Mkuu Makene tunashukuru kwa kazi nzuri ya kujibu kwa wakati mwafaka, hii imekuwa ndani ya masaa yasiyopungua sita
Huu ndio uwajibikaji wa chama kinachojiandaa kushika dola
Ufafanuzi unatolewa pale panapokuwa na upotoshaji mkubwa. Pamoja na uongo mwingi aliosema Chitanda, vile vile alipotosha mahali wanapotoka wakurugenzi ndio maana Makene akamsahihisha.....Kwenye suala la udini, viongozi hawachaguliwi kwa udini wao, bali kwa uwezo wao, na huyu jamaa hajapotosha/hajasema uongo aliposema wote ni wakristo bali ameonyesha tu kwamba yeye ni mdini (anaangalia watu kwa jicho la udini bila kujali uwezo). Ulitaka Makene ajibu upotoshaji gani hapo? Sasa kama wote ni wakristo ulitaka Makene asema mmoja ni muislam ?
Kwa mama yako siyo kwenu,
akishaolewa anahamia kwake baba yako,
unless uwe shokoraa hujui baba yako kwao wapi, hata hvy palee utaishi kama ummepewa hifadhi tu ila una kwenu!
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
Kwahiyo wasiokuwa wakristo pale CDM hawana uwezo? ha hahaaaaa.....lol
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Hayo unasema wewe.....
wapi maelekezo ya uteuzi wa tundu lissu na kutemwa kwa mabere marando?. vipi kuhusu mishahara au ni posho tu.umesema mnatuma pesa mikoani mbona kila anayetoka anasema hamtumi mf waraka wa mkulima maskini .cc makene tumain
Wacha kuwa punguani wewe, huyo Jenerali mwenyewe wakuja tu kama wewe, yeye ni nani hata asiwe nae kachukuwa huo msemo kutoka kwangu?
Huyo Jenerali wako wewe unamjuwa kwenye kumsoma au kumuona kwenye TV tu. Wengine tunamjuwa kabla hajajiingiza katika katika fani hizo. Na anatuheshimu kama wenyeji wake hapa Dar. Muulize, akueleze FaizaFoxy ni nani.
Wacha viroja leta hoja.
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Huyu atakuwa mmoja wa walioandaa waraka,IMEKULA KWAKE!!!! watakuja wengi tu si mnajua nguvu ya pesa ya Lumumba????
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni Wakirsto, rudi ujibu.
Wacha kuwa punguani wewe, huyo Jenerali mwenyewe wakuja tu kama wewe, yeye ni nani hata asiwe nae kachukuwa huo msemo kutoka kwangu?
Huyo Jenerali wako wewe unamjuwa kwenye kumsoma au kumuona kwenye TV tu. Wengine tunamjuwa kabla hajajiingiza katika katika fani hizo. Na anatuheshimu kama wenyeji wake hapa Dar. Muulize, akueleze FaizaFoxy ni nani.
Mkuu si lazima kila mahala utangulize udini. Uongozi si lazima kubalansisha kila mahali inategemea uwezo Na utayari Wa mtu kutaka kuhudumia chama Na wananchi mbona hujahoji kuwa wote ni wanaume?
Wacha kuwa punguani wewe, huyo Jenerali mwenyewe wakuja tu kama wewe, yeye ni nani hata asiwe nae kachukuwa huo msemo kutoka kwangu?
Huyo Jenerali wako wewe unamjuwa kwenye kumsoma au kumuona kwenye TV tu. Wengine tunamjuwa kabla hajajiingiza katika katika fani hizo. Na anatuheshimu kama wenyeji wake hapa Dar. Muulize, akueleze FaizaFoxy ni nani.
Yale yale akili za mtaroni, hivi kuzaliwa Mzizima ni sifa?
Mimi nimezaliwa ocean road na mtaa Congo palikuwa panauzwa samaki sangara mpaka wakuja wamekuja na wametajirikia kariakoo na mimi mzawa wa Mzizima siana hata duka moja kariakoo hivi hapa nani ----? Mimi mzawa ninayeshinda kwenye kahawa kusifia utajili wa Bakhresa au wakuja ambao sasa ndio Mamilionea wa Dar.
Halafu hao wakurugenzi kwa nini wote wakristo,au baba lilian mwenye saccos yake ndo alivyoagiza?