CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

Huwezi kujibu tuhuma zote au kumjibu kila mtu, unaangalia kile ambacho kinastahili kujibiwa kulingana na maslahi mapana ya Chama especially kama kuna upotoshaji mkubwa. Nakubali kwamba wewe unaweza kuona fulani alistahili kujibiwa na mwingine aone tofauti, ndivyo binadamu tulivyo, tunatofautiana. Wewe ndio ungekuwa umeshikilia nafasi ya Makene probably hoja za aliyekuwa Makamu Mwenyekiti zingepewa majibu. Lakini nadhani tunakubaliana kwamba huwezi kutolea ufafanuzi kila anayeibuka na kutoa tuhuma/hoja juu ya Chadema. Kwa mfano kuna watu wanafikiri Baregu alitakiwa ajibiwe lakini mimi naona yale ni maoni yake (sio uongo au upotoshaji).

Mimi naona aliyekuwa Makamu Mwenyekiti hastahili kujibiwa sababu sioni upotoshaji katika maelezo yake zaidi ya kueleza msimamo wake kwamba hawezi kuchaguliwa marafiki na mambo mengine ambayo ni misimamo binafsi. Ni hoja gani specifically ambayo ameisema aliyekuwa Makamu Mwenyekiti ambayo wewe unaona ingestahili ufafanuzi wa Chama ? Usiongee tu jumla jumla be specific !

Swala la muono wa uzezeta linategemea na kiwango chako katika utambuzi wa hoja hasa ikichukuliwa kuwa hakuna kipimo cha kisayansi ulichotumia kufikia hitimisho lako.

Fine, kama nitakubaliana na hoja yako itabidi nikuulize tena, kwani hao waandishi wa habari wanapatikana Jf au taarifa za kupata clarification zilipatikana kupitia Jf.

Hatuhoji bila kuangalia njia inayotumika katika mawasiliano mara kwa mara ya CHADEMA na wanachama au wananchi. Historia inabainisha kuwa, kitengo cha mawasiliano cha CHADEMA huwa kinatumia Jf katika kuwasiliana na wananchi/ wanachama wa CHADEMA kama walivyofanya kwa sasa na kwa maana hiyo, tulitegemea hata swala la aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Taifa lingetolewa ufafanuzi kwa kutumia njia ya mawasiliano ya Jf au yoyote ile kuwafikia wanachama/wananchi.

Kama hakuna maelezo yoyote yale ya kufafanua au kukanusha kutoka CHADEMA basi maelezo ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti yatasimama katika fikra na mitazamo.
[/SIZE]
Hoja hapa ni wanachama/wananchi kufahamu msimamo wa CHADEMA kuhusiana na tuhuma zilizoiburiwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Taifa na siyo CHADEMA kutoa majibu kwa Said Alfi ambaye tayari alishakuwa siyo Makamu Mwenyekiti Taifa labda uniambie, tuhuma zake kwa CHADEMA zilikuwa haziakisi mwenendo wa CHADEMA katika jamii na kwa maana hiyo, siyo biashara ya kisiasa inayowahudu wanachama/ wananchi kufahamu.

Tukubaliane kutokubaliana.
 
Nadhani sasa sisi tuliokawa tunasema ukweli kuhusu kuwa hiki chadema ni chama cha KIKANDA,KIDINI NA KIKABILA TUTAELEWEKA VEMA,

PIA CHADEMA KWA SASA NI KAMA VILE WAMELEWA,ONA ANAKUJA KUTOLEA UFAFANUZI WA KIJUHA KAMA HUU,MUULIZEN MBONA ALIPOJIUZULU SAID ARFI NA KUSEMA KUWA AMECHOKA SIAFA ZA ULAGHAI NDAN YA CHAMA HIKO NA KUPANGIWA MASHARTI NA AYATOLLAH MTEI KUTOKA TE-HRAN TENGERU MBONA HAWAKUTOKEA KUTOA MAELEZO??

ITAFAHAMIKA TUH
 
Tuanzishe viti maalum vya waislamu maana kwa mujibu wa mazuzu ya CCM hapa JF wewe ukiwa mmojawapo ni kwamba Waislamu ni kundi maalum.

Waislamu ni waadilifu na wanataka uadilifu ufanyike kwa kila mwanadamu bila kujali dini. Ila wenzetu dah mnaiharibu nchi yetu.
 
wapi maelekezo ya uteuzi wa tundu lissu na kutemwa kwa mabere marando?. vipi kuhusu mishahara au ni posho tu.umesema mnatuma pesa mikoani mbona kila anayetoka anasema hamtumi mf waraka wa mkulima maskini .cc makene tumain

Hii avtar ya kurugenzi ya habari kama nembo ya kanisa iliyo ongezewa CDM vile
 
Kurugenzi ya Habari Huyo ndg Ally ni mbulula kweli, anajipa vyeo kibao! Nyambafu! KUNA MIJITU IMEKUWA INASEMA JOHN MNYIKA NI MCHAGA MARA MPARE! Mmepata uthibitisho, muache propaganda za kijinga...
 
