CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

Chadema kwa ulaghai watuaminisha kuwa John Mnyika ni Msukuma.

Teh teh teh.
 
Si ujibu tu kwamba Jenerali ndiye aliyekuiga wewe ? Au kama wewe ndio uliyemwiga yeye si ukiri ?

Sasa ngonjera nyingi za nini ? Eti Jenerali ni wakuja, eti sisi ndio wenyeji wake dar ?

Jibu swali :source ya huo usemi ni jenerali au wewe ?

Mkuu huyu Anonymous Faiza Foxy anamjuwa nani?

Yeye ana chombo kipi cha habari mpaka umqoute? Maana huo usemi Jenerali amekuwa akiutumia muda mrefu kabla ya Jambo Forum na baadaye Jamii Forums kuanzishwa.

Unajuwa hata mimi zamani nilikuwa najisikia fahari kuwa mzawa wa Mzizima kumbe na mimi nilikuwa ni sehemu ya mafala tu ambao hatukuona mbali kwa kutaa kununuwa viwanja Mbezi beach wakati vikiuzwa elfu 10 kwa plot tuliona bado ni porini na barabara ilikuwa ni shida tupu mashimo mtindo mmoja.

Ila leo wale wakuja ndio wanaokula upepo wa bahari kwenye mahekalu yao huku mimi na mzawa mwenzangu Faiza Foxy bado tunaishi kwenye makazi duni kariakoo ambako kupata fresh air ni ndoto na bado tunakunya kwenye vifuko vya rambo.
 
Mkuu si lazima kila mahala utangulize udini. Uongozi si lazima kubalansisha kila mahali inategemea uwezo Na utayari Wa mtu kutaka kuhudumia chama Na wananchi mbona hujahoji kuwa wote ni wanaume?

Wasiokuwa wakristo hawana uwezo wala utayari wakuhudumia chama. Wakakojoe wakalale wasituharibie harakati zetu.
 
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.

Kawaulize magamba wenzio lumumba wanalipwa kiasi gani?
 
yafaa wanaotangaza propaganda za udini ukabila nao wapewe sifa hizo na wachukuliwe hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na uthibitisho wa suala hilo
 
Thats very encouraging, msisitizeni aanzishe manake mnaonekana mko wengi sana, mfano upo wewe, vile vile ana washabiki wengi CCM, na kama wengi mnavyosema wanachama wengi Chadema wako nyuma yake....Ina maana wewe, washabiki wake wa CCM na wanachama wote wa Chadema walio wafuasi wake na mashabiki wengine wengi watajiunga naye....Kama ndivyo, lazima hicho Chama chenu ndio kitakuwa kikubwa na maarufu zaidi Tanzania. Mshawishini aondoke ili muwe huru kujenga demokrasia huko...

Vile vile ukizingatia kwamba Zitto ana uwezo mkubwa kupita viongozi wengine wote wa Chadema (kwa mujibu wenu), nadhani hicho chama kitakuwa kwa kasi ya ajabu, sababu hakutakuwa na mtu wa kumzongazonga brilliant Zitto - vipaji vyake vyote vitatumika at full potential, na nyie wanachama waaminifu mtakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza sera za Chama chenu hicho pendwa ambazo mtakuwa mmejiwekea chini ya kiongozi shupavu Zitto !.

Hujakosea hata kidogo.
 
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....

Semea nafsi yako,cdm hatutaki wafuasi wa watu,mtu anaweza kufa au akaamua kuacha siasa kwa hiyo unataka kusema nawe utajiua au utaacha siasa?.utamfata atakapokwenda kwa sababu umeamua kuwa bendera fuata upepo.
 
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Kamati kuu ya CCM INA WAJUMBE 31, wakristo 9 na waislamu wako 29, CCM ni cha Waislamu?
 
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....

Wewe kama unamtaka Zitto jiandae kumfuata huko atakakokwenda, Zitto ni pandikiza la CCM ndani ya Chadema, he has to go. Chadema ni zaidi ya Zitto Bwana.

Tiba
 
Chadema kwa ulaghai watuaminisha kuwa John Mnyika ni Msukuma.

Teh teh teh.
Mnyika ni ------ ........haya Furaha yako itimie .....ila jibu KAMATI KUU YA CCM WAJUMBE 31, WAKRISTO 9 na waislamu wako 29, aidha Secretariat ya CCM ina wajumbe 7, wakristo 1 na waislamu 6, nini maana yake?
 
Kazi bado ipo.kama mjadala umefungwa mbona tena unatumia muda kujibu hoja...kunahitajika kufanyika kazi ya ziada,kwani sasa kazi zitakua ni kupangua shutuma tu.
Huu mjadala unamhusu Ndugu Ali Omari Chitanda tofauti na ule wa awali. Kumbuka watu wanaweza kuendelea kupotosha na hasa ukichukulia huu mkakati wa upotoshaji unahusu watu wengi na wenye nguvu ya pesa na uongozi.
 
Mkuu huyu Anonymous Faiza Foxy anamjuwa nani?

Yeye ana chombo kipi cha habari mpaka umqoute? Maana huo usemi Jenerali amekuwa akiutumia muda mrefu kabla ya Jambo Forum na baadaye Jamii Forums kuanzishwa.

Unajuwa hata mimi zamani nilikuwa najisikia fahari kuwa mzawa wa Mzizima kumbe na mimi nilikuwa ni sehemu ya mafala tu ambao hatukuona mbali kwa kutaa kununuwa viwanja Mbezi beach wakati vikiuzwa elfu 10 kwa plot tuliona bado ni porini na barabara ilikuwa ni shida tupu mashimo mtindo mmoja.

Ila leo wale wakuja ndio wanaokula upepo wa bahari kwenye mahekalu yao huku mimi na mzawa mwenzangu Faiza Foxy bado tunaishi kwenye makazi duni kariakoo ambako kupata fresh air ni ndoto na bado tunakunya kwenye vifuko vya rambo.
JF siyo sehemu ya porojo lini kiwanja mbezi kiliuzwa elfu 10?
 
Kurugenzi ya Habari CHADEMA kama kawaida yenu kutojibu hoja za msingi?
Mimi nauliza tena posho ni ths ngapi?
Utasemaje mtu ni muongo wakati umeshindwa kusema wanalipwa shilingi ngapi.

Kurugenzi ya Habari punguzeni uongo watanzania si wajinga.
 
Last edited by a moderator:
Hawa 'wahaini au wasaliti' hawazaani or transmogrifies kulingana na mazingira?.

HAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAH!!!

Hawa nasikia no kuzaliani, nadhani ni virus ambao sio harmful to our health. Sasa wameshajichagua na hawataki ku expand jaribu kupitia ule waraka ambao inasemekana ni fake kuna sehemu wanamention kwamba inatakiwa wawe makini sana sio kupokea kila member na kumkaribisha na wanapaswa kuwa wasiri sana.
 
JF siyo sehemu ya porojo lini kiwanja mbezi kiliuzwa elfu 10?

Ndio kuna siku kiliuzwa 10,000
Lakini swali je yeye alikuwa amezaliwa? Au alikuwa na umri gani?
Aache sound hizo!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom