAMA YAKE NI MPARE WA MWANGA KILIMANJARO, LIKIZO FUPI ALIKUWA ANAENDA KWA BIBI YAKE PALE SAME. Mara moja niliwahi kwenda nae kwa bibi yake na kurudi siku hiyo hiyo... kwenye darasa letu la shule ya seminari alikuwa na akili kuliko wanafunzi wote tuliokuwa tunasoma nae pale MAUA SEMINARY, KATIKA MTIHANI WAKE WA KUMALIZA KIDATO CHA 4 ALIKUWA NA ALAMA 9 katika masomo 10 KWENYE MASOMO YOTE, ALIKUWA MWANAFUNZI ALIEFAULU KWA NGAZI YA JUU KATIKA SEMINARY YA MAUA,NA MKOA MZIMA WA KILIMANJARO, HASA UKIZINGATIA KWAMBA SEMINARY YA MAUA HUCHUKUA WANAFUNZI CREM WA MIKOA YOTE YA TZ.. Sasa wale wanaonga'nga'nia tuwaache.
 
Ufafanuzi unatolewa pale panapokuwa na upotoshaji mkubwa. Pamoja na uongo mwingi aliosema Chitanda, vile vile alipotosha mahali wanapotoka wakurugenzi ndio maana Makene akamsahihisha.....Kwenye suala la udini, viongozi hawachaguliwi kwa udini wao, bali kwa uwezo wao, na huyu jamaa hajapotosha/hajasema uongo aliposema wote ni wakristo bali ameonyesha tu kwamba yeye ni mdini (anaangalia watu kwa jicho la udini bila kujali uwezo). Ulitaka Makene ajibu upotoshaji gani hapo? Sasa kama wote ni wakristo ulitaka Makene asema mmoja ni muislam ?

Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
 
Ukanda,udini na ukabila ni vitu ambavyo haviwez kujificha ukiwa navyo,

sasa chadema upepo unawavumia vibaya jf,na huko uraian ndiyo usiseme kabisa,

kuna siku zitto alishawahi sema kwamba huwez kumchafua zitto kisha chadema ikabaki salama,leo nakubali maneno yake,hali ni mbaya sana
 
Hakika ZITTO akianzisha chama itakuwa ni Mwisho wa CUF maana CUF kiukweli imeegemea sana ZNZ, au Chama cha ZITTO kitakuwa mwisho KIGOMA.

Unamtisha nani sasa? Zito akiahamia au kuanzisha chama mimi nitakuwa wa kwanza kuipiga chini CCM na kujiunga nae kuendeleza mapambano na sitokei Kigoma.
 
Sababu huyu mdogo ameongea uongo na upotoshaji wa moja kwa moja ambao uliitaji kutolewa ufafanuzi, wakati aliyekuwa makamu mwenyekiti ameongea misimamo yake binafsi na mambo yanayofanana na hayo, hakuna hoja specifically inayohitaji ufafanuzi....

Mkuu ni kweli kajiuzulu makamu mwenyekiti taifa hakuna maelezo ya Makene huyu mtu mdogo kwa Arfi povu linamtooooooooooooooka!
 
Kurugenzi ya Habari kazi manayo mwaka huu! Kila aliye na mawazo tofauti ni ccm! Kwa hiyo hata wewe ni ccm,CDM NI mbowe na Mtei tu nyinyi mliobaki ni vibaraka wao tu,chezea udini na ukabila enh! Kwish ney mmebakia mipasho tu. Mjadala umefungwa mbona mnajibu basi cmnyamaze kimya.
 
Last edited by a moderator:
Thats very encouraging, msisitizeni aanzishe manake mnaonekana mko wengi sana, mfano upo wewe, vile vile ana washabiki wengi CCM, na kama wengi mnavyosema wanachama wengi Chadema wako nyuma yake....Ina maana wewe, washabiki wake wa CCM na wanachama wote wa Chadema walio wafuasi wake na mashabiki wengine wengi watajiunga naye....Kama ndivyo, lazima hicho Chama chenu ndio kitakuwa kikubwa na maarufu zaidi Tanzania. Mshawishini aondoke ili muwe huru kujenga demokrasia huko...

Vile vile ukizingatia kwamba Zitto ana uwezo mkubwa kupita viongozi wengine wote wa Chadema (kwa mujibu wenu), nadhani hicho chama kitakuwa kwa kasi ya ajabu, sababu hakutakuwa na mtu wa kumzongazonga brilliant Zitto - vipaji vyake vyote vitatumika at full potential, na nyie wanachama waaminifu mtakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza sera za Chama chenu hicho pendwa ambazo mtakuwa mmejiwekea chini ya kiongozi shupavu Zitto !.

Unamtisha nani sasa? Zito akiahamia au kuanzisha chama mimi nitakuwa wa kwanza kuipiga chini CCM na kujiunga nae kuendeleza mapambano na sitokei Kigoma.
 
MAGAMBA mmeanza kuweweseka!! MUNGU KWETU SISI NI KIMBILIO. MSAADA WETU NI KATIKA YEYE ATUTIAE NGUVU. ulitaka tuwe tunasali kwa kufirama km wewe ndio ukubali kwamba ndani ya Chadema kunae Waislamu?

Udini na Ukabila ndio silaha ya mtu yeyote aliefilisika Kisera na kimtazamo.
Wewe ndie Mdini namba moja lakini nakushangaa unashadadia CDM!!

Unazidi kuchafua hali ya hewa...... Jaribu kuficha dharau/chuki ulionayo kwa wengine wanaoamini tofauti ITAKUSAIDIA
 
Mimi siwezi kuwa Bavicha wala Uvccm.

Usilete ujinga wa Mwigulu Chemba kunukuu kauli Peter Msigwa akili ndogo kuongoza akili kubwa. Na hajaweka source ni Peter Msigwa.

Same to you Jenerali Ulimwengu ndio aliyehasisi msemo huu halafu wewe mwalimu wa madrasa unajifanya eti wewe ndiye uliyehasisi! unachekesha sana.

Wacha kuwa punguani wewe, huyo Jenerali mwenyewe wakuja tu kama wewe, yeye ni nani hata asiwe nae kachukuwa huo msemo kutoka kwangu?

Huyo Jenerali wako wewe unamjuwa kwenye kumsoma au kumuona kwenye TV tu. Wengine tunamjuwa kabla hajajiingiza katika katika fani hizo. Na anatuheshimu kama wenyeji wake hapa Dar. Muulize, akueleze FaizaFoxy ni nani.

Wacha viroja leta hoja.
 
Unamtisha nani sasa? Zito akiahamia au kuanzisha chama mimi nitakuwa wa kwanza kuipiga chini CCM na kujiunga nae kuendeleza mapambano na sitokei Kigoma.

Mimi wa pili wala sitokei kigoma.
 
Kumbe ukiwaunga mkono CDM unakuwa umetemwa kwenye Uislamu? Mkuu naomba ujitambue usinidhalilishe hapa jamvini
Hivi mume wako na watoto wako huwa unawapikia saa ngapi. Angalia usije kupewa talaka.
 
mnyika anatoka mwanza na kilimanjaro. mbona mnaficha anakotoka mama yake.

acheni hizo mtoto mwenye wazazi toka sehemu tofauti inabidi museme.

Kwa mama yako siyo kwenu,
akishaolewa anahamia kwake baba yako,
unless uwe shokoraa hujui baba yako kwao wapi, hata hvy palee utaishi kama ummepewa hifadhi tu ila una kwenu!
 
Mimi siwezi kuwa Bavicha wala Uvccm.

Usilete ujinga wa Mwigulu Chemba kunukuu kauli Peter Msigwa akili ndogo kuongoza akili kubwa. Na hajaweka source ni Peter Msigwa.

Same to you Jenerali Ulimwengu ndio aliyehasisi msemo huu halafu wewe mwalimu wa madrasa unajifanya eti wewe ndiye uliyehasisi! unachekesha sana.

Wacha kuwa punguani wewe, huyo Jenerali mwenyewe wakuja tu kama wewe, yeye ni nani hata asiwe nae kachukuwa huo msemo kutoka kwangu?

Huyo Jenerali wako wewe unamjuwa kwenye kumsoma au kumuona kwenye TV tu. Wengine tunamjuwa kabla hajajiingiza katika katika fani hizo. Na anatuheshimu kama wenyeji wake hapa Dar. Muulize, akueleze FaizaFoxy ni nani.
 
Back
Top Bottom