Last edited by a moderator:
Ritz?, nasononeshwa sana na tabia ya udini wako ikizingatia mimi ni christian nimeoa muslim. Hapa wife yuko kando ya kitanda, siwezi mwonesha comment zako.
Muonyeshe wife wako ule uzi wa mwenyekiti wa Lindi aliyejiuzulu, halafu mwambia hata Mtei alihoji idadi ya dini alilalamika kwa nini Waislam wengi wajumbe wa katiba.
 
Nadhani sasa sisi tuliokawa tunasema ukweli kuhusu kuwa hiki chadema ni chama cha KIKANDA,KIDINI NA KIKABILA TUTAELEWEKA VEMA,

PIA CHADEMA KWA SASA NI KAMA VILE WAMELEWA,ONA ANAKUJA KUTOLEA UFAFANUZI WA KIJUHA KAMA HUU,MUULIZEN MBONA ALIPOJIUZULU SAID ARFI NA KUSEMA KUWA AMECHOKA SIAFA ZA ULAGHAI NDAN YA CHAMA HIKO NA KUPANGIWA MASHARTI NA AYATOLLAH MTEI KUTOKA TE-HRAN TENGERU MBONA HAWAKUTOKEA KUTOA MAELEZO??

ITAFAHAMIKA TUH

Mkuu ni kweli kajiuzulu makamu mwenyekiti taifa hakuna maelezo ya Makene huyu mtu mdogo kwa Arfi povu linamtooooooooooooooka!
 
Tuanzishe viti maalum vya waislamu maana kwa mujibu wa mazuzu ya CCM hapa JF wewe ukiwa mmojawapo ni kwamba Waislamu ni kundi maalum.

Hivi unatembea na simu ngapi? Manake wewe mawazo yako ya kikekike yanafanana na mwanamke mwenzako mchungaji Asha mohamed.
 
Last edited by a moderator:
Huyo ndg Ally ni mbulula kweli, anajipa vyeo kibao! Nyambafu! KUNA MIJITU IMEKUWA INASEMA JOHN MNYIKA NI MCHAGA MARA MPARE! Mmepata uthibitisho, muache propaganda za kijinga...
Acha upuuzi ww, mnyika ni mchagga mpare. Km unabisha weka vyeti vyake vya kuzaliwa hapa, pinga kwa vielelezo sio kupoyoyoka tu apa
 
kurugenzi ya habari iache upotoshaji,INAPOSEMA YA KWAMBA MAGARI NA NYENZO ZINGINE ZA CHAMA ZIPO KILA KANDA NI UONGO WA WAZI KABISA,


HUKU KANDA YA KUSINI HAKUNA HATA SIKU MOJA HIZO GARI ZAO ZA M4C ZIMEWAHI HATA TUH KUONEKANA,NA KWANN TUH WASIKUBALI KWAMBA HUU UDINI,UKANDA NA UKABILA UPO NA UPIGWE VITA??

JOHN JOHN MNYIKA NA YEYE ATAKUJA KUFUKUZWA SIKU MOJA,,KWANI KINACHOMUWEKA HAPO NI IKLE EQUIVALENT QUALIFICATION YA UPARE WAKE,NA HAKUNA KINGINE,MUDA UKIFIKA ATAONA UHALISIA,

KWA UFUPI MZEE MTEI LAZIMA ATAMBUE KWAMBA WAJINGA WAJINGA ATAWAPATA HUKO HUKO MACHAME NA TENGERU,WAZO LAKE AANDIKE KUWA AMEFELI MOJA KWA MOJA
 
Muonyeshe wife wako ule uzi wa mwenyekiti wa Lindi aliyejiuzulu, halafu mwambia hata Mtei alihoji idadi ya dini alilalamika kwa nini Waislam wengi wajumbe wa katiba.

Amuambie pia demu wake kwamba Mbowe kampasukia Zitto kwakumuambia awafuate waislamu wenzake~CUF.
 
Tumaini Makene acha uongo,lini mmeleta gari za chama kanda ya kusini??

Pia mbona alipojiuzulu MZEE SAID ARFI HUKUTOKEA KUJA KUFAFANUA KAMA HIVI??

HIVI MNADHANI NANI ANAWEZA KUWAPA IMAN YA KUONGOZA TAIFA ILI HALI MMEJAWA NA UBAGUZ WA KIKANDA,KIDINI NA KIKABILA KIAS HIKI??
 
Last edited by a moderator:
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....

Ma ccm yote yanasema kama wewe, kwenda kule kweni uliitwaa au umelazimishwa? Nyang'anyauuuu
 
Cha msingi ni demu wa kiislamu, mambo ya pwani kama kawa.
Asha mohamedi Anasema na kulalamika kwamba tumeacha kupigania gesi na kuwatelekeza wakti wao wamefikia hatua hadi ya kubakwa,

Sasa tunauliza kwamba akitaka tuwe kimya na tuache KUKEMEA UDINI,UKANDA NA UKABILA NDAN YA CHAMA HIKI??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Makene tunashukuru kwa kazi nzuri ya kujibu kwa wakati mwafaka, hii imekuwa ndani ya masaa yasiyopungua sita

Huu ndio uwajibikaji wa chama kinachojiandaa kushika dola
Hii spidi ya KURUGENZI YA HABARI chini ya Kaka yangu J.Mnyika na Tumaini Makene inanivutia sana habari za Kujivutavuta na Ugoigoi Tupa kule kwa ma CCM
 
Back
Top Bottom